CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Haya mambo ni kufa kufaana!
Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa!
Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe)
Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau!
Wote hawawezi...
Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
Maandamano yetu yawe ya amani hatupigi kura hadi reform zifanyike sasakm tume ni yao, majaji ni wao unategemea watashindwa ??
Tayari NIDA wamepewa magari 140 ya nini?? ili yasafirishe nini? Kwanini wapewe wakati huu wakufanya uchaguzi?
Njia nzuri na ya amani nikutokwenda kuwachagua ili...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametoa wito kwa Wakazi wa Halmashauri ya Rungwe na Busekelo kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi la Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika siku ya tarehe 29, Oktoba, 2025.
Uchaguzi Mkuu utahusisha Wananchi Kumchagua Rais, Wabunge pamoja na Madiwani...
Mwaka 2025 umekuja na msisimko mkubwa wa kisiasa nchini Tanzania. Ni mwaka wa uchaguzi mkuu, kipindi ambacho Watanzania wanapata fursa ya kikatiba kumchagua kiongozi wao mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na wabunge na madiwani. Lakini kwa mara ya kwanza tangu nianze kushiriki...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ametoa kauli nzito na yenye kuleta furaha na tabasamu kwa...
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.”
Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
Microsoft office, word, excel, n.k - $99.99 kwa mwaka (Tshs 245,000 )
AutoCad - $2,095 kwa mwaka (Tshs 5,140.000 )
Photoshop - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Adobe Premiere - $263.88 kwa mwaka (Tshs 645,000 )
Internet Download Manager - $24.95 full package (Tshs 60,000 )
Windows 11 -...
Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi huko nchini Tanzania imeanza kutoa majina kwa wilaya tofauti kwa ajili ya usahili , wasimamizi wa uchaguzi ngazi za wilaya watakuwa na jukumu la kuwafanyia usahili
Baadhi ya wilaya majina yapo zinaendelea kutolewa
Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania.
Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
Guys najaribu kupost uzi kwa mara ya kwanza kwenye JF mpya tena kwa VPN, yeey!
Okay nipo bored, njooni tupige story mbili tatu, nipo Unguja sijui kwanini nikiwa huku nakua bored kuliko nikiwa Dar.....
Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma.
Enough is Enough
Lazima turudishe...
Uchunguzi binafsi uliofanywa na Bey umegundua kwamba makelele ni sehemu na asili ya maskini,huko kwa watu mbao wana maisha magumu ndio wanapenda makelele
Nenda kwenye nyumba au makazi ambao wanaishi wenye hela huwa hakuna makelele kabisa,kule huwezi kukuta kuna Subwoofer,kule kuna Television...
Haya ni maoni yangu:
Binafsi napenda sana kuona siku moja watanzania kwa mamilioni nchi nzima wanaandamana kudai mabadiliko. Hata hivyo,, kwa sasa naona ni vigumu kwasababu mbalimbali mojawapo ikiwa ni hii mbinu ya kupanga tarehe fulani kuwa ni siku ya maandamano.
Kwa Tanzania yetu hii...
Ndugu zangu, kuna jambo moja linazidi kujidhihirisha katika historia yetu ya kisiasa: Tanzania bado ni nchi ya watazamaji, si ya washiriki. Ndio maana kila baada ya muda fulani, Chadema huibuka na tangazo la maandamano, mara hii Oktoba 29, kana kwamba dunia itatikisika, serikali itatetemeka, na...
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.
Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi.
Kazi...
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano.
Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.