kupiga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuna katabia ka mabalozi kuvizia viongozi wakubwa kupiga nao picha kisha kuaminisha wamefanya mazungumzo

    Hii tabia tulikuwa tujaishtukia ila sasa wameshtuka hawa viongozi mnaowasema kuwa wana wanonea wivu. Mnazunguka nchi zao kuomba mazungumzo wakiwagomea mnawadanganya kuomba picha ya pamoja kawasilisha kwa binti msumi. kumbe mnaenda kwenye magazeti na media uchwara kuhadaa watu sijui mumeongea...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kupiga picha na Guterres haitoshi kuthibitisha kuwa UN imepongeza Tanzania

    Anaandika Godlisten Malisa Hii inaweza kuwa political spinning tu. Kwenye strategic communication & media framing kuna kitu kinaitwa “biased interpretation” yani kutafsiri picha kwa upendeleo ili kuunda taswira chanya kwa jamii. Hujawahi kuona mtu anapiga picha na mtu mashuhuri halafu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kama kweli Serikali imedhamiria pasiwe na maandamano D9 njia bora ni kupiga marufuku ya kutoka Siku hiyo kwa masaa muhimu

    Hamjambo Wakuu. 1. Ni vizuri kama kweli inania watu wasiandamane Siku ya tarehe 9 basi ni muhimu kutangaza mapema kabisa; 2. Kwamba Tarehe 9 watu wakae ndani. Kuanzia saa 12 asubuhi mpaka saa 6 mchana. 3. Kisha waingie ndani majumbani kuanzia saa 11 jioni wasitoke kabisa 4. Viongozi wa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mbona sisi kama taifa tulipiga kelele hayati Nelson Mandela aachiwe? Kuna ubaya gani EU kupiga kelele Lissu aachiwe!

    Tulipopiga kelele na kupoteza rasilimali zetu kwa ajili ya hayati Nelson Mandela aachiwe Afrika ya kusini haikuwa Sovreign state? Ilikuwa dola huru lakini ilikuwa chini ya utawala dhalimu ambao ulimweka jela kwa kesi ya uhaini kwa mizengwe. Mpaka sasa hapa kwetu kesi ya Lissu imeonekana wazi...
  5. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Swali; Je, ACT Wazalendo Zanzibar kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi 2025 ni mkakati maalum kutoka nje ya chama?

    Chama hiki kilidai kufungua kesi kupiga matokeo ya uchaguzi katika majimbo 25 ya uwakilishi Zanzibar na kikitarajiwa kupiga pia yale ya Ubunge. Huku pia kikiweka pose kuingia kwenye kuunda serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar. Swali, je ni mpango maalum baina yao na kundi la Gasom & Zikamziki...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Bila kuachana na imani za kishirikina itakuwa ngumu kwa Watanzania wengi kupiga hatua za kimaendeleo

    Nimesikitishwa sana na huyu msomi ambaye ni motivational speaker kuamini imani za hovyo zisizo na uthibitisho wowote wa kisayansi. Mwenyewe anadai ni vibaya kumruhusu mtu alale kitandani kwako au kumpa mtu nguo zako. Kwa madai yake ya kishirikina ni kuwa ukifanya hivyo utapatwa na majanga mabaya...
  7. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Nashangaa radio kupiga mziki muda wote kumbe wamegoma buana

    Watu wegoma kisa mishahara ndio maana hata soka halichambuliwi😂🤣😂mambo yanaanza kuwa magumu kila kona.
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tutatumia drones na Satelites kupiga picha Matukio ya kuboresha Mochwari mnazopanga kuzirekebisha kupotesha ushahidi

    Uzuri kila mnalopanga gizani taarifa zinatufikia. Tunajua mmepanga kufanya demolitions za mochwari na kuziboresha ili kuficha ushahidi. Kwa taarifa tu, sasa hivi tutatumia drones na satelite kupiga picha demolitions na renovations zote mnazopanga kuzifanya kwenye mochwari zetu ili tuioneshe...
  9. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Upigaji kura ulirahisishwa sana! Iliwafanya Waangalizi wa Uchaguzi kudhani wananchi hawakujitokeza kupiga kura

    Rais Samia amesema kuwa utaratibu wa kuongeza vituo vingi vya kupigia kura ulisaidia sana kupunguza msongamano katika vitu hivyo, hivyo upigaji kura kurahishwa sana na haukuchukua muda mwingi wa wananchi kama ilivyozoeleka, jambo lililowafanya baadhi ya waangalizi wa uchaguzi kudhani wananchi...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watz tunazidi kupiga hatua, kuna software maarufu ya kudownload videos za youtube na mitandao ya kijamii. imetengenezwa na mtu anajiita Muhogo Mchungu

    https://github.com/mhogomchungu/media-downloader Siku ya jana nilikuwa natafuta software nzuri ya kushusha videos Baada ya kutafuta hapa na pale nikakuta kwenye majukwaa ya eknolojia ya kimataifa watu wanaishauri Media Downloader Niliishusha na kuitumia, ni software nzuri ambayo inaweza...
  11. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Namna rahisi ya kupunguza mzigo wa kutunza kumbukumbu na kupiga hesabu kwenye Ufugaji wako wa Kuku

    Unatafuta namna rahisi zaidi ya kutunza rekodi zako za Ufugaji wa Kuku ili kukupunguzia mzigo wa kupiga hesabu kila siku? Rekodi Matumizi ya Kuku Wako ukiwa na Fuga App kwa urahisi kwa namna ambayo haijawahi kutokea,ili uelewe gharama zako zote na mwisho wa siku ufanye maamuzi sahihi kulingana...
  12. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema hatajutia agizo la kupiga risasi waandamanaji

    https://m.youtube.com/watch?v=PTqDwq2Afgs
  13. President of China

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  14. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwambegele Atuambie Kama Kulikuwa na Proxy Voting. Kwamba Watanzania Walimpa Idhini ya Kupiga Kura Kwa Niaba Yao!

    Katika historia ya chaguzi za Tanzania (zikiwemo chaguzi ambazo zilifanyika bila tension yoyote), hakuna uchaguzi ambao umewahi kuwa na voter turnout ya 87%. Ilikuwaje huu uchaguzi, ambao uligubikwa na tension kubwa, ukawa na hii unprecedented voter turnout? The only reasonable explanation ni...
  15. Black Opal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vituo vya kupiga kura Tunduma vyachomwa moto

    Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza. Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia. Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu

    Watakuja kupiga mogoti wenyewe ama kukimbia nchi hii, wanajitia viburi kwa nafasi ya muda tu
  17. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkoa wa Morogoro: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2025 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Morogoro. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Morogoro una una jumla ya majimbo ya uchaguzi (11) ambayo ni Jimbo la Kilosa Jimbo la Mikumi...
  19. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mainstream Media zinafanya upotoshaji kwa kuripoti zoezi la kupiga kura ili watu wasijitokeze barabarani

    Wakuu, KInachoendelea wakati huu media hizi kubwa kubwa zinapost taarifa wakati huu zikiripoti hali na shwali na zoezi la kura linaendelea vizuri, wengine wanasema polisi wamezuia waandamanaji wakati sio kweli. Taarifa zinasambazwa ili umma ujue wananchi hawajatoka barabarani kuzuia uchafuzi...
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Kigamboni, Dalmia Mikaya: Hali ya usalama ni shwari wananchi waendelee kujitokeza kupiga kura

    Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Dalmia Mikaya akizungumzia hali ilivyo katika wilaya hiyo hususani muamko wa watu kujitokeza kupiga kura na hali ya utulivu iliyopo hadi sasa "Hali ya Usalama ni nzuri, watu wamekuwa na amani na utulivu mkubwa. Niendelee kuwasisitiza na kuwahimiza kwa wale ambao bado...
Back
Top Bottom