kupendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

    Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  5. Surya

    JamiiForums Tanzania Nimeamini kumpenda mwanamke asiye na utayari wa kupendwa ni Mateso

    Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana. Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki kabisa mambo na show show, hataki kabisa kulala na mwanaume yeyote. Wanadai wanatafuta uhuru na hasa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupendwa na mademu wengi

    Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa? Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

    Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi? Shida nini? Naumia sana...
  8. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume wengine hawana hata sifa za kupendwa

    Unakuta mwanaume hana pesa, kisirani saa zote amekunja sura, hawezi kuongea pole pole mda wote anaongea kama anapauka, sio handsome na hajui kuvaa. Mwanaume hana ata sifa moja ya kumfanya apendwe, yupo yupo tu. Nyie wanaume mkiwa hamna pesa jitahidini kua vizuri sehem nyingine. Kua mchangamfu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kupendwa

    Hello dears just want to share something with you about my love life. I have grown up to 29 years old now and the worst thing is I have never seen love yaani sijui utamu wa mapenzi sijawahi kupendwa na mwanaume akanifanya mtu muhimu kwake. Sina shida kwenye suala la uaminifu na wanaume wote...
  10. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

    Hello JF members Mugona Vihi? Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano. Tofauti na hawa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya Kenya kupendwa kuliko Tanzania licha ya kuwapita utajiri wa utamaduni?

    Nilikuwa naangalia video flani YouTube inahusu capital city za nchi 54 za Africa. Sasa nikaenda sehemu ya comments kusoma nikajionea watu wengi kutoka mataifa mbalimbali dunia wakiisifia Kenya kuwa ndo favourite country yao lakini kiuhalisia ni dhahiri tumewazidi vivutio (Sina haja ya kuvitaja...
  12. Zuleykha

    JamiiForums Tanzania Mabinti msilazimishe kupendwa, wengine ni magaidi hawajui kupenda

    Habarini wanajamii wenzangu. Leo ninashare direct na ninyi hili, miaka kadhaa iliyopita katika harakati zangu za kazi nilikutana na binti mmoja ambaye ninakiri nilimpenda na nikamlea nikimchukulia kama mwanangu aliweza kuishi nami mpka akawa msichana mrembo wakuolewa ikiwa ni baada ya yeye...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Tanzania kuonyeshwa kupendwa na kupendelewa na 'Mwanamke Mamlaka' mwenzao ni kuwalemaza akili na si kuwajenga

    Waambiwe tu Ukweli kuwa wao ni sawa sawa na Mwanaume na ndiyo maana hata Roho zetu pamoja na Mioyo yetu ni sawa na hakuna ulioandikwa ni wa Mwanaume au Mwanamke. Na hata Vitandani tukiwa ' tunabaiolojiana ' 24/7 usawa wa ' Kimihemko ' huwa unakuwepo na tunaheshimiana. Hii ' Sumu ' iliyoanza '...
  14. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi

    CCM 2015-2020 ilivyovutia na kupendwa zaidi na Watanzania wengi. 1) Rais alishinda Uchaguzi 2020 kwa 84.4% haijawahi kutokea. 2) Wabunge na madiwani wote walishida Uchaguzi 2020 isipokuwa wachache na haijawahi tokea mpaka kuchukua jimbo la Mbowe. 3) Uchaguzi wa serikali za mitaa CCM ilishida na...
  15. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kupendwa au kuogopwa, bora nini?

    Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na si ukatili. Lakini anatakiwa kuwa makini...
  16. Red Giant

    JamiiForums Tanzania NICOLO MACHIAVELI: Kupendwa na kuogopwa, kipi bora?

    Anaandika hivu kwenye kitabu chake The prince. Mtafsiri: Pictuss. Email: pictuspublishers@gmail.com. SURA YA 17 Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza kuwa, kila kiongozi anatakiwa ajitahidi asifike kwa rehema na...
  17. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ni moja na hakuna mpasuko wowote. Tupo wamoja sana

    Nchi ya Tanzania ina watu takribani milioni 60, kila mtu ana vipaumbele vyake, hivyo huwezi kumridhisha kila mtu mama. Asilimia 90 ya watanzania ni maskini: hawahitaji magari ya benzi wala nyumba za kishi baada ya kustaafu kushika chaki na kazi zingine za umma. Wanahitaji maji safi na salama...
  18. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

    Hapo ndio siri ilipo ndugu zangu yaani ukitaka mapenzi yale yenyewe yaani mtoto wa kike anachanganyikiwa. Hakikisha uko 30s, vihela vidogo vidogo si shida halafu date hivyo vitoto yaani 20-23. Usicheze nje ya hapo. Why Sababu vitoto vingi umri huu vinakua vipo chuo vinasoma na vinakua vingi...
  19. Pedrz

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

    Dah! Ebwana nimewalatea huu uzi hivi vitu vinatokea eti. Na vimenitokea sana hii ni mara ya pili nakumbuka mara ya kwanza nikiwa na demu wangu alinitambulisha kwa rafiki ake Y, hapo ndipo mambo yalipoanzia, kila siku alinitafuta ooh!! Shem mzima nataka nije nikutembelee mara sijui rafiki yangu...
Back
Top Bottom