Ukitaka furaha ya kupendwa, uwe na hela, toka na vitoto vya miaka 20-23

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,488
2,000
Hapo ndio siri ilipo ndugu zangu yaani ukitaka mapenzi yale yenyewe yaani mtoto wa kike anachanganyikiwa. Hakikisha uko 30s, vihela vidogo vidogo si shida halafu date hivyo vitoto yaani 20-23. Usicheze nje ya hapo.

Why

Sababu vitoto vingi umri huu vinakua vipo chuo vinasoma na vinakua vingi ndio vimeanza mahusiano wengi ndio mahusiano yao ya kwanza au pili, so wengi huwa wana mapenzi yakweli yale yaliyopitiliza yaani yale ya kukuonea wivu, kukupigia simu kila wakati etc etc

Angalizo (lazima uwe na vijihela ndugu). Ukiwa choka mbaya ndugu tusijelaumiana maana itakua oposite. Experience imenithibitishia hili.

Kuna katoto naenda nako mwezi wa 3 huu bado sijakagusa lakini aisee ni kama kamechanganyikiwa yaani, si ka1 tu kuna kengne pia. Ila uzuri wake naviheshimu sjavilala bado. Ooh pia namweshimu dada yao ambae niko naye kwasasa ila sasa kwa speed yao nahisi lolote laweza tokea. Tusilaumiane.

Niko mkoa kikazi. Raha sana maana field work naweza ingia muda naotaka mimi, hapa najishauri niende au nisiende ila Dodoma kubaya jamani

1620205181613.png

 

Jasmoni Tegga

JF-Expert Member
Oct 28, 2020
4,293
2,000
Hiyo si furaha bali rafu ya maisha. Nasema hivi: Ukitaka furaha, tafuta shughuli ya halali, fanya kwa bidii, jali afya yako, wasaidie wahitaji, hudhuria church/mosque mwombe Mola, weka malengo na kutumia akili yako kuyatimiza. Furaha kama mafuriko. Au nasema uongo ndugu zangu!???
 

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
8,488
2,000
Watamu hao acha tuu. Bwana ukiwa na hela hivi ndio virembo vya kuenjoy navyo.
Yaan chifu..ni visumbufu ila sasa...uta enjoy had useme basi..maana ndo umri wao wa kwenda club.kujirusha..kujarib..yaan kila kitu vinajaribu..tena ukutane na vilivyotoka shule za wasichana pekee .aisee.utaenjoy balaa...kuna ka1 najilia mate popote pale..nakalaga mate samak samak open kabisa ..na fresh tu..na ni kazur balaa.ilaa bado sijakavua nguo...nakusanya nguv kidogo..maana hapa katikat perfomance nilishangaa imeshuka...sjui dada yao kaniroga ama vip
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom