Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Sijui kwanini sipendwi na mademu wakali

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?

Shida nini? Naumia sana kwa kweli. Maana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kali. Mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. Ushauri wenu wapenzi.
 
mi naona kama nina gundu. sijui kwa nini .. sipendwi na mademu wakali. najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii.... nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali.... mimi najiuliza nakosea wapi? shida nini ? naumia sana kwa kweli. maaana najikuta naishia kuumia roho yu kila wakati naona wenzangu wanakula piece kalis. mimi wapi nipo tu nahangaika na pangu pakavu tia mchuzi. ushauri wenu wapenzi.
Mungu anakupa inachostahili....
 
Utakaowapata waambie wawe wanakunywa chai na pili pili kwa muda wa wiki mbili
 
Em tupia kwanza picha yako tukuone...
Hiyi
FQe6J40XwAccIzh.jpg
 
Back
Top Bottom