Historia yangu ya kupenda na kupendwa na Mabinti Waislam

Kichwamoto

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
3,353
4,535
Hello JF members Mugona Vihi?

Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano.

Tofauti na hawa visokolokwinyo wakristo mcharuko siivi nao kbsa hata mood nao sina huo ndio ukweli, sijui hata sababu nawadisi tu hata nikiwa na manzi mkristo namdinyo tu twice or thrice na block, au akipiga ntapokea kwa sauti ya kidwanzi ya kisharo niko kwenye kikao cha bajeti Dodoma au narekebisha bajeti ya OC robo za mwaka. Sio type zangu ifahamike.

#Wenye uzoefu na visa mfanano au kinzani karibuni

Hitimisho kila mtu ana haki na wajibu kwa chochote.

#Angalizo: Simchezei mtoto wa mtu mimi sio dancer wa singeli tunaanza fair na kumalizana fair.
 
Unasubiri nini Kuoa hao Unadumu nao....! Au unataka Umchakaze Binti 'Islam' afu uende kuoa Mkristo Mwenzio. By the Way hao unaowapata Wewe ni Waislamu jina tu...Binti Muislamu kabisa Aliyenyooka huwezi Kumchezea...!tuulize Sisi Kaka zako!!
 
Kuna jamaa hapa alikua na gia kama yako. Oooh mie mkristo hivi vile ila kutwa kutoa povu la kuwasimanga wakristo na kuwatetea waislam. Mkuu kuwa msimamo. Acha kuchezea mabinti za watu kwa ksingizio cha dini
Sifa ya unafiki sina rafiki unless hii Mada iwe fragile, au kama ina uelekeo divisive uzi ufutwe sina objection
 
Unasubiri nini Kuoa hao Unadumu nao....! Au unataka Umchakaze Binti 'Islam' afu uende kuoa Mkristo Mwenzio. By the Way hao unaowapata Wewe ni Waislamu jina tu...Binti Muislamu kabisa Aliyenyooka huwezi Kumchezea...!tuulize Sisi Kaka zako!!
Ondoa hofu haina madhara, more so for anything think twice to save useful emotions for better things.
 
Darmian Huku kusini waluteri wenzangu wamenyata Sana ila waslam kina hajra,pili na Aisha wanajua Sana mapenzi ndugu yangu
 
Hello JF members Mugona Vihi?

Niende kwenye story, Mimi ni Mkristo, ila katika maisha yangu na safari ya mahusiano, macho yangu na nafsi yangu imetokea nawapenda na navutiwa sana na wadada na mabinti waislam na wao pia huvutiwa na mimi na huwa nadumu nao kwenye mahusiano.

Tofauti na hawa visokolokwinyo wakristo mcharuko siivi nao kbsa hata mood nao sina huo ndio ukweli, sijui hata sababu nawadisi tu hata nikiwa na manzi mkristo namdinyo tu twice or thrice na block, au akipiga ntapokea kwa sauti ya kidwanzi ya kisharo niko kwenye kikao cha bajeti Dodoma au narekebisha bajeti ya OC robo za mwaka. Sio type zangu ifahamike.

#Wenye uzoefu na visa mfanano au kinzani karibuni

Hitimisho kila mtu ana haki na wajibu kwa chochote.

#Angalizo: Simchezei mtoto wa mtu mimi sio dancer wa singeli tunaanza fair na kumalizana fair.
ok sawa
 
Kwani hao mabinti wa kikristo wamesema wanataka kuolewa nawee? Au hao wa kiislamu umekatazwa kuwaoa? Mbna unateseka sana na dini za watu khaaah, poleeeeeeeeh
 
Back
Top Bottom