kupendwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu. Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua...
  2. Stephen Ngalya Chelu

    Kupendwa sana na mtu ambaye humpendi ni moja ya kero ambayo haisemwi

    Mahusiano yana mengi sana. Kuna nyakati unakuwa na mtu anayekuonesha mapenzi ya dhati, anakufanyia kila kitu lakini haum'feel kabisa. Unajaribu kumkasirisha ili labda akasirike akuache lakini wapi, kila kosa lako analisamehe na mara nyingine yeye ndo anakuwa anaomba msamaha kwa makosa yako...
  3. Equation x

    Kupendwa raha sana

    Nipo zangu nyumbani napangilia mambo yangu ya kila siku, mara ghafla naona simu inaita; kuitazama, ni namba ya mama kijacho (mchepuko). Baada ya kupokea, mazungumzo yakawa hivi:- Mimi: halo Yeye: mambo vipi bebii Mimi: Niko powa, mambo yakoje huko? Yeye: Huku mabaya, sijisikii vizuri, nataka...
  4. haszu

    Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

    We kama umetumia kigezo cha hela kumpata mwanamke wewe hujapendwa, umekubaliwa tu, kukubaliea si kupendwa. Kuna sisi, wazee wa love on the first sight , yani mdada anakuona tu, anachanganyikiwa, anakuelewa moja kwa moja, mambo ya pesa ni baadae hiko ndo uanaweza shtuka. Unatumia swaga vizuri...
  5. kokudo

    Kupendwa ndio huku

  6. Crocodiletooth

    Dabi ya Yanga na Simba ilikuwa safi mno, timu hizi zinazidi kupendwa!

  7. Tman900

    Kupendwa na wanawake(Nyota ya Wanawake)

    Ninae Rafiki Yangu Mmoja Jina lake linaanzia na Herufi H. Nimiaka mingi Sana tumefahamiana nae, Ebana Huyo mshikaji anapendwa sana na Wanawake. Mara Nyingi tunapokua Wote Tunaeza kua Hata tumeongoza mi kutaka kuthibitisha Hilo, naeza ona mwanamke Hata kwa Mbali,na mwambia msemeshe yule tuone...
  8. M

    Je, ni kweli kupendwa au kuchukiwa na watu kunatokana imani za giza au muonekano wa mtu?

    Namshukuru mwenyezimungu mwingi WA kusamehe, pia nawashukuru wazazi wangu Kwa kunizaa pia nawasalimu wote ambao tupo kwenye jukwaa hili. Kwanza kabisa naomba niseme wazi kwamba Mimi ni miongoni mwa watu ninaojihisi nachukiwa sana katika maisha yangu, nimekuwa napitia changamoto za...
  9. Surya

    Niliwahi kupendwa na single Mother

    Kabla sijasema hili la kwanza la kupendwa na Single mother, niseme kwamba, mimi ndie yule ambae niliwahi kukataliwa na single mother. Mambo ni mengi sababu ni nyingi.. Lakini soon nataka niandike uzi kuhusu Ndoa na Mahusiano, kuna mambo wanaume tunatakiwa kuwekana sawa. Naamini mtazamo wangu...
  10. W

    Biashara ya dagaa wasio na mchanga kupendwa na wateja

    Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga) Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)...
  11. GENTAMYCINE

    Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  12. I

    Mapenzi ya kupenda na kupendwa

    Habari zenu wadau, nimejikuta nipo kwenye wimbi la mawazo nashindwa hata kuchagua niingie upande upi kati ya kupenda na kupendwa. Kuna mabinti wawili wote wana umri kati ya miaka 24 -28, wote wanashepu matata, shida ni kwamba mmoja wao ananipenda sana yani karibu kila siku mara nyingi anapenda...
  13. M

    Chama au Selikali kutumia nguvu kubwa kupendwa

    Ukiona Chama au selikali, huwa inatumia nguvu kubwa kupendwa basi jua kwamba imejaa madhaifu makubwa Na ndiyo stairi inayotumi chama cha CCM na selikali yake, wamechoka hawana mbinu mbadala tena zaidi ya kutetea ujinga na matumbo yao, Nauona mwisho mbaya kwa inchi ya Tanzania, sababu viongozi...
  14. Nyamwage

    Huku ni kupendwa tu au ni kweli sisi ni wachache hapa TZ na dunia kwa ujumla

    Habari? Kumekuwa na kesi nyingi kwa wanaume namaanisha mwanaume achana na hawa wavulana nisiseme wanatongozwa hapana naona niseme wanatamkiwa na wanawake wenye umri zaidi ya miaka 30 kua nataka unioe, namaanisha mwamke ambae kaisha kua na akili timamu maana jinsia yao inapataga ukomavu wa akili...
  15. Surya

    Usihangaike kutongoza Mwanamke Mzuri asiye na hisia na wewe. (Jinsi ya kutongoza.) Raha ya mapenzi kupendwa

    Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana. Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili. but mala nyingi ni tamaa tu ya nje. na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya...
  16. THE FIRST BORN

    Ulishawahi kupendwa kimapenzi na mpenzi wa rafiki yako wa damudamu?

    Habari wana jukwaa. Nataka kuuliza kitu hapa maana najua Dunia ina vitu vingi na kila kinachotokea siyo kipya, ujue kimeshatokea sehemu. Nataka kupata uzoefu kwenye hili. Je, ilishatokea ukapendwa na mpenzi wa rafiki yako, yaani yule rafiki yako ni damudamu? Kama ilishatokea ulifanya vipi...
  17. M

    Kupendwa au kudangiwa ebu tujadili kasumba ya kubeepiwa kama dalili ya kudangwa

    Dadadeki hivi mshakutana n shetwani wa kike kabla hujampata au siku za mwanzo baada ya kumla alikuwa anapiga simu na kutext mara kwa mara. Pyu baada kamda kidogo anakuwa Anti biper anti mfupi, kujifanyisha kibwengo kinyago. Sijui mi nakosea nawachana fasta nawaambia ujinga sitaki kama...
  18. L

    Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  19. The Assassin

    Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  20. Surya

    Nimeamini kumpenda mwanamke asiye na utayari wa kupendwa ni Mateso

    Nilichogundua katika maisha yangu ya Tongozo hapa na pale, kumshawishi mwanamke awe manzi yako wakati mwingine tunapitiaga wakati mgumu sana. Yaani hawa dada zetu kuna kipindi wanakuwa hawataki kabisa mambo na show show, hataki kabisa kulala na mwanaume yeyote. Wanadai wanatafuta uhuru na hasa...
Back
Top Bottom