Surya
JF-Expert Member
- Jun 7, 2015
- 8,374
- 12,564
Kukataliwa na Mwanamke uliyetokea kumtamani sana imekua ni mala nyingi sana.
Christian Ray nadhani hata wewe nimuhanga katika hili.
but mala nyingi ni tamaa tu ya nje.
na kumbe huyo mwanamke hana maajabu yoyote, raha ya mapenz ni kupendwa, so tafuta atakayekupenda na kitu gani kitafanya akupende, ni pale atakapokua na hisia na wewe.
My story.
Kuna siku nilikua naongea na Simu kisha nikatoka nje nimevaa vest na kaptula natembea huku nakula upepo, nipo road hapo karibu na magetoni, mala naona msichana anapita mbele ya macho yangu..
ni mfupi mweupe alafu ana bonge la msambwanda, zigo zigo kweli kweli.
Daaa na kwa jinsi ambavyo nimekua single kipind kirefu ikabid nimfate kwa nyuma kisha nikimaliza kuongea na simu vitu vya muhimu nimuite kuomba namba, na bahat nzuri hiyo njia haikuwa na watu wavimba macho.
Mala ya mwisho mahusiano yangu nilikua na msichana mzuri tu but ni modell tu kama Vannesa au Nandy kipind kile.
Basi nilipoona material hadimu kwangu, nikaona nipambanie kombe.
Bahati nzuri au sio mbaya, nilifanikiwa kupewa namba, mwanzo alinijibu, sina simu huku akitabasamu nikajua ananidanganya na huku kashika kiswaswadu mkononi, so nikambembeleza wewe nipe namba yako bhana kujuana na mwanamke mzuri kama wewe muhimu.
so akanipa, nilipo muacha tu aendelee na safar yake tukaanza kuchat kujuana na kutongozana sasa. na alipojua kazi yangu akajua mimi pochi nene.
basi bhana vilitokea vikwazo hapo katikati kwani nilikuta na rafk yangu ana anamuimba huyo manzi na yeye, lakini mwishoni nilishinda na nikavuta geto.
Jamaa yangu alikua na mademu wengi sasa mimi single man nilikaza sana kwa maana sina pengine pakuponea kabisa.
Basi tuachane na hayo, hoja kuu ni...
Huyo Manzi alikua hajui mapenz, yani zigo zigo kweli la kutamanisha likipita,
Lakini mapenz hajui ni wewe ucharaze tu kujilidhisha basi, style pendwa kwake ni kifo cha mende tu, no kiss, romance zero.
Hamu zote zikaniisha, mixer na tabia zake mbovu.
Kuanzia hapo nikapanga nitakua nadate na mwanamke mwenye hisia na mimi tu, nikijua atanipenda kweli coz hisia na mimi anazo, na hato nisumbua.
Nafanya udadisi... ndipo namtongoza. kwa kumwambia hata mimi nahisia sana na wewe.
Examples of Questions;
Unamwanaume, Yes or no
If yes, vip unalidhika nae anakufikisha kunako vizuri, is he romantic?
if No, Vipi ukiwa na mimi.. ? Look at me, am handsome or not..?
ok, niambie unampango wa kuingia kwenye mahusiano..??
au uko busy sana , no time for Love..and sex ?
Akienda vizuri kwenye haya maswali akaonesha kuvutiwa na mimi basi ndio nitaanza kumfungukia kuwa hata mimi nina hisia nae na nina siku nyingi sipo kwenye mahusiano.
Tunaweza kudate, nikubali coz naona unanifaa.
Ila mwanamke akijifanya kuruka na kushindwa kujibu kuwa she need a boy or she like/love me.
Basi nampotezea coz atanisumbua tu huko mbeleni na kama sio jasiri kujibu maswali yangu nakuwa na uhakika huyo mwanamke hanipendi au hana hisia na mimi. coz am gentleman na mwanamke kunitakaa ni awe hana hisia kabisa na mimi au katekwa sehemu na mwanaume ayempatia kila kitu.
Nikijua anahisia na mimi ila anapata wasi wasi fulani wa kunikubalia, nitazidi kumpeleleza.
Mala nyingi mwanamke humkataa mwanaume sio kwasababu hamtaki au hafai, bali huwa ni Fear (Kuogopa) akiwaza wewe ni malaya na umepanga kumchezea na kumuacha au hana hata sifa unazozitaka wewe umekuja na tamaa zako tu za muda mfupi.
Jua kwanza ni single mother or not.
(I love single mother, coz they have experience 😁😍🤩)
Kama ni single mother, muoneshe ni sawa tu, and you can able to be a Stepfather.
Rudi kumsifia na kuonesha hata wewe unahisia nae za kimapenz.. sana tena sana.
Note: Msifie sifa ambayo kweli anazo, usimpake mafuta kwa mgongo wa chupa.
Kwasababu kama ni mjanja atajua jinga hili linanidanganya. 🤣🤣😆
mfano, kama ana rangi nzuri sifia rangi yake,
Kama ni baby face, sifia.
Kama ni Tall sifia napenda warefu.
Kama ni ana minyama, kuwa marioo hapo na wewe.
Kama anazo saa sita sifia, kana hana kausha utabugi 😃😆😀
Kam ni mpole, sifia upele wake sema napenda mademu wapole, kumbe wap, mpenda fujo tu 😅😅😄
Jambo la mwisho ambalo ni Gumu kidogo, na ukilifanikisha basi ukija kumbwaga ghafla atapatwa na msongo wa mawazo ni kumuonesha wewe utakua mtatuzi wa matizo ama changamoto zake zote za kimaisha.
Mchimbe ujue kapungukiwa nini as a dream kwake, na muoneshe utakavyoshiriki ili yeye afikie ndoto zake. hata kama nizakijinga 😆😀
kama ni kuolewa haya, kama ni mpenda hela hayaaaa, kama ni .....
Ila tuache utani aiseee mostly of girls hisia zenu zipo kwenye fedha..
sasa dawa yenu kuwadanganya ni kuwapa ahadi nyingiiiii na unampa vichache kulingana na anavyo stahili.
Kama anastahili vikubwa sana apambanie mwenyewe asikuchoshe sana.
Mademu Achene kamseleko ka kipesa kwa mwanaume kupitiliza wakati hata wewe kutafuta hela hujui.
oky turud kwenye mada.
Hadi hapo mwanamke lazima umkamate, akiringa achana nae tu, wanawake ni wengi tafuta mwingine.
Na mimi mala nyingi naangalia yule mwenye Naona nyege atakua nazo na hana mwanaume smart bado.
conclusion:
Mapenz kuwahi tu na kuoteana, ni rahis sana kumpata mwanamke kama ukimkuta single lakini akiwa kwenye mahisiano na Gentleman mwingine kama wewe ni ngumu kumpata.