kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni Nani amekudanganya kuwa kupata Ajira ni ngumu? au unahitaji Refa wa kuunganishia?

    Nianze Kwa kusema “kwa kuwa uliamini hivyo ndiyo Maana hujapata, umechelewa sana kupata au hujapata Ile Ajira unayoihitaji”. Hapa kwanza tuliza akili ili uweze kupokea kitu, hasa vijana. Napenda utambue kuwa nilikuwa kama wewe. Ajira zipo nyingi Sana, zinatoka na kutangazwa Kila dakika kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Uamuzi wa Rayvany kuondoka WCB utampelekea kupata anguko kubwa katika mafanikio yake.

    UAMUZI WA RAYVANY KUONDOKA WCB UTAMPELEKEA KUPATA ANGUKO KUBWA KATIKA MAFANIKIO YAKE: Ikumbukwe kuwa Rayvany alishajiondoa WCB lebo mama iliyomkuza tangu alipoondoka kwa Madee akiwa msanii mchanga. Dhumuni la Rayvany kuondoka WCB pengine ni yeye kupata mafanikio makubwa kuliko yale aliyokuwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Linda Afya yako kabla ya kupata magonjwa

    Afya ni kitengo cha mtu kujisikia vizuri kimwili,kiakili ,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Mtu hasipokuwa na afya hawezi kufanya kazi vizuri na kufanya mwili wake kutofanya vizuri ndio mtu anaitwa mgonjwa. Chanzo cha afya ni vyakula mbalimbali na kutengeneza kinga za mwili...
  4. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu laki 8 hawajarudi kupata chanjo kamili ya COVID-19

    Takwimu za Wizara ya Afya zimeonesha kuwa watu 449,416 sawa na 26% ya watu milioni 1.71 waliotakiwa kurudi Julai 31,2022 kwa ajili ya dozi ya Pfizer hawakurudi, huku wengine 416,869 sawa na 24% waliotakiwa kurudia dozi ya pili ya Pfizer Agosti 14, 2022 hawakurudi Taarifa hiyo pia imeonesha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye msaada wa kupata hiki cheti tafadhali

    Kwa mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata hiki cheti msaada wako unahitajika zaidi ya unavyofikiria. Kama ulishawi kuomba ukiwa nje ya nchi pia naomba unishauri nawezaje kukipata ingali nikiwa nje ya nje.
  6. JamiiForums Tanzania Chini ya uongozi wa Barbara Gonzalez, Simba SC haiwezi kupata kombe lolote nchi hii

    Najua wengi mtanipinga ukweli ni kwamba mpira wa bongo una Sarakasi nyingi sana nje ya uwanja. Babra hajui chochote kuhusu soka, kibaya zaidi hata wale wanaojua siri za mpira wa nchi hii amewaweka kando. Kama babra ataendelea kushupaza shingo na kutaka kila kitu afanye yeye msimu huu yanga...
  7. JamiiForums Tanzania Ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu. Naomba kujuzwa namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
  8. JamiiForums Tanzania Urgent: Ninahitaji ID COPY ya NIDA ,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata

    Urgent: ninahitaji ID COPY ya NIDA, nina namba tu, mwenye kujua namna ya kupata. Najua humu kuna watu wa aina mbalimbalina wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, Arusha tz
  9. JamiiForums Tanzania Kushindwa siyo kukosa

    SOMO LA LEO "KUSHINDWA" sio "KUKOSA" Karibu sana katika somo la leo, linaloletwa kwenu nami Mr. George Francis Mwanasheria na Mwalimu wa maisha. "A Lawyer and LifeCoach" Leo napenda kuwaambia wasomaji wa makala zangu kwamba "KUSHINDWA" sio "KUKOSA" Hapa sina lengo la kupingana na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Bilioni 12: Arusha kupata maji kwa 100%

    Katika mwaka wa fedha 2022/23 Mamlaka ya Maji katika jiji la Arusha litatumia Sh. Bilioni 12 kutekeleza mradi wa maji ambao utafanya jiji hilo la kitalii kupata maji wa 100% Kwa sasa usambazaji wa maji katika jiji la Arusha ni 75% na baada ya uwekezaji huu wa Bilioni 12 basi hadi ifikapo 2023...
  11. JamiiForums Tanzania Dada wa Rais Kim Jong-Un akiri kaka yake kupata homa kali katika maambukizi ya Covid-19

    Imefahamika kuwa Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un alipata homa wakati wa maambukizi ya Uviko-19, hayo yamesemwa na dada wa kiongozi huyo, Kim Yo-jong. Kwa kauli hiyo ni wazi anathibitisha Kim Jong alipata maambukizi kama ilivyodaiwa, lakini Yo-jong amelaumu Korea Kusini kwa kudai walirusha...
  12. L

    JamiiForums Tanzania China inasaidia vipi wahitimu wa vyuo kupata ajira na kujiajiri?

    Kiwango cha ukosefu wa ajira kwa vijana wenye umri wa miaka 16 hadi 24 ambacho kimekuwa kikiongezeka sana duniani kinaleta changamoto kubwa kwa hivi sasa. Kwa mujibu wa ripoti ya Kamisheni ya Ulaya, mwaka 2021 kiwango cha vijana wasiokuwa na ajira barani Ulaya kilipanda hadi asilimia 16.6...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wazo la bidhaa ya kuuza mtandaoni ndani ya saa 24 tu...

    JINSI YA KUPATA WAZO LA BIDHAA YA KUUZA MTANDAONI NDANI YA MASAA 24 TU Najua uwa unasikia story za watu kupiga pesa mtandaoni yaani wanatumia smartphone au PC na internet kupiga mpunga na haujawahi kuwa mmoja kati yao na unatamani nawe upate bidhaa itakayokuwezesha kupiga pesa mtandaoni na...
  14. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: UVIKO-19 bado upo, ni muhimu kupata chanjo

    Waziri Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa UVIKO19 bado upo na namna nzuri ya kuepuka maradhi hayo ni kupata chanjo hivyo ametoa wito kwa wananchi kupata chanjo ambazo zinaendelea kugawiwa bure. Waziri amesema hayo katika ziara ya Rais Samia Mkoani Njombe ambapo amesema siku ya Jumamosi, Agost 13...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala mkali Baraza la Seneti Marekani: Je, ni nani ana uwezo wa kupata mimba? Hiyo ndiyo kazi wanayolipia walipa kodi wa Marekani

    Hivi karibuni kulikuwa na mjadala mkali sana kwenye baraza la seneti. Kwenye baraza walitaka kuainisha ni watu gani hasa wana uwezo wa kupata mimba ili wanapopanga bajeti ihusianayo na masuala ya uja-uzito wajue hili suala linawahusu watu wangapi? Republican wakasema wale tu ambao walizaliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Je, Ukiwa upo vizuri kiuchumi na wanawake wengi wanazipenda hela zako, unaweza kupata mke Loyal kwa kujifanya masikini kama kwenye muvi za wanaijeria?

    Ni kazi sana mwanamke kujuia na pesa za mwanaume labda awe ni mtoo wa kishua au ana kazi yake inamlipa fresh, Hali hii imepelekea vijana wengi wenye pesa kutembea ama kuoa wanawake wanaojali pesa zao tu, na endapo kukawa kuna mtu mwenye pesa zaidi basi hawajiulizi mara mbili kukuacha ama...
  17. JamiiForums Tanzania Njia za kupata elimu bila kwenda chuo kikuu

    Teknolojia imekuwa muhimu na msaada kwa kila mtu, jinsi inavyoszid kukua na ndivyo inavyoleta mabadiliko. Leo nataka tuangazie njia kadha unazoweza kuzitumia kupata elimu bila kwenda chuo kikuu. watu wengi wana ndoto ya kufanya vizuri katika elimu lakini kwa namna moja ama nyingine huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wateule wa Rais wapitishwe Jeshini kupata mafunzo

    Wabunge na Watumishi wa Bunge waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa wameiomba serikali kuweka utaratibu wa viongozi wanaoteuliwa kupewa mafunzo ili kuwajengea moyo wa uzalendo, utii, uhodari na wepesi katika maamuzi kwenye nafasi zao. Wabunge 21 na watumishi wa Bunge 18 wamepata na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kuhakiki vyeti vya kuzaliwa RITA ili kupata mkopo

    Mwenye kujua nini kinafanyika anijuze please. How long dose it take to get feedback? If the delay is inordinate, what should I do?
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Wateule wa Rais msiwapotezee muda wananchi kupata haki zao katika migogoro ya ardhi

    Siku za hivi karibuni hasa kuanzia serikali ya awamu ya tano mpaka sasa, wananchi wameacha kuamini mifumo rasmi ya utoaji haki badala yake wanaamini viongozi wa kisiasa mfano wakuu wa wilaya, mikoa, mawaziri na watendaji katika vyama vya siasa katika kudai haki hasa ile inayojikita katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…