Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

Aliniambia hutokuja kupata Mwanaume kama mimi

my name is my name

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
2,016
Reaction score
2,402
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume kama mimi maisha yako yote" 🤦‍♀️ Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule 😁 amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu.

Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol 😉
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Bado unampenda ndio mana unamfatilia_ bado hujampata kama yeye maana uliye naye sio yeye
 
Mkuu maelezo yako yanaonesha yeye anaendelea na maisha yake ila wewe hujamove on.

Una kazi ya kumfuatilia na sasa unataka kumuonesha kuwa kuna mtu sahihi zaidi yake.

Waliomove on hawanaga muda wa kufahamu aliyeachana nae anafanya nini na nani, wakiingia kwenye mahusiano wanaingia kwa ajili yao sio kuwaonesha maex kuwa Wana wapenzi wapya.

Kuanzisha Uzi tu ni dalili kuu unamuwaza ex wako muda mwingi kuliko kuwaza ndoa yako itakuwaje
 
Nakumbuka wakati naachana na x wangu aliniambia "hutokuja kupata mwanaume km mimi maisha yako yote" [emoji2356] Watu wengine sijui hua wanajiamini nini mpk wanaeza kutamkia mtu maneno km haya. Matokeo yake yeye ndo hakupata tena mwanamke km mimi.

Baada ya kuachana na mimi amekua akibadikisha wanawake tu, leo huyu kesho yule [emoji16] amekua hadumu kwenye relationships. Relationship yake iliodumu sana ilikua na mimi tu.

Mie aliniambia sitampata mwanaume km yeye saa hii nina mahusiano yangu yanayoenda vizuri tu na mwezi wa 7 tunaoana. Nina plan nimpelekee card ya mualiko huyu x wangu. Nataka aone alichokipoteza kilikua na thamani lakin hakujua thamani yke kwa mda ule lol [emoji6]
Hata huyo unayedai atakuoa.Atakuacha kama x wako.Wewe ni mwanamke usiyejitambua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom