kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    15/10/2022 wanatolewa CAF na kupata jeraha, 16/10/2022 wivu utawaua Simba huyo makundi, 23/10/2022 tunatonesha jeraha!

    Habari ndiyo hiyo! Wazee wa nusu pointi huko CAF kesho kutwa kinanuka! Poleni maana Jumapili ya tarehe 23/10/2022 hakuna jinsi, inabidi tutoneshe tu hicho kidonda toka Sudan!!
  2. Je, umewahi kupata kero gani COSTECH ukifuatilia kibali cha tafiti?

    Ndugu watafiti, recently yamewasilishwa mapendekezo mapya ya sheria ya COSTECH ambayo yanweza kuongeza ugumu wa kupata kibali cha kufanya tafiti. Mapendekezo yanawapa COSTECH uwezo wa kuja na kuvikamata vifaa vyako, kuwauliza staff kuhusu utafiti unaoendelea pia kuchukua documents zenu. Kabla...
  3. Wilaya 6 pekee kati 28 zimenusurika kupata Kipindupindu Malawi

    Umoja wa Mataifa umesema kasi ya usambaaji Ugonjwa huo imekuwa mara 3 zaidi ndani miezi miwili ambapo idadi ya watu waliofariki hadi sasa ni 117. Kati ya Agosti na Septemba 2022 maambukizi yameongezeka kutoka watu 1,000 hadi 4,200 na chanzo ikiwa ni Maji Machafu na Chakula huku nchi ikihitaji...
  4. G

    Jinsi ya kupata mtaji katika forex kwa begginer

    Wakuu FOREX &STOCK TRADING ni biashara yenye hasara na faida kubwa yenye kuhiataji umakini ,na maarifa katika uwekezaji wake, Trading hack Maximum deposit 50$ Broker Deriv Instrument -Volatility 75(1s) Target per day profit 8$ Lot size maximum to be used 0.005 four possition, or...
  5. Msaada: Kupata hati miliki ya wazo

    Wakuu habari za mda huu. samahani sana naomba kuulizia hivi nitaweza kupata wapi sehemu ya kusajili wazo langu yani idea yangu ya ubunifu. nataka nisajili idea ( Hati mmiliki ya wazo). Nina kifaa cha umeme ambacho nimekitengeneza mimi mwenyewe. ila na hofia naweza nikakipost au kukipeleka...
  6. Nchi ile iliacha kupata viongozi mwaka 2015. Waliofuatia...

    Habari Wakuu Binafsi naona nchi ile iliacha kupata viongozi kwa maana sifa za Uongozi mwaka 2015 Waliofatia wote,kila mtu anajionea. Wamekuwa wakali, hawana uvumilivu, hawana subira,hawataki kusikiliza maoni, hawataki kukosolewa, wapinzani cha moto wanakiona, visingizio na malalamiko mengi...
  7. Formula; 'Ondoka' 'Acha' ndio maana halisi ya kupata Mafanikio

    Formula; "ONDOKA" 'ACHA' NDIO MAANA HALISI YA KUPATA MAFANIKIO. Anaandika, Robert Heriel Mwanafalsafa Nitakuambia ukweli na siri wala sitakuchaji hata sumni wala shilingi yoyote. Vitu tulivyopewa bure tunavitoa Bure. Wala usinipe sifa yoyote Kwa maana sistahili sifa. Wala usinishukuru Bali...
  8. Confessions: Umewahi kupata hisia za kimapenzi ama kuwa katika mahusiano na ndugu yako?

    Kiukweli haya ni mambo ambayo hatuwezi yaweka hadharani maana ni kufru lakini kwa hapa jamiiforums hakuna anaemjua mwenzake kuna privacy hivyo uhuru wa kutiririka siro zetu upo. Niliwahi kuwa na feelings na mtoto wa mamamdogo wangu ambae niliishi nae miezi miwili akiwa likizo ya form 6...
  9. Ni aibu kubwa kwa taifa lenye rasimali nyingi kama Tanzania kukomalia tozo za line za simu. Bora serikali ijikite kuchimba dhahabu ili kupata mapato.

    Karibu kila eneo la taifa letu limejaliwa kuwa na madini ya kila namna. Dhahabu ndio inapatikana kwa wingi kila mahala hapa nchini. Kama kuna baadhi ya kampuni za kigeni zina migodi ambayo uwekezaji wake haufiki hata bil 200 na wanachimba na kupata faida na pesa nyingi tu. Kwa nini huyu...
  10. Kwa mauaji yanayotokea vituo vya polisi kama vile polisi wamegeuka serial killers

    Nani anapenda kumzika ndugu yake ambaye amepoteza uhai kabla Mungu hajamuita. Mbaya zaidi wanaokuwa wamemuua hawachuliwa hatua kisheria. Kila siku kukicha tunasikia vyombo habari watuhumiwa kujinyonga selo za polisi katika mazingira ambayo tafakuri ikifanyika watu hawapati majibu. Tukio la...
  11. J

    Marekani kubadili vikwazo kuwawezesha wananchi wa IRAN kupata taarifa.

    Serikali ya Marekani imepanga kubadili baadhi ya vikwazo iliyoiwekea nchi ya Iran ili kuwawezesha wananchi wa Iran kupata uwezo wa kukwepa mifumo ya kiudukuzi na inayozuia wananchi kuweza kupata taarifa. Hatua hii ya Marekani imekuja kufuatia kifo cha mwanadada wa Kikurdi nchini Iran...
  12. I

    Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  13. T

    Ni wapi naweza kupata mkopo usio na RIBA ndani ya Tanzania hii?

    Amani iwe nanyi. Moja kwa moja naomba nijitambulishe kwa imani mimi ni muumini wa dini ya Kiislam.Katika maandiko matakatifu ya kitabu cha Quran naona kuwa Suala la RIBA limekemewa sana ,kifupi ni haramu kula au kutumia RIBA! Principle kuu ni kuwa RIBA ni haramu, yaani ongezeko lolote la pesa...
  14. DOKEZO Mbunge wa Igalula Venant Protas, tumia fedha za mfuko wa jimbo kusambaza umeme vijijini. Acha kununua pikipiki na kukopesha kupata faida binafsi!

    Wewe! Wewe Makinika! Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako! Tumia akili Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
  15. A

    Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  16. Msaada wa kupata ramani ya hall dogo

    Wakuu mmebarikiwa sana na MUNGU. Nimekwenda kuomba kibali cha ujenzi halmashauri nikaambiwa nipeleke ramani. Nachotaka kujenga ni hall la kufanyia ibada. Nimeulizia kwa wachoraji naambiwa bei kubwa sana. Sasa kama unaweza kupata ramani ya hall la mita 15 kwa 15 na ramani hiyo iwe inakubalika...
  17. Kenya: Wafanyabiashara wa Pombe waomba Poh, watangaza kupata hasara ya Tsh. Bilioni 309.5

    Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
  18. Msaada: Naomba kujua chuo cha udereva wa pikipiki na kupata leseni

    Habari wana JF, Naomba kujulishwa mambo yafuatayo kwa wanaofahamu. 1. Chuo kinachotoa mafunzo ya udereva wa pikipiki Dar es salaam (Specifically wilaya ya Temeke). 2. Jinsi ya Kupata Leseni ya Kuendesha Pikipiki na Gharama zake. 3. Jinsi ya Kubadili Plate number kutoka Nyeupe kuwa njano...
  19. Watu wangeruhusiwa kupata supu ya bangi

    Kiukweli bangi haina shida kama inavyotangazwa vibaya. Bangi haina tofauti na kahawa. Tena bangi inafaida sana. Moja ya faida ya bangi ni kukata hangover. hakuna dawa nzuri ya hangover kama bangi. Napendekeza watu waruhusiwe kupata supu ya bangi ili kukata hangover. Assume supu ya mbuzi imeungwa...
  20. SoC02 Ipo haja ya kuja na mfumo unaowezesha kupata huduma za pesa za mitandao ya simu mbalimbali kwa pamoja

    Huduma za pesa mtandao kupitia simu za mkononi ni eeneo ambalo katika sekta ya uchumi linatajwa kukua kwa kasi sana kwenye huduma za kifadha kwa njia ya mtandao. Ripoti ya mwaka 2019 iliyotolewa na tasisi ya kimataifa ya GSMA Intelligence ilionyesha kuwa Tanzania ni mojawapo ya mataifa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…