Njia rahisi ya kupata number ya mkaka/ mdada unayemcrushia

Raymanu KE

JF-Expert Member
Jan 20, 2022
6,843
12,612
Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.

Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake.

Wakati wa kuondoka basi jisogeze kwake Kisha mwambie Kama hatojali umpe number yako ili baadae akutumie hyo picha Kwenye what's up ili na wewe uweze kutunza kumbukumbu ya tukio kupitia ile picha.
Hapa natumai utakuwa na lengo Moja tu la kupata number ya huyo mdada/ mkaka Wala huna haja na hiyo picha😂

Akishakutumia picha mliopiga pamoja Kwenye what's up baaasi, number Yake utakuwa umeipata kirahisi namna hiyo.Kisha utaanza process ya kumtongoza pole pole mpaka anaingia kingi mazima😂😂
 
Hapa natumai utakuwa na lengo Moja tu la kupata number ya huyo mdada/ mkaka Wala huna haja na hiyo picha

Akishakutumia picha mliopiga pamoja Kwenye what's up baaasi, number Yake utakuwa umeipata kirahisi namna hiyo.Kisha utaanza process ya kumtongoza pole pole mpaka anaingia kingi mazima
Shule zinafungua lini jamani?
 
Mkiwa Kwenye party ile mida ya kujiphotoa jisogeze karibu ya mkaka au mdada ambaye Ni crush wako Kisha muombe apige nawe picha kwa kutumia Simu Yake.

Ili kufanikisha Hilo kwa urahisi, Zima Simu yako Kisha mwambie Simu yako imezima kwa hiyo mkapige picha pamoja kwa kutumia Simu Yake.

Wakati wa kuondoka basi jisogeze kwake Kisha mwambie Kama hatojali umpe number yako ili baadae akutumie hyo picha Kwenye what's up ili na wewe uweze kutunza kumbukumbu ya tukio kupitia ile picha.
Hapa natumai utakuwa na lengo Moja tu la kupata number ya huyo mdada/ mkaka Wala huna haja na hiyo picha😂

Akishakutumia picha mliopiga pamoja Kwenye what's up baaasi, number Yake utakuwa umeipata kirahisi namna hiyo.Kisha utaanza process ya kumtongoza pole pole mpaka anaingia kingi mazima😂😂
Process ndefu Sanaa
 
Kudanga class 101.
 
Mbinu ya kiboya kabisa
 
Ukijiona huwez kutongoza mwanamke had uwe na gari, hadi uwe umependeza, hadi uwe na sim Kali, had ujifagilie kuwa una pesa na sifa zingine za kijinga, au mbinu uchwara Kama hizi za kujidai simu ilizima ujue we ni mwanaume usie jiamini.

Mimi ni miongoni mwa wanaume wachache waliobaki ambao kutongoza hatuhitaji kupata namba ya simu, namba ntachukua tu ili iwe rahisi kukutana nae na sitatumia njia ndefu kumuomba, na nikiipata simtongozei WhatsApp namuita nimchane mbele ya macho yake
😂😂 Basi we jamaa Ni hatari Sana
 
Back
Top Bottom