kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania inataraji kupata mvua kubwa za Elnino isivyo kawaida. Wavuvi waanza kukatazwa kwenda kuvua

    Salaam Wakuu, Kupitia WhatsApp yangu nimetumiwa ujumbe wa tahadhari kuhusu kuwepo kwa Mvua katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania. Ujumbe huo unaeleza: Shinyanga, Dar, Pwani, Mafia,Tanga, Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kigoma na Kagera tujiandae, kutakuwepo na Pacific El nino na Atlantic El...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Naombeni maelekezo jinsi ya kupata TIN na leseni ili nikasajilie lain za uwakala

    Nahitaji kusajili laini za UWAKALA hivyo nilikua na omba maelekezo wapendwa naanzia wapi ? Mpaka nipate Tin,lesen pamoja na laini Je kuvipata vyote hivyo inaweza chukua gharama kiasi gani.? Laini ya Vodacom,Tigo, Airtel na halotel
  3. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata mkopo wa Tsh. Milion 1 na laki 2 kwa dhamana ya vyeti vyangu?

    Ndg nawezaje kupata mkopo wa tsh Milion 1 na laki 2 tu, kwa dhamana ya vyeti vyangu? 1.Cha form 4 2.Cheti cha kuzaliwa 3.Leseni ya udereva iliyo ndani ya muda 4.Cheti cha diploma chuo cha biashara CBE 5.Cheti cha degree chuo cha uhasibu TIA Vyote ni Original kabisa, na ni vyakwangu...
  4. JamiiForums Tanzania Kupata Tin number na tax clearance kwa kampuni

    Naomba kuuliza Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance. Au nimpe...
  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Utaratibu wa kupata Police Clearance Certificate (Criminal Record Check Certificate)

    Habari, Naomba kujua jinsi ya kupata police clearance certificate. Na je, inatuchukua siku ngapi au naweza kupata online? Msaada tafadhali.
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata huduma ya E-sim kwa simu ya namna hii?

    Habari waungwana! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini. Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo. Karibuni kwa...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
  9. JamiiForums Tanzania KWELI Matumizi ya Bangi huongeza hatari ya kupata Shambulio la Moyo na Kiharusi (Stroke)

    Wakuu nimekutana na makala moja CNN kuhusu utafiti ulioonesha kuwa Watu wanaotumia Bangi wako hatarini kupatwa na matatizo ya Shambulio la Moyo au Moyo kushindwa kufanya kazi (Heart Failure). Hii imakaaje wakati hivi karibu kumekuwa na maelezo kuwa Bangi husaidia kutibu baadhi ya Seli za Saratani?
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Bay swing/Rocking chair?

    Habari zenu wadau, Naulizia kwa Arusha au Dar wapi naweza kupata Baby Rocking chair/Baby swing ya kutumia umeme tafadhali?
  11. JamiiForums Tanzania Kupata Pesa Mkondoni Uhakika 100%

    Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya. Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuwe makini na wanasiasa wanaotaka kutumia ukabila kupata kura

    Mara nyingi wanasiasa ndio wamekuwa chachu ya ukabila Afrika. Watanzania tunapaswa kuwa makini na wanasiasa hawa ambao hawaangalii maslahi mapana ya nchi bali huangalia nafasi zao madarakani. Kuna hisia kubwa kuwa kuna kundi la wanasiasa wanatumia mbinu mbalimbali ikiwepo kutaka upendeleo wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  14. JamiiForums Tanzania Tuliowahi kupata madem katika mazingira magumu bila kutarajia

    TUKIO LA 1: Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa pamechangamka sana pale Pale mbagala zakheim kuna daladala zinazoenda mbagala kuu na kijichi aisee...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kupata hati wizara ya ardhi inachukua siku ngapi?

    Nina ardhi yangu iko mkoa wa Dar es Salaam haijapimwa bado. Je, process za wizara ya ardhi kukupimia zikoje?
  16. JamiiForums Tanzania Arusha inaenda kupata uhuru hii sio Tz kabisa

    Twende kazi
  17. JamiiForums Tanzania Vyakula vya kitanzania ambavyo huwezi kupata majina yake kwa lugha ya kigeni

    Hizi ni 'brand zenye hati miliki ya kitanzania' Vitumbua, chapati, makange, ugali, kachumbali, mtori, "ebyenshoro(wahaya)", "enumbu", "ensharazi", "amakongo", "entutunu", "ebila", "ebitomasi", "amasoma", udaga, kisusio(wachaga), n.k. EBU NA WEWE ONGEZEA KWA LUGHA YA KWENU
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ni zipi kozi fupi za Bandarini zinasaidia kupata kazi?

    Wakuu, nataka kusoma short courses zinazotolewa Chuo cha Bandari pale Tandika hivo nilikua nataka majina ya short course ambazo ukisoma labda 4 weeks utapata ajira maana kuna mtu kanambia hii ya kuendesha foko.
  19. JamiiForums Tanzania Nina Mil 3 je nitaweza kupata Carina Ti My world?

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mzigo wa cash upo mkononi. Gari iwe mikoa ya Mwanza au Geita.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata HESLB Loan Statement

    Jamani nataka kuwalipa Loan Board deni Lao sasa ninashida na loan statement ili niweze kupata control number ya kuwalipa. Kwahiyo kwa anayewe kunisaidia namna ya kuipata anisaidie NATANGULIZA SHUKURANI
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…