Je, Tego la kunasana ni kweli?

Termux

JF-Expert Member
Oct 7, 2017
406
980
Habari JF, Sina mengi zaidi ya kumshukuru mungu na kuenjoy maisha.

Nmekutana na changamoto sana ya watu wengi kuulizia kuhusu TEGO la kumtego kipenzi au mpenzi au rafiki yako katika mausiano, je hiki kitu ni cha ukweli au ni janja janja ya vijana wa mjini.

Kwa mtu anae jua au kufahamu kuhusu hili jambo, tunaweza kusaidia watu wengine ambao wanashida sana na hii kesi ya tego.

Je TEGO ni kweli au maigizo ya watu?

Je TEGO lipo kweli ? Naoma sibitisha kama lipo kweli ili watu wapate kujua na kujifunza.
 
Mnamo mwaka 2008 niliona hilo tukio ukerewe kisiwani. Wale wagoni walinasasana kwa zaidi ya siku mbili hadi wakapelekwa hospital lakini haikufua dafu. Wakaamua kuwatafuta wanandoa wao ili waseti mabo ...,. Ah nitaendelea kesho nishalewa sikioni kioo vizuri
 
Habari JF, Sina mengi zaidi ya kumshukuru mungu na kuenjoy maisha.

Nmekutana na changamoto sana ya watu wengi kuulizia kuhusu TEGO la kumtego kipenzi au mpenzi au rafiki yako katika mausiano, je hiki kitu ni cha ukweli au ni janja janja ya vijana wa mjini.

Kwa mtu anae jua au kufahamu kuhusu hili jambo, tunaweza kusaidia watu wengine ambao wanashida sana na hii kesi ya tego.

Je TEGO ni kweli au maigizo ya watu?

Je TEGO lipo kweli ? Naoma sibitisha kama lipo kweli ili watu wapate kujua na kujifunza.
Achana na huyo mke wa mtu
 
Back
Top Bottom