kupata

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wasiokunywa pombe ni wanafiki na hujipendekeza kwa mabosi ili kupata upendeleo

    Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki. Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu. Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ni mafao gani anayostahiki kupata mtu ambaye amefukuzwa kazi serikalini

    Habari wakuu! Natumai mko poa kabisa Moja kwa moja kwenye mada hapo juu Ni mafao gani anayostahili kupata mtu qmbaye kafukuzwa kazi serikalini kwa kosa la kinidhamu? Naomba kuwasilisha wakuu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Hesabu;Tumia Kigawe Kikubwa cha shirika (KKS) kupata size ya tiles na kupunguza upotevu(kukata kata).

    Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu. Kigawe kikubwa cha shirika (KKS) kinaweza kukusaidia kujua size ya tiles ili kupunguza upotevu (wastage) inayotokana na kukata kata...
  4. JamiiForums Tanzania Mzazi anaona bora mtoto alipwe laki 3 akiwa ameajiriwa kuliko kupata million 1 ya kujitafutia

    Nadhani hili mentality ipo sana kwa wazazi wetu hasa ambao. Hawakufika shule nadhani, waliishi katika dunia ambayo waliamini kuajiriwa ndio kila kitu. Week iliyopita nilikua kwenye mji mmoja unaitwa Msalala geita hapo, kuna harakati sana za madini, nikakutana na homeboy wangu mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Nitajie nchi za Afrika tokea kupata uhuru au sehemu nyengine urusi ilivyounga mkono nchi zikawa na maendeleo makubwa ya kutisha

    Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi. Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata namba ya NIDA?

    Wakuu kwema, Umepita muda wa mwezi mmoja tangu nijiandikishe nida ili kupata kitambulisho cha Taifa, sijatumiwa sms na NIN na kawaida wanasema inachukua wiki 1 tu kutoa namba Mwenye kujua jinsi ya kuangalia kama namba imetoka au kujua maombi yapo hatua gani anielekeze. ASANTENI.
  7. JamiiForums Tanzania Mwanauke: Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Oa Mwanamke kabila la Wakikuyu toka Kenya Ni mabepali wazuri sana
  8. JamiiForums Tanzania Mbinu za kupata utajiri usioyumba [Kushuka yaani ni Kupanda tu hadharani]

    Jiunge CCM
  9. JamiiForums Tanzania Tunakusaidia Kupata Property Inayokufaa!

    Tuna options mbalimbali katika maeneo ya Upanga, Masaki, Oysterbay, Mikocheni na maeneo mengine ya Dar es Salaam Apartments za Kisasa Nyumba za Kupanga na Kuuza Viwanja vya Uwekezaji Commercial Properties Piga Simu au WhatsApp: 0784 225 000 Kayinga Properties – Your Trusted Real Estate Partner
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna kosa kubwa alilolifanya Mwl Nyerere ni kusaidia mataifa ya kusini kupata uhuru. Mpaka leo hili kosa linatugharimu

    Pesa nyingi ilitumika kusaida nchi za kusini mwa Afrika na akasahau kabisa kujenga taifa lake. Watanzania waliishi maisha dhiki huku mataifa ya nje yakinufaika na kupata uhuru. Miaka 26 aliyetawala Mwl Nyerere aliiacha nchi hovyo kiuchumi na maendeleo. Naishia hapa....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata Trial ya Chat Gpt plus, Option ipo ila inakwama nikiweka payment details ?

    Huwa nikiingia chatgpt kwenye pc naona kuna sehemu ya trial kujaribu kwa mwezi moja bure Ila nikiingiza details za kwenye kadi ya mpesa visa card inakataa Kuna rafiki yangu alitumia vpn ya Marekani na kupata option ya paypal ikakubali lakini bado yupo kwenye ofa ya kawaida
  12. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kuwa na Bunge ambalo asilimia 96 ni Chama kimoja huwezi kupata Fikra tofauti

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026 "Kuwa na bunge ambalo ni 96% ni chama kimoja huwezi kupata fikra tofauti. Kwa hiyo, wala sio afya wala sifa kuwa na control ya mawazo ya upande mmoja tu."- Amesema Zitto Kabwe
  13. JamiiForums Tanzania Wiki moja tu ya mikutano ya CCM wamechanganyikiwa na kupata mfadhaiko wa kisiasa.

    Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano. Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi. Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato. Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je...
  14. JamiiForums Tanzania kupata pisikali kwa kujitoa ufahamu

    Ni mwanzo tulivu sana wa weekend... maeneo fulani nimetulia na PC yangu nikaona nieleze kinaga ubaga kuhusu jambo hili lililoshamiri mno miongoni mwetu tulio wengi. ingawa jmbo hili halisemwi semwi sana ila limejiotea mizizi mno na bila shaka athari zake ni mbaya sana... nitazieleza mwishoni...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Wilaya ya Micheweni – Pemba tunasumbuliwa kupata Vyeti vya Kuzaliwa, tunachoka kusubiri

    Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji unasumbuliwa kuliko maelezo. Unaweza kufuatilia kwa muda wa mwaka mzima hujapata cheti cha mtoto wako...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kupuuzwa kwa uwepo wa watumishi wa kujitolea baadhi ya ofisi za Serikali; Hususani katika kupata stahiki na posho

    Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ambayo inamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya kupata kibali

    Serikali Imesema inatekeleza Sheria ya Afya ya Jamii ya Mwaka 2009 Kifungu Na.173 (1), ambacho kinamtaka mtoa maudhui, mada au matangazo yanayohusu afya ya jamii kupata kibali kutoka kwa waziri wa afya au ofisa aliyeidhinishwa na waziri. Kauli hiyo imeolewa bungeni leo Na Naibu Waziri wa Afya...
  18. JamiiForums Tanzania Shati kama la Echolima1 naweza kupata wapi ?

    Mzuka wana jamvi ? Nimeona shati kwenye avatar ya Echolima1 nimevutiwa nalo, la unyama sana mixer ulokwiz hivi naweza kupata wapi kirahisi bongo ?
  19. JamiiForums Tanzania Kwa comb ya PCP SIX ufaulu wa CDC naweza kupata kozi ya MD Kwa vyuo kama KCMC, Bugando na Kairuki?

    Husika na mada tajwa hapo juu msaada 🥺 please
  20. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Serikali imetoa Sh Bilioni 48.8 Bima ya Afya kwa wote, Wanufaika 463,228 waanza kupata huduma za matibabu

    Serikali imeanza rasmi utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote kwa kaya zisizo na uwezo kwa kutoa Shilingi bilioni 48.8 kwa ajili ya kuwawezesha wananchi wa makundi maalum kupata huduma za afya kwa uhakika. Kupitia utekelezaji huo, jumla ya kaya 172,297 tayari zimefikiwa na kuingizwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…