kupata pisikali kwa kujitoa ufahamu

kupata pisikali kwa kujitoa ufahamu

zee_latown

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
523
Reaction score
927
Ni mwanzo tulivu sana wa weekend... maeneo fulani nimetulia na PC yangu nikaona nieleze kinaga ubaga kuhusu jambo hili lililoshamiri mno miongoni mwetu tulio wengi. ingawa jmbo hili halisemwi semwi sana ila limejiotea mizizi mno na bila shaka athari zake ni mbaya sana... nitazieleza mwishoni.

kutongoza ni kitendo cha mwanaume kumfuata mwanamke na kumueleza kuwa anampenda( kwa jamii zetu za kiafrika), kisha mwnamke huyo humpa jibu la ndiyo/hapana papo kwa papo au baada ya muda fulani.

kuna mbinu nyingi sana za kuopoa wanawake, hasa hawa pisikali kama watoto wa Atlanta wanavyowaita. baadhi ni za kudhalilisha utu wa mwanaume yaani mtongozaji. na baadhi si za kudhalilisha utu.

Kwa experience yangu mimi zee latown, humu jamvini kumekuwepo na thread nyingi mno za watu kueleza hisia zao kwa wawapendao... kuna huyu Seran na wengine wengi mno wameshuhudia haya...

mostly thread hizo kwa kweli zilikuwa ni za kujidhalilisha na kudhalilisha utu wa mtongozaji.

sasa naeleza kwa namna gani kujidhalilisha huku kunavyotokea.

1. unajichetua chetua na kujifanya chizi mbele ya pisi kali ili uichekeshe ikihurumie ikutunuku tunda.

2. unabadilika na kugeuka kuwadi wake wa kumtafutia boda boda ili uwe karibu naye na hatimaye akuhurumie akupe mbususu.

3. unabadilisha lifestyle kwa kufanya usiyoyapenda ili afurahi akuhurumie akupe tunda.

4. unakesha google na youtube kutafuta vichekesho vya mr bean ili tu uvitumie ili pisi kali ifurahi ikutuuku tunda(mbususu)

5. kujitabasamisha na kujichekesha hovyo muwapo kwenye mazingira ya sehemu moja, ili afurahi na akuone wewe mcheshi akupe tunda.

6. kufuatilia kila status atakayo post na kui view pamoja na kutumia reply ya emoj ya kopa jekundu.

7. kama ulibahatika kupata namba yake, kila usiku kabla hajalala ni lazima umchekeshe na vistori uchwara vya kubumba ili afurahi ikibidi akukubali.

anaweza kukubali ila shida kubwa itakayojitokeza kwenye mahusiano hayo ni hii... KUWA MTUMWA

utalazimika kuwa submissive kwake continuously na hapo tayari umeshakuwa mtumwa wa pisis kali officially.

binafsi katika vitu nilivyokwepa tangu nikiwa teenager ni kuwa mtumwa wa mtu kwenye mahusiano... na hili nilishajua linasababishwa na nini.

hapana... kuwa mtumwa ni big no no matter how beautiful a gal is.

mjadala huu ni huru.. na huu ni mtazamo si msahafu.
 
Ndio unitolee mfano mimi😳
20260522_155054.jpg
 
Mimi nikipiga konyagi zangu 3 kila mwanamke ni pisi kali kwangu. Hata kama una sura kamba punda wa kimakonde unakua toto si toto. Na ndio maana hadi waleo hawajawahi nidhalilisha coz nawapa misifa kama yote ili wasije kuniteka.
 
Back
Top Bottom