Ni ukweli usio na shaka mahali popote duniani kuwa miji na matumizi ya maeneo katika miji hupangwa. Mipango miji ni TAALUMA na inasomewa.
NI ukweli pia usiopingika kuwa kuwa MAZINGIRA ni taaluma, inasomewa pia BIASHARA ni taaluma .
Katika manispaa na miji wataalamu hawa wameajiriwa ili...
Habari za saa hizi Ndg zangu! Polen na majukumu,
Samahani Sana Tena naombeni ushauri tu kwa anayeweza kunishauri.
Nlipanga nyumba mwaka Jana mwezi wa 11 nikalipa kod ya miez 2 Mana niliomba nilipe hivyo ilipofika January mambo yakawa mabaya Maana nategemea utalii Corona imekuwa janga sijpata...
Ole kwao ambao wananchi hawa maskini waliwapa dhamana ya kuwaongoza wakitegemea kuboreshewa maisha na kinyume chake wanawatesa kupitia kodi na tozo zisizo na maana.
Ole wao kwa kuwa tunajua hizi zote ni lengo lao la kujilimbikizia mali zaidi na utajiri kwa ajili yao na familia zao.
Ole wao...
Habari zenu.
Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii.
Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji.
Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
Kuna baadhi ya mambo yanayoendelea yanastaajabisha sana,yalipigiwa sana kelele huko kabla, yanakuharibia sio kidogo na kadri muda unavyozidi kwenda yanazidi kukuharibia.
Ushauri unapata kutoka sehemu mbalimbali, kuna wanaokupa kukusaidia na wanaokupa kukuharibia japo inaweza kuonekana kwa...
Naitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Mabwepande Bunju B. iwe stand alone na ndani ya fance. Pia naitaki viwanja vya kununua(vilivyopimwa) maeneo ya Magwepande na Bunju B. Kama una offer naomba nicheck DM.
KUCHAGUA CHA KUPANGA NA KUPANGA KIMNUFAISHEJE MNYOGE
Kwa wale wenye umri kama wa kwangu, watakumbuka ule mgawanyo wa dunia kiuchumi kuwa kuna nchi zilizoendelea, za uchumi wa kati na zisizoendelea (underdeveloped). Tanzania iliangukia kundi la tatu. Baadae wakabadili na kutumia majina mengine...
Teenagers wengi bado ni wanafunzi wanahitaji sehemu ya kujisomea wakiwa nyumbani. Ni muhimu kuanza kumfundisha kusafisha na kupanga chumba chake kila mara hasa weekend. Haya ndiyo maandalizi ya kupanga nyumba yake miaka
Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale.
Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
Unakuta wao wana waume ( mabwana ) zao na huenda kila siku ( 24/7 ) tu wanangonolewa nao, lakini wakikuona tu mpangaji wa kiume ambaye hujaoa na wala hutarajii kuja kuoa leo, kesho na mtondogoo kama Gentamycine unaingiza ' mademu ' siku zote wanaumia, wanakununia na kukupiga majungu.
Ni kipi...
Leo nawaibia kidogo kuhusu uwekezaji kwenye nyumba za kupangisha hii ní biashara nzuri sana ambayo utaishi bila kuwa na mashaka yoyote yale katika mzunguko wako kipesa na família.
Iko hivi mfano unaenda Dodoma unapata kiwanja sqm 1000 cha bei 20m ambacho utaweza kujenga unit 4 ambazo moja ya...
Habari wadau..!
Najua humu ndani kuna greater thinkers wengi ,kama jambo tutalipitisha hapa basi bungeni watalitafakari kwa kina.
Nchi nyingi duniani zimehalalisha matumizi ya bange na wanatengeneza pesa ndefu sana .
Kwa kwetu pamba,korosho ,kahawa naona zinasuasua kwa nn basi tusipigie...
Ndugu wa Tegeta
Ndugu wa Mbezi Beach
Ngugu zetu wa goba mupoo
Chumba cha 50,000/=
6 months nalipa
Wapangaji wasizidi wa 3
Mwenye nyumba asiwepo mazingira gari iwe inafika hapo
Gypsum
Tiles muhimu
Ikiwa master ni vizuri zaidii...
Msaada jamani
Hili ni tatizo kubwa sana ambalo limeligharimu taifa letu ndio maana mpaka sasa tuna umaskini mkubwa sana. Maana nchi yetu haina wachumi wazuri wanaoweza kushauri vipaumbele vinavyoweza kubadili maisha ya Watanzania.
Mfano awamu ya kwanza ya Mwl Julius Kambarage Nyerere ilijikita zaidi kwenye...
Habari wanna jf...
Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali
chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
Heri ya mwaka mpya wapendwa.
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.