kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kupanga chumba, ushawahi kunatana na mpangaji mwenza mwenye kiburi?

    Harakati za hela ya umeme nyumba za kupanga zenye kushare Luku. Few years ago, nilipanga chumba, wapangaji tulikua wawili na mtoto wa mwenye nyumba, kwakua mtoto wa mwenye nyumba alikua anatatizo la akili, tulimtoa katika kuchangia umeme, pia hakua na matumizi makubwa. Mwanzoni mambo yakawa...
  2. Dodoma messengers

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Tunauza Viwanja na kutafuta wapangaji wa nyumba

    Inatokea unataka kuja DODOMA kusoma, kuishi au hata kikazi, nakusihi uwasiliane namimi endapo mahitaji yako ni chumba cha kuishi, nyumba au hata appartment. Mpangaji huweza kulipia mara baada ya kuona chumba Kama ni mhitaji wa chumba,nyumba kama ni mhitaji wa nyumba. Mpangaji hutoa chaguo lake...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga mikakati ya kuendeleza sekta ya sheria nchini

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupanga mikakati ya kuendeleza Sekta ya Sheria nchini kwa ajili ya kuwatumikia Watanzania. Hayo yameelezwa na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Boniphace Luhende wakati akitoa salamu kwenye kikao kazi cha Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo vya Sheria...
  4. Mwanzo ni Mwisho

    JamiiForums Tanzania kinahitajika chumba cha kupanga

    Habari, kinahitajika chumba cha kupanga selfcontainer / master, kodi ya 100,000 kwa mwezi. maeneo ya mwembeyanga, tandika magorofani karibu na chuo cha bandari.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Natafura mfumo bora wa ukusanyaji kodi katika nyumba za kupanga

    Wakuu salamu. Naomba niende kwenye point moja kwa moja. Kama mnavyojua miaka inasogea na watoto wanakua na wakubwa wanazeeka. Na maisha yanasonga mbele na TOZO zinayoyoma. Pamoja na 10% inayopendekezwa na serikali ya CCM, kwenye nyumba za kupanga. Sasa Mungu katubariki vijumba viwili vitatu...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Juma Mgunda jiandae kupoteza kibarua chako endapo utaendelea kupanga kikosi kwa mujibu wa Matola

    Ahlan Uzi unaenda moja kwa moja kwa kocha Mgunda,nafuatilia mtanange wa simba dhidi ya prisons kupitia azam max nikiwa jijini Ljublijana hapa nchini slovenia.Nikiangalia kikosi cha simba naona wazi kuwa kocha Mgunda anapangiwa kikosi na msaidizi wake Matola. Hivyo ajiandae kabisa kutimuliwa...
  7. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  8. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tabia ya ushikwambi inawafanya watu kutokuachana na nyumba za kupanga

    Wadau kuna baadhi watu wana uwezo mkubwa sana wa kujenga na kuwa na makazi yako lakini bado umalaya unawafanya waendelea kupanga. Kuna watu wengine walishakolea ile tabia ya kutembea na wapangaji wanaona wakijenga na kuishi kwao hawatapata michepuko. Kuna watu walishazoea yale maisha ya...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kupanga ni kuchagua

    Maendeleo ya nchi yanapimwa kutokana na wingi wa changamoto zinazoikabili jamii ya nchi husika. Zile ambazo zimeendelea wananchi wake wananchi wake wanakuwa na changamoto chache zinazowakabili, wakati zile ambazo hazijaendelea watu wake wanakuwa na changamoto lukuki. Je, Mungu aliwapendelea...
  11. KAFA.cOm

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    ENZI ZETU Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati. Salamu nyingi sana zikufikie huko ulipo. Utakapo kujua khali yangu mie ni bukheri kabisa. Hofu na mashaka ni juu yako ewe mpenzi wangu uliye mbali na upeo wa macho yangu. Dhumuni la barua yangu ni kutaka kukusabahi na kukushukuru kwa barua yako...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  13. Equation x

    JamiiForums Tanzania Usinunue vitu vya thamani kwenye nyumba ya kupanga, kabla hujajenga kwako

    Watu wengi hupenda kununua vitu vya thamani na kuishi navyo kwenye nyumba za kupanga (nyumba za wanaume wenzao, waliojinyima na kuweka mijengo). Kufanya hivyo, kunawafanya watu wengi kuishi muda mrefu kwenye nyumba za kupanga, na kusahau kujenga nyumba zao. Utakuta mtu ana kipato kizuri...
  14. knownless

    JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao. Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira. Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kupanga nyumba au chumba na kukuta kuna mpangaji mwanamke

    Habari wana JF, Kupanga sehemu mpya na kukuta jinsia tofauti na yako kwanini huwa mahusiano yaanze. Ukipanga sehemu mpya unaweza kujizuia kuanzisha mahusiano na mpangaji mwenzio? Nina nyumba ya 3 sasa nahamia na zote nakuta wadada na mahusiano yanaanza na wengine wana watu wao japo hawaishi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga (vyumba vinne self contained) inahitajika jijini Mwanza

    Nyumba ya vyumba vinne (self contained) inahitajika haraka. Sifa: 1. Iwe jiji Mwanza (Ilemela na Nyamagana) 2. Hali nzuri 3. Usalama/fence 4. Inafikika bila changamoto 5. Parking ya gari 2 na kuendelea Mawasiliano piga 0769746211 Isiwe na dalali
  17. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga/ kupangisha MWANZA

    JE UNAHITAJI NYUMBA AU UNAPANGISHA NYUMBA JIJINI MWANZA(ROCK CITY). USIPATE SHIDA. WASILIANA NASI:0755213580.
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki mradi wa nyumba 83 za kupanga Kunduchi Beach?

    Kuna mradi wa nyumba 83 unajengwa hapa Kunduchi beach, Je mmiliki ni nani?
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyoanzishwa kampeni ya kujenga Shule za kata sasa tuanzishe kampeni ya kupanga miji na maeneo yetu!

    Nilichojifunza hapa Tanzania, ukidhamiria kufanya jambo fulani, ukalipa jitihada za kutosha na fedha , lazima jambo hilo lifanikiwe. Kwenye moja ya sehemu ambayo kwa macho yangu nimeshuhudia hilo ni ujenzi wa madarasa zaidi ya 12,000 tena kwa viwango vizuri sana uliofanyika kipindi hiki cha...
  20. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Siwezi kupanga chumba mimi sio mwanamke😬😬

    Mwanaume kwanza unalalaje ndani😜😜
Back
Top Bottom