kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Habari zenu wakuu. Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia nihame pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuhama, nichukue hatua gani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwanza Mjini

    Habari wanna jf... Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali nzuri.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuunganishiwa separate mita ya umeme nyumba za kupanga

    Heri ya mwaka mpya wapendwa. Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo juu, kuna uwezekano wa kuwekewa mita tofauti na ya Tanesco ambayo naweza nikatumia peke angu iwe kwenye frame ya biashara au nyumba ya kupanga?
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kupanga mji ni ustaarabu tu wala siyo utajiri. Cheki hiki kijiji huko Mbeya.

    Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya. Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla hawajachafua maeneo yao. Weka picha ya kijiji kilichopangika vizuri.
  5. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga inahitajika (Goba/ Mbezi)

    Habari za leo wanaJF, Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Goba ama Mbezi Africana/Luis yenye vyumba viwili/vitatu vya kulala, choo, sebule, jiko na dining. Umeme uwe wa kujitegemea, maji, pamoja na ulinzi salama. Bajeti yangu mwisho ni 200k TZS, na ninahitaji ya mkataba wa kuanzia kwa miezi...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Urgent: Natafuta nyumba ya kupanga, Bajeti 200,000 (Kinyerezi, Kimara, mbezi Africana ingependeza zaidi)

    Wakuu kwema? Wakuu natafuta nyumba ya kupanga, mkataba nakokaa umeisha. Hali ya uchumi imeyumba hivyo nimeona sitaweza kulipa pesa nayolipa hapa, hivyo natafuta nyumba ya nusu bei ya hapa. Iwe na vyumba viwili vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali kupanga bei kikomo ya Saruji kwa kila Mkoa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara ikamilishe utaratibu wa kuwa na bei kikomo ya saruji ili kuuwezesha kila mkoa kujua bidhaa hiyo inapaswa kuuzwa kwa bei gani kwa nia ya kuondoa upandishwaji holela unaofanywa na wafanyabiashara wasiokuwa waaminifu. Waziri Mkuu...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Watu 19 waliokimbia majumbani mwao kwenda kupanga Wataweza kuishi huru na baba mwenye nyumba?

    Binadamu aliyekamilika anahitaji amani ya nafsi ili aweze kusherekea matumizi mazuri ya kipato alichonacho. Upo Uhuru mkubwa unapoishi kwako kuliko unapokuwa nyumba za kupanga hasa hizi ambazo mwenye nyumba ni mtu mweusi mwenye ila na wivu juu ya mafanikio yako. Hakuna binadamu mwenye akili...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga Kimara

    Nawasalimu katika jina la bwana, nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kimara, Mbezi Ubungo. iwe na vyumba viwil vya kulala iwe inajitegemea maji na umeme umbali kutoka main road isiwe above 3km. Budget yangu ni 100k -140
  10. Santieli

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga na adha zake

    Wakuu walahi mtu unaweza tamani upate walau pesa ya shortcut ili uweze kununua au kujenga banda lako mwenyewe ka kujiegesha ili kuepukana na changamoto za nyumba za kupanga Mafano Mimi nimepanga nyumba moja hivi, gharama yake kwa mwezi sio kubwa ni kawaida. Nikaamua niwe muungwana nikamwambia...
  11. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Vyumba vya wanafunzi vya kupanga karibu na maeneo ya UDSM

    Kwa wale wote wanaohitaji kupanga Hostel karibu au jirani na maeneo ya UDSM, ARU, Chuo cha TAKWIMU mnakaribishwa. Hostel ipo Changanyikeni. Ina fensi, maji pia na umeme. Uwanja una peving na vyumba vyote vina Ceiling Board. Baadhi ya vyumba ni self contained na vina tiles. Vyumba vipo bei...
  12. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga (Kimara/Mbezi ya Africana)

    Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia. Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza. Nyumba isiwe mbali sana na main roads/kituo cha daladala Tuwasiliane: +255676095799
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wanaopewa madaraka bila kupanga kuyataka hawana agenda

    Mabibi na Mabwana mtu kuutaka Urais ni kwa sababu ana agenda. Ana agenda ya kufanya. Hiyo ndiyo tunapaswa kuisikia na hiyo ndiyo anayopaswa kutushawishi nayo. Mtu anapewa vipi mamlaka na kisha kujinasibu kuwa hakutaka, hakujua, hakupanga wala hakutegemea? Tunamchagua vipi mtu huyu...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta Chumba cha Kupanga Ilala au Tabata

    Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata. Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi. Payment iwe kila baada ya miezi 3.
  15. Mohammed Khatibu

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nahitaji chumba maeneo ya Forest Morogoro

    Wakuu! Nahitaji mwenyeji anayeweza nipangisha chumba katika eneo tajwa. Nikimpata mwenye nyumba itakuwa bora zaidi.
  16. fungi06

    JamiiForums Tanzania Binafsi sioni umuhimu wa Teknolojia kama bado tunapiga kura kwa kupanga mstari

    Ninashangaa mno kuwa mpaka sa ivi tuna watu wenye uwezo wa kudukua mawasiliano ya watu ila amna mwenye wazo zuri laku rahisisha watanzania wote kupiga kura. Yani kwa jinsi bus la teleology linavyo kwenda kasi basi watu pia tunatakiwa tuendane na iyo kasi japo kwa maendeleo tu. Naomba ushaguzi...
  17. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

    Habari za muda huu wakuu. Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza juu.. Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kupanga ni kuchagua, maendeleo ya watu na vitu hayakuwepo tuliamua kuanza na maendeleo ya vitu

    Maendeleo ya watu hayakuwepo na hata sasa yawezekana hayapo japo siyo kwa wote, maendeleo ya vitu hayakuwepo tukaamua kuanza na maendeleo ya vitu ambayo yanaleta heshima ya nchi na kuleta maendeleo ya watu. Juzi watanzania ndugu zetu walikwama India kwa sababu ya covid 19. Tukatumia...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi mpaka leo hawajui kupanga ratiba

    Nimeangalia mechi zinazohusu timu yangu ya Simba, Simba walicheza na Ihefu Mbeya halafu wakaja kucheza na Mtibwa Moro baadae Dar es salaam Simba itaenda kucheza Sumbawanga na Prison baadae itaenda kucheza na Yanga Dar, Simba itaenda kucheza na Mbeya city Mbeya baada itaenda kucheza na Namungo...
  20. kidadari

    JamiiForums Tanzania Azam wana haki ya kuonyesha Ligi Kuu Bara tu! TFF mlitumia kifungu gani kuwaruhusu Azam kuamua au kupanga ratiba ya Ligi Kuu?

    Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya kuonyesha walau 90 % ya michezo yote itakayochezwa. Wadau wa michezo walitegemea Azam media kuongeza...
Back
Top Bottom