kupanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Danfordkahwa

    JamiiForums Tanzania Kwa mwenye mahitaji ya nyumba za kupanga na kununua Mbezi

    Nyumba inapangishwa ina vyumba 2 ipo mbezi beach 350000. Call 0684709045 0629350247. Tunachaji view fees kwa ajili ya kuona nyumba ni shs 20000.kodi ya mwezi moja.
  2. kagoshima

    JamiiForums Tanzania GE2020 Narudia tena, bila tume huru sitapoteza muda wangu kupanga foleni juani kupiga kura

    Mosi kuna kila dalili ya dhuruma kubwa na kutothaminiwa kwa maamuzi ya wananchi kwenye uchaguzi wa october 2020. Inaaminika kwamba 75% ya returning officers wa tume ni makada wa CCM, wakurugenzi wa halimashauri na majiji. Nikikumbuka ya mkurugenzi wa Kinondoni niseme wazi kama structure ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga uliopitiliza kupanga foleni kumpigia kura mgombea wa CHADEMA/upinzani wakati msimamizi wa uchaguzi ni kada wa CCM

    Wananchi ni lazima tujue kwamba katiba ya JMT ndio inayobariki ushindi wa CCM. Na kiukweli ukiangalia maeneo ambayo upinzani huwa unashinda mara nyingi inakuwa ni ulegelege wa mkurugenzi ambaye ndiye msimamizi wa uchaguzi au huruma tu ya CCM yenyewe. Ni wale wananchi wapenda mageuzi mkaendelea...
  4. Kaluluma

    JamiiForums Tanzania Kupanga kulivyonikutanisha na huyu mdada

    Wasalaam wakuu, Leo naomba nishee kisa changu kipindi nikiwa chuo,nilipoingia chuo mwaka wa kwanza nilienda kukaa hostel sasa maisha ya hostel sikuyafurahia,nilikaa semester moja pekee,wakati wa likizo nikawahi kwenda chuo ili nisisumbuke kupata chumba cha kupanga,niliamua kutafuta chumba...
  5. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Ni Kitu gani ulitokea ukakipenda/ unakipenda kwenye nyumba za kupanga?

    Habari za jumapili wana jf wote yamkini wote tumeamka salama. Nyumba za kupanga zina karaha yake na sio muda wote tunazichukia, na Kuna muda tunazipenda pia je? Ni kipindi gani ulitokea kuzipenda yani muda huo!
  6. I

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba bora za Ghorofani za kupanga za kisasa zinapangishwa Kinondoni

    Nyumba nzuri na zina mvuto na mwonekano mzuri wa kupendeza zikiwa na vyumba viwli vya kulala, jiko, sebule na mahala pa kula. Kodi TZS 750,000 kwa mwezi. Kuziona piga simu au whatsapp +255755312233
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

    Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
  8. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga mwanza

    Habari natafuta chumba self contained maneno ya nyegezi kona kijiweni-mwanza bei kwa mwez 50-60
  9. Paul Mchumi

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga Mwanza

    Mazee nahitaji chumba cha kupanga singo iliyo na choo chake (master), bajeti yangu ni kisizidi tsh 80 elfu, malipo yangu taweza miezi mitatu kwanza, maeneo yote kuanzia Igoma, Buzuruga, Meco, Mkuyuni, Bwiru, Nyegezi, Mkolani. Kisiwe mbali na stendi ya daladala za kwenda mjini, kama unacho au...
  10. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
Back
Top Bottom