kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uhuru wa kuongea na kujieleza

    Habari za asubuhi wana jamii.. Kuna jambo naomba kuuliza ama kushirikishana na nyie.. Naomba nianze kwa stori kidogo.. 1. Siku moja nilikuwa napiga story mbili tatu na mzee flani mtaani. Tuliongea mengi hasa siasa, kuna baadhi ya section nikijaribu zungumzia anasema, kijana nyamaza usiskike...
  2. Kadri unapopata fursa ya kuongea muda mrefu ndivyo unajiweka katika hatari ya kuongea vitu visivyo na mantiki

    Ushawahi kumsikiliza mtu na ikatokea ukasikia kitu ambacho hukutarajia kabisa kukisikia kutoka kwake bila ya kujali ni kizuri au kibaya pengine ulikuwa unamsikiliza mtu ambaye unamheshimu ila ghafla akaongea maneno ambayo yakakufanya uhisi aibu kwa niaba yake na kubaki kutoamini kuwa yametoka...
  3. Nini husababisha baadhi ya viongozi kuongea kwa hisia kali na uchungu wanapokuwa majukwaani wakihutubia?

    Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini; Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!” Watumishi wa Umma...
  4. Mnaweza wote kuongea lugha moja na msielewane

  5. W

    Mabadiliko: Viongozi wa wamachinga kufanya Press Conference Ofisi za Wamachinga Kariakoo badala ya Serena Hotel

    PIA, SOMA: - Wamachinga kufanya Press Conference Serena Hotel 20/10/2021
  6. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  7. Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
  8. Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  9. K

    Nafundisha Kiingereza (kuongea na kuandika)

    Ikiwa una uhitaji wa kujifunza kiingereza kwaajili ya matumizi yako ya kila siku na katika masomo suluhisho hili apa. Utajua Vocabulary (msamiati), grammar na utafanya mazoezi na mwalimu mahiri kabisa. Zaidi, tuwasiliane kwa 0752 802 513 (normal) 0689 158 842 (WhatsApp &normal) "The...
  10. K

    Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

    Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno. Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
  11. U

    Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  12. Watu wanaojiita maarufu wanalazimisha kuongea kingereza

    Mabibi na Mabwana, msikilizeni Mr. Uchebe X Wake Shilole akiongea Kingereza. Kwa nini wanapenda kuongea Lugha ambayo Hawaiwezi?
  13. Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  14. SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
  15. Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili. Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba...
  16. K

    Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  17. Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
  18. Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  19. CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
  20. Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…