Naomba miaka ya baadae (mbeleni) huko nje ya kuwataka Wagombea wawe na Elimu Kubwa ila pia wawe Wanapimwa kama ni Werevu Kiuhalisia kwani kuna tofauti Kubwa mno kati ya kuwa Msomi (Intellectual) na kuwa Mwerevu (Intelligent) lakini bahati mbaya kwa Tanzania yetu Msomi anajumlishwa kuwa nae ni...
za usiku huu wakuu, leo tena natupa jiwe angani, naamini kuwa wahitaji kama mimi pia,
kama kuna mdada au mmama ambaye yuko free japo tuchat au kuongea usiku huu sio mbaya kwangu
namba yangu ni 0767066113
ila uzi huu ni valid hadi saa 11 asubuhi na ninaobwa moods wauset ujifute mda huo
Kila alipokuwa akipelekewa mic na waandishi wa habari nchini Malawi Kaimu Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda hakuonyesha kuogopa au kubabaika au kushikwa na kigugumizi cha ghafla bali alikuwa very calm, comfortable and confident na kukizungumza vizuri. Kama mapungufu ni ya kawaida sana ila...
TUCTA kama wapo serious hivi. Wakishindwa kuongeza tunaandamana.
---
Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) limeeleza kutoridhishwa na nyongeza ya mshahara huku wakieleza tofauti kubwa ya nyongeza baina ya daraja la juu walioongezewa kwa asilimia 0.6 na wale wa daraja la chini...
Ewe mwanadamu uliyepata nafasi ya kusoma huu ujumbe.Jua ya kwamba mimi nakutakia mema.Hunijui sikujui ila nacho jua ya kwamba wote tuna Baba mmoja Adam na Mama Mmoja Hawa.Tunaishi kwenye Dunia hii Tukiwa na Lengo la kuishi MAISHA MAZURI NA BORA kwenye ulimwengu huu wa sasa na Maisha bora zaidi...
Nimeanzisha hii thread baada yakuona ipo haja kuwa alert leader kuwamakini pindi wanaongea na viongoz wenzao au wanaongea na jamii.
Kuwa kiongozi sio kuwa na akili au uwezo kuliko wengine hapana kuwa kiongozi ni kudra za mwenyezi Mungu na ndio maana kuongozi anaye lijuwa hili kamwe hawezi...
Tena fanyeni upesi mtafuteni na zungumzeni nayo Simba SC ya sasa inamuhitaji mno Okwi aje Kuungana na akina Phiri na wengineo na nina uhakiika Kikosi chetu kitakuwa Kizuri kuliko mfikiriavyo.
Kama hamumuwezi tafadhali niambieni ili nikamalizane nae kwani Yeye na aliyekuwa Beki wetu Tegemeo na...
Rais Samia pengine bado haelewi madhara ya kauli zake kama Samia hali inayopelekea sintofahamu na mkanganyiko usio wa lazima kwenye hadhira anayoiongoza.
Dada Samia wewe ni Rais wa nchi ya Tanzania na kauli zako zinayo madhara ama faida za ki-Rais.
Shime jiepushe kutoa kauli tata...
Katika majukwa ya kimataifa kuna masuala mengi huwa hayapaswi kuzungumzwa au kauli tata kutolewa hadharani.
Majukwaa ya kimataifa ni pamoja na majadiliano na waandishi wa habari wa kimataifa, vikao vya wazi na viongozi na taasisi mbalimbali, makongamano pamoja na mikutano mikubwa na midogo, iso...
Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
Kwema Wakuu
Verbal intelligence -VI, ni ule uwezo wa mtu kuweza kupokea, kuchambua, kuchanganua, kutafsiri na kuelezea mambo Kwa lugha inayoeleweka. Uwezo wa kuitumia lugha vizuri.
Nimeona watu wengi wakimshambulia Fid Q Kwa kile walichokiita ametia aibu na kuharibu Heshima yake aliyoiweka...
Salaam Wakuu
Leo ndo nimeamini Tanzania ina hazina kubwa. Marais wengine wanajivunia kuongea vernaculars (Kiingereza Kilugha cha kwao na Kiswahili).
Lakini ni tofauti na Rais Samia. Anaongea Lugha zaidii ya Nne kwa ufasaha.
Rais Samia hapendi kujitapa kwqmba anajua Lugha. Ila leo alipokuwa...
Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
Habari za asubuhi wana jamii..
Kuna jambo naomba kuuliza ama kushirikishana na nyie.. Naomba nianze kwa stori kidogo..
1. Siku moja nilikuwa napiga story mbili tatu na mzee flani mtaani. Tuliongea mengi hasa siasa, kuna baadhi ya section nikijaribu zungumzia anasema, kijana nyamaza usiskike...
Ushawahi kumsikiliza mtu na ikatokea ukasikia kitu ambacho hukutarajia kabisa kukisikia kutoka kwake bila ya kujali ni kizuri au kibaya pengine ulikuwa unamsikiliza mtu ambaye unamheshimu ila ghafla akaongea maneno ambayo yakakufanya uhisi aibu kwa niaba yake na kubaki kutoamini kuwa yametoka...
Kuna baadhi ya viongozi wanapoongea huwa wanapenda kudhirisha kwamba wanamaanisha wanachokisema na sio mzaha mzaha, mfano muone huyu jamaa hapo kwenye video chini;
Mfano awe anasema “ole wako nikukute unakula pesa za umma..., nakutapisha zote hadi utapike na damu kabisa!!!”
Watumishi wa Umma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.