Usipate shida kuhusu uongee nini na mwanamke, sababu wanawake wanajali unavowafanya wajisikie ukiwa nao zaidi ya maneno unayoongea. Kadri unavyojiamini ndivyo mwanamke anakuamini pia. Hivyo cha muhimu kufanyia kazi ni kuboresha hali yako ya ujasiri wa kiume na kuzingatia haya wakati unaongea na...
Aidha unaongea na mwanamke kwa mara ya kwanza au tayari upo na mwanamke lakini mazungumzo yenu yanakua kama mahojiano ya kutafuta kazi/ polisi hakuna hisia zozote, hakuna kuchombezana na we mwenyewe unaona haufurahii mazungumzo. Hivi ndivyo unaweza na kuyabadilisha kuwa mazungumzo yenye raha...
Naona Lisu akipewa mialiko kila Kona ya nchi, vyombo vya habari vinakimbizana kuhojiana naye tofauti na awali tulivyoaminishwa Kwamba huyu ni msaliti na MTU asiyelitakia mema Taifa letu.
Kwa speed ya mahojiano inavyokwenda soon TBC nao watamtafuta wazungumze naye akikaa vibaya hata Chanel ten...
Halafu huyu anajiita msomi, na unakuta anaGPA nzuri kabisa 😃 tunaenda wapi afrika na nini tunakiandaa katika maisha ya sasa, sioni faida ya huyu mtu na ni mtu wa hovyo hatufai kagika jamii
Niwaulize ma lecture mnaojiita madoctor na maprofesor hawa watu wanapita mikononi mwenu na vyetu...
48 LAWS OF POWER.
Nashangaa CDM wanapotengeneza zimwi ambalo litawashinda, na limeshaanza kuwashida tayari.
Inaonekana Mbowe ni kiongozi jina tu, mwenye chama ni Lissu.
Hata Hotuba ya mwanza, inaonekana Mbowe alikuwa anamlenga Lissu.
Ni wakati Sasa Mbowe ajionyeshe kwa rangi zake. Kama Silaa...
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya hapa na pale
Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara hapo zamani tunaambiwa na kusimuliwa MUNGU alikuwa akiongea na watu kwa ishara
Mfano
●Mussa alitokewa na kichaka kikiwaka moto
●Pia adamu aliisikia sauti ya MUNGU
Je hii sababu ni nn au ndio binadamu wa sikuizi...
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
#CCMImetimia
#KaziIendelee
Pelekeni watoto shule. Shule hata kama huna hela inaleta busara kujua uongee nini na wapi. Education is better than money. I am sorry. Money is better than Education
Watanzani tuna ujinga mmoja, kuamini kuwa umasikini ni sifa nzuri ya kuwa kiongozi, na ujinga huu kuna viongozi wameujua kitambo...
Nianze kwa kutoa lawama zangu KWA uongozi wa Yanga kwa sababu nimesikia eti Feisal amejiunga na kambi ya Yanga.
Ni kwamba mashabiki wa Yanga hatumtaki Feisal.
Tumeshakubali kwamba ameondoka.
Hatumuhitaji please. Msije kushangaa akizomewa..
Na kwa wewe unaesema msimponde Fei kutaka kuondoka...
Siku hizi Utaratibu huu naona umepotea kabisa au labda umebaki kwa Familia chache sana.
Familia za sasa mkiwa Mezani mnakula ni mwendo wa kupepeta stori mpaka Msosi unaisha.
Kwanini zamani hii ilionekana kuwa tabia mbaya? Nini kimebadilika?
Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke.
Wengi sana...
Huyu atakuwa amelewa. Hajui madaraka yakoje na tayari anaanza kuwa na akili za Kibeberu. Anaongea maneno gani haya?
Utamaduni huu wa kuiga kwa mabeberu. Ni utamaduni wa hovyo. Anataka alete machafuko Kenya na East Africa? Nadhani ameshachoka kuwa Rais. Au ameshiba wenzake wenye uzoefu na Urais...
Katika kupunguza ajali za barabarani zianazotokana na madereva wanaoendesha vyombo vya moto nchini, Kampuni ya Cogsnet Technologies imekuja na teknolojia mpya ya kufunga mfumo wa kielectroniki utakaokuwa unarekodi na kupiga picha makosa yote yanayofanywa na madereva wa magari wanapokuwa...
Haya maneno Mungu ameniambia, au wakati mwingine nimefunuliwa, yamekuwa maneno ambayo hutumiwa sana na watu kuonyesha wamepata ujumbe kutoka kwa Mungu.
Swali langu, kwanini Mungu haongei na kila mtu?
Wote tuna mahitaji, iweje aongee na watu wachache tu?
Huwa nakereka sana hawa jamaa wanaochambua soka la bongo wanavyopambana kufa na kupona kuongea kiingereza. Hivi hawawezi kuchambua mpira bila kuingiza hivyo viingereza vyao vya ugoko?
Badala ya kusema "Value" kwa nini wasiseme thamani?
Badala ya kusema "Flanks" kwa nini wasiseme eneo la kulia...
Tudefine ushamba kama hali ya mtu kutojua utamaduni wa mjini au wa kisasa unataka nini. Mtu mshamba ni kazi sana kuendana naye au kuelewana naye.
Ni kazi sana kuishi na mtu mshamba au kufanya naye makubaliano. Hata ukioa au kuolewa na mshamba utapata taabu sana humo ndani. Ni vema kuwatambua...
Leo wataongea na vyombo vya Habari.
=================
Hotuba nzima ilikuwa ni kumjibu Mnyika na CHADEMA badala ya kuzungumzia ripoti ya Kikosi Kazi.
"Tumesikiliza taarifa ya @ChademaTz ikielezea kupinga taarifa ya kikosi kazi, tunachoweza kusema kwa sasa, CHADEMA wamejawa na ubinafsi, choyo...
Tuko mbali mikoa tofauti, hapa kisanga ndipo kinakuja. Anapenda kupiga piga simu mara kwa mara, sasa mara nyingi najikuta namkatiza ilee.. "Samahani ngoja nitakupigia baadae kidogo".
Kiukweli muda huo unakuta shughuli imenitinga na ukizingatia aina ya shughuli zangu haziruhusu sana kuongea kwa...
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu.
Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.