Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF.
=======
Hii ndio Taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa .
Endelea kutegea sikio
===
Mgombea wa Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demakrasia na Maendeleo (Chadema) Ndugu Tundu Lissu leo amekutana na Waandishi wa habari ambao walipata fursa ya kumuuliza maswali mbalimbali ambapo Mgombea huyo...
Nakumbuka katika kampeni za 2015 na kurudi nyuma hoja kubwa za upinzani ilikuwa ni ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma, alipoingia Rais John Joseph Magufuli amefanya mengi kuakikisha anayafuta kabisa, ametumia nguvu nyingi kuyaondoa lakini kwa kipindi hicho pesa ilikuwa nyingi sana lakini...
Wanabodi,
Kwanza sikiliza hii
Mkuu wa Mkoa Mwanza, John Mongela, ni moja wa Ma RC very bold katika kuusema ukweli bayana!, leo amevunja mwiko wa ukimya kwa viongozi wa serikali kutompigia kampeni zozote za kisiasa kwa mgombea yoyote, kwasababu hawa ni viongozi wa kiutendaji, lakini RC John...
Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu...
Wakuu mama Nyerere alipoamushwa kuja kuzungumza kwenye mkutano wa Ccm, katoa Kari ya Mwaka, kasema kuwa yeye hana LA kuongea Kwa sababu amelazimishwa kuja kwenye mkutano huu.
"Mimi kwa bahati nzuri pamoja na Wanamara wenzangu sisi ni kundi lile tulilokuja tuongeze idadi ya watu, vichwa...
Wakati naishi Tz kiswahili nilitumia kama means of communication. Sikuona umuhimu wake hata kidogo.
Sasa nipo nchi za watu ki ukweli hakuna raha nnayoskia kama kukutana na watu wanaongea kiswahili. Kingereza kinachosha jaman.
Kuna muda nataka nipumzishe akili, kingereza Kinahitaji kutumia...
Unakuta kapigiwa simu ilipokata akaanza mjadala wa kuuliza na kujibu maswali huku akiwa peke yake na hata kucheka atacheka.
Au amedhulumiwa kitu ataanza kuongea peke yake mpaka ataweka hitimisho
Pengine kuna speech kesho yake usiku ataanza kuongea peke yake tena kwa vitendo hadi style ya...
Ni katika muendelezo wa mjadala, ndugu Justine Kakoko, alisema wasio na hela watakuwa atika hali mbaya ya kuweza kuongea.
Hapa alizingatia kuwa maudhui ni picha, mawazo, maoni, elimu na chochote ambacho mtu ataweka mtandaoni, Kifupi ni kuwa ili uongee kwa uhuru ni lazima uwe na leseni kwa hiyo...
Jambo nyeti la mwisho alilofanya Tundu Lissu kabla ya kupigwa risasi, na ambalo wachunguzi wengi wa kisiasa wamesema lilichangia kupangwa mashambulizi ya kigaidi dhidi yake, ni kutoa hotuba ile ya "Mtoto wa Dada," ambamo alishutumu vikali na kulaani kwa nguvu ukabila na undugu uliokuwa...
Hii ndio taarifa mpya inayozagaa mitandaoni kwa sasa.
wote mnakaribishwa
===
Mgombea wa Urais, kupitia Chama cha Upinzania CHADEMA Tundu Lissu, alivyohojiwa na Citizen Online Radio Station, kutoka Nairobi Kenyan Tundu Lissu aongea mengi kuhusu mustakabali wa Tanzania, ambae anagombania...
Kwasasa Tanzania yetu ukienda kwenye interview hata Kama nafasi ya wahitimu wa darasa la saba mnachujwa kwa kufaham kiingereza inakuaje uko kwa madiwani na wabunge interview zao zinakua za kiswahili wakati ni nafasi muhimu sana.
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
Nilikuwa nafuatilia mazishi ya hayati BW Mkapa tangu mwanzo hadi mwisho. Niliona jinsi ambavyo rais wetu alivyo mtaka rais wa Zanzibar kuzungumza na wananchi wa Masasi na Shein alionesha kushtuka kwa hilo kwani hakuwa amearifiwa lakini alikwenda.
Pia akafuata Kikwete na baadaye Mwinyi. Wote...
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia...
1. Kujiongelesha mwenyewe. Jiongeleshe mtoto akiwa karibu juu ya mambo unayoyafanya. Mfano, naosha vyombo sasa, napika chakula, nafagia nyumba.
2. Simama, mpe mtoto muda wa kujibu. Unapozungumza na mtoto, kaa kimya, mpe nafasi ya kujibu. Akishindwa kujibu msaidie kujibu kisha mtake arudie...
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA?
Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana.
Mwananzila alishika nafasi ya...
Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz
Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
Ikumbukwe kwamba waliotia nia ni wengi lakini ni wachache waliojitangaza hadharani , Sasa leo tega sikio ili usikie ni akina nani wengine Wazito sana waliotia nia ya kuomba Urais wa Tanzania kupitia Chadema .
Mungu ibariki Chadema
=======
----UPDATE----
Ndugu wanahabari
Chama cha Demokrasia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.