Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

KingGuaje

Senior Member
Dec 30, 2019
129
224
Habari ndugu zangu,

Hope mko poa na majukumu ya kazi.

Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno.

Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina ujuzi juu ya matumizi ya kompyuta na software zake

Nina uwezo wa kuandika,kuongea na kusoma kwa ufasaha lugha ya kireno na kwa wastani lugha ya Kihispania.

Kwa yoyote ambaye angependa kunichukua tafadhali naomba unitumie Message moja kwa moja nikutumie CV pamoja na mawasiliano zaidi.

Kazi njema na Mungu awabariki!

Email:kingguaje@gmail.com

Nasisitiza naomba kwa heshima na taadhima NITUMIE MESSAGE MIMI NITAJIBU HARAKA IWEZEKANAVYO KILE UNGEPENDA KUFAHAMU KUHUSU MIMI.
 
Jisajili LinkedIn

Kuna kaz nyng zinatangazwa ktk hotels za Zanzibar kwa professional yako hyo hotel za kitalii zitakupa umeneja
 
Habari ndugu zangu,

Hope mko poa na majukumu ya kazi.

Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno.

Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina ujuzi juu ya matumizi ya kompyuta na software zake

Nina uwezo wa kuandika,kuongea na kusoma kwa ufasaha lugha ya kireno na kwa wastani lugha ya Kihispania.

Kwa yoyote ambaye angependa kunichukua tafadhali naomba unitumie Message moja kwa moja nikutumie CV pamoja na mawasiliano zaidi.

Kazi njema na Mungu awabariki!

Email:kingguaje@gmail.com

Nasisitiza naomba kwa heshima na taadhima NITUMIE MESSAGE MIMI NITAJIBU HARAKA IWEZEKANAVYO KILE UNGEPENDA KUFAHAMU KUHUSU MIMI.
Kama uko Dar tembelea balozi za nchi zinazozungumza Kireno. Ongea na maafisa wa balozi. Wanaweza kukustutua akitokea muhitaji.
 
Habari ndugu zangu,

Hope mko poa na majukumu ya kazi.

Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno.

Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina ujuzi juu ya matumizi ya kompyuta na software zake

Nina uwezo wa kuandika,kuongea na kusoma kwa ufasaha lugha ya kireno na kwa wastani lugha ya Kihispania.

Kwa yoyote ambaye angependa kunichukua tafadhali naomba unitumie Message moja kwa moja nikutumie CV pamoja na mawasiliano zaidi.

Kazi njema na Mungu awabariki!

Email:kingguaje@gmail.com

Nasisitiza naomba kwa heshima na taadhima NITUMIE MESSAGE MIMI NITAJIBU HARAKA IWEZEKANAVYO KILE UNGEPENDA KUFAHAMU KUHUSU MIMI.
ola, eu so quero provar se voce fala a lingua portugues na verdade , tambem eu falo todos aquilos idiomas que voce disse no seu postagem e apartir dessos eu falo o frances tambem ... se voce gostarias podemos mudar-nos os nossos numeros para mais conhecimento formal
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom