kuongea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kukutana na kuongea na Vyama vya Siasa Oktoba 21 - 23

    Lengo la mkutano huo ni kuzungumzia namna ya kufanya shuguli za kisiasa. Bbc wamesema vyama vya upinzani kukutana na Waziri Mkuu. Kwenye mkutano wa awali ulioitishwa na msajili Mtungi, CHADEMA na ACT Wazalendo walikataa kufika wakidai Mtungi na polisi ndio wanaovibana vyama vyao. Walihitaji...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Huu unyonge wa kushindwa kuongea mnapokereka wanaume unasababishwa na nini?

    Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka kumuona mke wake ana chart kwenye simu, anashindwa kumwambia hisia zake amebaki kujikunyata huku...
  3. adden

    JamiiForums Tanzania Ni kero kubwa sana kwangu mtu kuongea na mimi huku ananigusa au kunisukuma...

    Habari za asubuhi wana.. Huku duniani kuna watu nahisi wana matatizo ya kiakili na wanahitaji kumuona daktari. Kuna hizi tabia nachukia sana kama mtu kuongea na mimi hadi akusonge songe!!atakupiga piga au kukuskuma huku mkipiga stori kawaida tuu.. Mwingine unaongea nae unaona kama anakurusha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafundisha Kiingereza (kuongea na kuandika)

    Ikiwa una uhitaji wa kujifunza kiingereza kwaajili ya matumizi yako ya kila siku na katika masomo suluhisho hili apa. Utajua Vocabulary (msamiati), grammar na utafanya mazoezi na mwalimu mahiri kabisa. Zaidi, tuwasiliane kwa 0752 802 513 (normal) 0689 158 842 (WhatsApp &normal) "The...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ninaweza kusoma, kuandika na kuongea lugha ya Kireno

    Habari ndugu zangu, Hope mko poa na majukumu ya kazi. Mimi ni mtanzania mwenzenu natafuta kazi ya kuniingizia kipato cha halali iwe ni kwenye kampuni za kitalii au kwenye mashirika yanayohitaji mtu mwenye ujuzi na lugha ya Kireno. Nina shahada ya usimamizi wa soko la utalii vile vile nina...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  7. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Watu wanaojiita maarufu wanalazimisha kuongea kingereza

    Mabibi na Mabwana, msikilizeni Mr. Uchebe X Wake Shilole akiongea Kingereza. Kwa nini wanapenda kuongea Lugha ambayo Hawaiwezi?
  8. Nawatania

    JamiiForums Tanzania Rais atoe taarifa za kweli juu ya tozo na fedha za IMF

    Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu Sasa na Samia ameanza...
  9. JACKLINE CELESTINE KITALE

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
  10. XII Tz

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nawezaje kuacha tabia ya kuongea peke yangu?

    Binafsi ni mtu wa kujitenga sana, sio mtu wa kujichanganya kabisa na sijawahi kuwa bored ni simply because I have a tendency of talking alone, ninaweza kukaa peke yangu na kuanza kuongea kwa muda mrefu hata masaa mawili. Mtu akiniona huwa nashtuka sana na kuanza ku-pretend kama naimba...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kikundi kinapinga Rais Samia kuongea na upinzani

    Nimemsikiliza Lissu kwenye mahojiano akasema ikulu inamwambia watampigia simu halafu ikifika wakati kuna njama zinafanyika kuhakikisha Mama anashidwa kuongea naye. Tujue kuwa kuna wafaidika wakubwa hata ndani ya usalama mfano mitambo ya kudukuwa simu nani katoa budget! Watekaji nani anawalipa...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, ile 'confidence' ya Kuongea Kiingereza 'fluently' bila kuandikiwa au kusoma akina Nyerere na Mkapa waliitoa wapi nami nikajifunze?

    Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
  13. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize atoa wimbo mpya, asema yeye ndio mfalme hana haja ya kuongea tena, anauacha mitaa iongee

    Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa . Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona .
  17. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongea na Wazee wa Dar: Aahidi kutojali vyama katika teuzi zake. Serikali kutunza Haki, Demokrasia, Uhuru wa Habari

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewasili Ukumbi wa Mlimani City kuongea na Wazee wa Dar es Salaam Tunakuletea updates hapa Mwenyekiti wa Wazee wa Dar, Salum Matimbwa Tumepata kadi za msamaha wa Bima, lakini Wazee hatupati baadhi ya vipimo na Dawa tukifika...
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania BAWACHA kuongea na waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa yao mpya waliyoisambaza kwa vyombo vyote vya habari duniani Wote Mnakaribishwa . Tunasisitiza kwa wale wote watakaohudhuria kufuata mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya corona
  19. J

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds. Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na...
  20. Grena

    JamiiForums Tanzania Vodacom mbona hamuweki option ya kuongea na customer care?

    Habari zenu wakuu, Karibu wiki Sasa laini yangu ya Vodacom imekuwa na shida. Kila nikijaribu kupiga Ile namba ya huduma kwa wateja 100 ili wanipe maelekezo hamna Option ya kuzungumza na mhudumu zaidi ya zile bonyeza moja, Bonyeza this, Bonyeza that. Inaamana Vodacom hawana option ya kuzungumza...
Back
Top Bottom