MASTORI YA OSCAR: Kwanini Ofisa Habari wa klabu amzidi hadi Rais wa nchi kuongea?

mwanausangi

JF-Expert Member
Nov 4, 2021
548
608
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu.

Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa tatu. Kuna uwezekano mkubwa tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aingie madarakani hajawahi kuhutubia popote kwa zaidi ya saa mbili.

Kuna uwezekano mkubwa tangu Rais, Mama Samia Suluhu Hassan aingie madarakani ukiachilia mbali hotuba yake bungeni wakati anaingia tu mzigono, naye hajawahi kuhutubia mahali popote kwa zaidi ya saa mbili.
Ofisa habari wa Yanga anawezaje kufanya hivyo? Inashangaza. Ofisa habari wa Simba anawezaje kufanya hivyo? Unabaki kushangaa tu. Wenzetu Ulaya na mahali kwingine ambako watu wameendelea msemaji wa mkuu wa mambo ya utawala na uongozi ni ofisa mtendaji mkuu wa klabu.

Msemaji mkuu wa mambo yote ya timu ni kocha mkuu. Na siyo kwamba Arsenal FC hawana ofisa habari. Siyo kwamba Manchester United haina ofisa habari. Wapo lakini kazi yao siyo kuzungumza kila siku. Wapo lakini kazi yao siyo kuzungukia leo chombo hiki cha habari, kesho kile. Hapa ndipo tofauti yao inapoonekana.

Ofisa habari asipozungumza kwa muda mrefu uwezekano wa kupunguza makosa ni mkubwa. Wao siku hizi ndiyo wanaotoa habari za wachezaji majeruhi. Wao ndiyo wanaozungumzia habari za udhamini. Wanazungumzia habari za kuvunjika kwa mikataba ya mchezaji.

Haya hayapaswi kuwa majukumu yao. Kwa sababu wanaongea sana ndiyo maana utawasikia wanakashifiana klabu moja na klabu nyingine. Ndiyo maana wanachambana ofisa habari mmoja na mwingine. Wamejipa majukumu makubwa mno. Hata huu mtindo wa kuhamasisha watu kuja uwanjani sijui umetoka wapi. Ukishakuwa na timu bora watu wanapaswa kuja tu wenyewe.

Watu wa kitengo cha masoko na uhamasishaji wanapaswa kufanya kazi yao vizuri huku ofisa habari akitulia kabisa. Tuko kwenye nchi ambayo kuwa ofisa habari wa klabu kwa sasa ni kama kuwa mtendaji mkuu. CEO wa klabu pengine watu hata hawamjui kwa sababu ofisa hahari anapiga mdomo kila siku.

Badala ya kupata maoni ya kiufundi kutoka kwa kocha au wachezaji, siku hizi tunapata tambo za maofisa habari. Mpira wetu unakuza zaidi siasa kuliko sayansi ya mpira. Kama ofisa habari angekuwa anaongea kwa muda mfupi tungepunguza makosa mengi.

Haiwezekana kuhamasisha tu watu kuja uwanjani mahojiano yawe ya saa tatu redioni. Haiwezekani kuzungumzia ushindi tu wa jana ofisa habari azungumze kwa saa tatu redioni.

Nafasi ya ofisa habari ilikuwa na hadhi ya chini sana kabla ya Jerry Muro na Haji Manara kuja na zama zao. Huko nyuma kumewahi kuwa na maofisa habari wengi tu, lakini hawakuwa na ushawishi mkubwa kama zama za Muro na Manara.

Ni zama hizi pia ambazo hawa maofisa habari walianza kuongea sana. Ni nyakati hizi pia ndizo watu walianza kuvunjiana heshima. Dharau, kashfa na matusi yalitawala. Ukiniuliza ni nini? Jibu langu ni rahisi tu - hawa watu walikuwa wanaongea sana na vyombo vya habari.

Hawa watu kila siku walikuwa na mikutano na waandishi wa habari. Ofisa habari ni ofisi ndogo tu ndani ya klabu, lakini namna wanavyoichukulia utadhani wao ndiyo watendaji wakuu. Hata Rais wa nchi hafanyi hotuba za saa tatu. Waziri Mkuu hazunguki kwenye vyombo vya hahari kila siku. Wasemaji wa mpira wetu kila siku wako mtaani na vyombo vya habari. Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba ni Barbara Gonzalez, lakini hajawahi kwenda kwenye redio kuzungumza kwa saa tatu. Andre Mtine ni mtendaji mkuu wa Yanga tangu atangazwe hajawahi kwenda kwenye redio yoyote. Lakini ofisa hahari tayari ameshaongea na redio karibu zote.

Pale Simba ukitaka hadi habari za kocha mkuu kupewa mkataba wa muda mrefu, msemaji wake ni ofisa habari. Nadhani umefika wakati wa kuondoka kwenye zama hizi. Kazi ya ofisa habari haipaswi kuwa ni kuongea na vyombo vya habari kila siku.

Ofisa habari anapaswa kuongea kidogo sana kwa sababu chochote kile anachozungumza ni maagizo kutoka kwa mtendaji mkuu. Kazi kubwa ya ofisa habari inapaswa kuwa ni kutoa taarifa kwa wapenzi na mashabiki, lakini sio kwa kuongea kila siku.

Kama ni mambo ya kiutawala atamleta mtendaji mkuu kuzungumza. Kama ni mambo ya kiufundi atamleta kocha mkuu kuzungumza. Ni rahisi tu. Mambo ya kuwaambia watu PSG ikija Uwanja wa Mkapa imefungwa tuyaondoe. Hayana maana. Zama zake zimepita. Mambo ya kusema Yanga ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal tuyaache kwa sababu zama zake zimepita.

Maofisa habari wetu wasiongee sana, wauache mpira uongee uwanjani. Kama hata Rais wa nchi hana hotuba ya saa tatu wewe ofisa habari unaanzia wapi? Vijana wetu wengi wanajipa majukumu ambayo kimsingi sio yao. Siku hizi wanaongea sana hadi sauti zinawakauka.

Tuleteeni CEO aje kuzungumza jambo la kiutawala. Tuleteeni kocha mkuu aje kuzungumzia mambo ya kiufundi. Maofisa habari acheni kufanya kazi zisizo zenu. Punguzeni safari za redioni kila siku. Punguzeni kuongea na vyombo vya habari kila siku.
 
Akili za Oscar bana...huyu ndio alikuwa anamtetea Manara kuwa ana impact kubwa kwenye maendeleo ya mpira wa Tanzania

Manara ana impact gani kwenye mpira zaidi ya matusi na propaganda zinazoharibu mpira?

Mpira wetu unazidi kudumaa na kurudi nyuma zaidi, sababu ya kufanyika zaidi mdomoni na hawa watu wanaoitwa wasemaji....

Mpira ni uwekezaji na management tu, sio kupiga domo eti unakuza brand

Brand za timu kama Man City na PSG zimekuwa sana miaka ya hivi karibuni sio kwa sababu ya wasemaji, ni uwekezaji na management

Sasa tunajidanganya eti Tanzania wasemaji waropokaji, wasema hovyo hawa eti ndio watatukuzia mpira wetu
 
Uwezo wake umeishia hapa. Anasema PSG brand zao zimekuwa sio kwa sababu za Afisa Habari. Lakini anajisahaulisha mchango wa afisa habari kufanya Simba na Yanga kuwa midomoni mwa watu
 
Simba na Yanga zipo midomoni kwa watu tangia kabla hata hao maafisa habari kuja

Performance ya timu ndio inaibeba na sio matusi ya wasemaji
Lakini serious business zimeanza lini. Udhamini na mikataba ya mabilioni na uuzaji mkubwa wa jezi umeanza lini. Kinachowasumbua hao mandazi ni wivu tu. Halafu haohao unakuta aliomba kazi ya afisa habari Simba/Yanga
 
Kama umeamua kuleta ulinganishi kati yetu na Ulaya kwenye soka letu nadhani ungegusia na maeneo mengine badala ya kugusa tu tasnia ya afisa habari. Mbona maeneo mengine tuko tofauti na Ulaya lakini wewe umeona hilo moja tu?
 
Lakini serious business zimeanza lini. Udhamini na mikataba ya mabilioni na uuzaji mkubwa wa jezi umeanza lini. Kinachowasumbua hao mandazi ni wivu tu. Halafu haohao unakuta aliomba kazi ya afisa habari Simba/Yanga
, Azam kutangaza ligi yetu ndio kumebadilisha na kuongeza thamani ya ligi yetu na maslahi ya timu na kufungua mlango kwa wadhamini wengine

sio matusi ya akina Manara, hawa ndio wamekuja kuzitumia Simba na Yanga kukuza majina yao halafu wanawaambia eti wao ndio wamezikuza Simba na Yanga.🤣🤣

Hawa kwa nini Serikali inawatumia kuipigia debe Tufa Stars lakini ni holla?

Au waende wakazikuze Azam na Mtibwa?

Simba na Yanga zina fan base kubwa sana tangu miaka na miaka
 
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu.

Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa tatu. Kuna uwezekano mkubwa tangu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aingie madarakani hajawahi kuhutubia popote kwa zaidi ya saa mbili.

Kuna uwezekano mkubwa tangu Rais, Mama Samia Suluhu Hassan aingie madarakani ukiachilia mbali hotuba yake bungeni wakati anaingia tu mzigono, naye hajawahi kuhutubia mahali popote kwa zaidi ya saa mbili.
Ofisa habari wa Yanga anawezaje kufanya hivyo? Inashangaza. Ofisa habari wa Simba anawezaje kufanya hivyo? Unabaki kushangaa tu. Wenzetu Ulaya na mahali kwingine ambako watu wameendelea msemaji wa mkuu wa mambo ya utawala na uongozi ni ofisa mtendaji mkuu wa klabu.

Msemaji mkuu wa mambo yote ya timu ni kocha mkuu. Na siyo kwamba Arsenal FC hawana ofisa habari. Siyo kwamba Manchester United haina ofisa habari. Wapo lakini kazi yao siyo kuzungumza kila siku. Wapo lakini kazi yao siyo kuzungukia leo chombo hiki cha habari, kesho kile. Hapa ndipo tofauti yao inapoonekana.

Ofisa habari asipozungumza kwa muda mrefu uwezekano wa kupunguza makosa ni mkubwa. Wao siku hizi ndiyo wanaotoa habari za wachezaji majeruhi. Wao ndiyo wanaozungumzia habari za udhamini. Wanazungumzia habari za kuvunjika kwa mikataba ya mchezaji.

Haya hayapaswi kuwa majukumu yao. Kwa sababu wanaongea sana ndiyo maana utawasikia wanakashifiana klabu moja na klabu nyingine. Ndiyo maana wanachambana ofisa habari mmoja na mwingine. Wamejipa majukumu makubwa mno. Hata huu mtindo wa kuhamasisha watu kuja uwanjani sijui umetoka wapi. Ukishakuwa na timu bora watu wanapaswa kuja tu wenyewe.

Watu wa kitengo cha masoko na uhamasishaji wanapaswa kufanya kazi yao vizuri huku ofisa habari akitulia kabisa. Tuko kwenye nchi ambayo kuwa ofisa habari wa klabu kwa sasa ni kama kuwa mtendaji mkuu. CEO wa klabu pengine watu hata hawamjui kwa sababu ofisa hahari anapiga mdomo kila siku.

Badala ya kupata maoni ya kiufundi kutoka kwa kocha au wachezaji, siku hizi tunapata tambo za maofisa habari. Mpira wetu unakuza zaidi siasa kuliko sayansi ya mpira. Kama ofisa habari angekuwa anaongea kwa muda mfupi tungepunguza makosa mengi.

Haiwezekana kuhamasisha tu watu kuja uwanjani mahojiano yawe ya saa tatu redioni. Haiwezekani kuzungumzia ushindi tu wa jana ofisa habari azungumze kwa saa tatu redioni.

Nafasi ya ofisa habari ilikuwa na hadhi ya chini sana kabla ya Jerry Muro na Haji Manara kuja na zama zao. Huko nyuma kumewahi kuwa na maofisa habari wengi tu, lakini hawakuwa na ushawishi mkubwa kama zama za Muro na Manara.

Ni zama hizi pia ambazo hawa maofisa habari walianza kuongea sana. Ni nyakati hizi pia ndizo watu walianza kuvunjiana heshima. Dharau, kashfa na matusi yalitawala. Ukiniuliza ni nini? Jibu langu ni rahisi tu - hawa watu walikuwa wanaongea sana na vyombo vya habari.

Hawa watu kila siku walikuwa na mikutano na waandishi wa habari. Ofisa habari ni ofisi ndogo tu ndani ya klabu, lakini namna wanavyoichukulia utadhani wao ndiyo watendaji wakuu. Hata Rais wa nchi hafanyi hotuba za saa tatu. Waziri Mkuu hazunguki kwenye vyombo vya hahari kila siku. Wasemaji wa mpira wetu kila siku wako mtaani na vyombo vya habari. Mtendaji mkuu wa Klabu ya Simba ni Barbara Gonzalez, lakini hajawahi kwenda kwenye redio kuzungumza kwa saa tatu. Andre Mtine ni mtendaji mkuu wa Yanga tangu atangazwe hajawahi kwenda kwenye redio yoyote. Lakini ofisa hahari tayari ameshaongea na redio karibu zote.

Pale Simba ukitaka hadi habari za kocha mkuu kupewa mkataba wa muda mrefu, msemaji wake ni ofisa habari. Nadhani umefika wakati wa kuondoka kwenye zama hizi. Kazi ya ofisa habari haipaswi kuwa ni kuongea na vyombo vya habari kila siku.

Ofisa habari anapaswa kuongea kidogo sana kwa sababu chochote kile anachozungumza ni maagizo kutoka kwa mtendaji mkuu. Kazi kubwa ya ofisa habari inapaswa kuwa ni kutoa taarifa kwa wapenzi na mashabiki, lakini sio kwa kuongea kila siku.

Kama ni mambo ya kiutawala atamleta mtendaji mkuu kuzungumza. Kama ni mambo ya kiufundi atamleta kocha mkuu kuzungumza. Ni rahisi tu. Mambo ya kuwaambia watu PSG ikija Uwanja wa Mkapa imefungwa tuyaondoe. Hayana maana. Zama zake zimepita. Mambo ya kusema Yanga ina uwekezaji mkubwa kuliko Al Hilal tuyaache kwa sababu zama zake zimepita.

Maofisa habari wetu wasiongee sana, wauache mpira uongee uwanjani. Kama hata Rais wa nchi hana hotuba ya saa tatu wewe ofisa habari unaanzia wapi? Vijana wetu wengi wanajipa majukumu ambayo kimsingi sio yao. Siku hizi wanaongea sana hadi sauti zinawakauka.

Tuleteeni CEO aje kuzungumza jambo la kiutawala. Tuleteeni kocha mkuu aje kuzungumzia mambo ya kiufundi. Maofisa habari acheni kufanya kazi zisizo zenu. Punguzeni safari za redioni kila siku. Punguzeni kuongea na vyombo vya habari kila siku.
Tukibadilisha haya maandishi yako kuwa maneno utakuwa umeongea Kwa masaa manganpi?
 
Pumba

Pumbaaavu!
halafu simu mnawapigia wenyewe mpate taarifu!
 
Akili za Oscar bana...huyu ndio alikuwa anamtetea Manara kuwa ana impact kubwa kwenye maendeleo ya mpira wa Tanzania

Manara ana impact gani kwenye mpira zaidi ya matusi na propaganda zinazoharibu mpira?

Mpira wetu unazidi kudumaa na kurudi nyuma zaidi, sababu ya kufanyika zaidi mdomoni na hawa watu wanaoitwa wasemaji....

Mpira ni uwekezaji na management tu, sio kupiga domo eti unakuza brand

Brand za timu kama Man City na PSG zimekuwa sana miaka ya hivi karibuni sio kwa sababu ya wasemaji, ni uwekezaji na management

Sasa tunajidanganya eti Tanzania wasemaji waropokaji, wasema hovyo hawa eti ndio watatukuzia mpira wetu
Sasa mbona umemponda alf umerudi mule mule alichokua ana ongea
 
Halafu oscar anachanganya mambo. Wasemaji huwa hawahutubii. Wale wanafanya/fanyiwa mahojiano kulingana na ajenda husika hivo kwenye mahojiano ni rahisi kutumia hata masaa matatu coz kunakuwa na wazungumzaji wengi.
 
Afadhali wamzidi kuongea lakini sio kwa safari za nje ya nchi. Sasa hivi kitu kinasoma Qatar....
 
Lakini serious business zimeanza lini. Udhamini na mikataba ya mabilioni na uuzaji mkubwa wa jezi umeanza lini. Kinachowasumbua hao mandazi ni wivu tu. Halafu haohao unakuta aliomba kazi ya afisa habari Simba/Yanga
Jaribu kumpa msemaji mmoja timu ya Ihefu aikuze brand yake iwe kama Simba au Yanga.
Yanga na Simba kwa hapa Tanzania zinamashabiki tayari wengi kilichokua kinakosekana ni hela na management nzuri basi.
Azam media wamejitahidi sana ni kama sasa hivi wanavyokuza mchezo wa ngumu bila Azam huu mchezo ulikua umeshapotea.
Wasemaji wawepo wasiwepo performance za timu ya Simba au Yanga zitaamua mpira wetu uwaje.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom