kuomba

  1. JamiiForums Tanzania Wananchi waungana kumchangia Nay wa Mitego kwa ujasiri wake wa kupigania haki za wananchi kupitia muziki wake

    Msanii Roma Mkatoliki aonesha upendo kwa msaa mwenzake Nay wa Mitengo kwa kuhamasisha wananchi wamchangie msanii Nay wa Mitego kama shukrani kwake kwa kupigania haki za wananchi. Nay
  2. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe Aongoza Dua Yanga SC Iwe Kundi Moja na Mamelodi Sundowns

    Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, ameongoza dua ya kuomba timu yao iweze kupangwa kundi moja na Mamelodi Sundowns katika michuano ya CAF Champions League. Dua hii inakuja baada ya Yanga kufuzu hatua ya makundi kwa msimu wa pili mfululizo, ikifanya mauaji kwa kuichakaza CBE SA ya Ethiopia kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Masikini siwataki pm maana naona mnajaa kuomba hela

    Nyie masikini nimeshawaambia siwahitaji pm maana nawaona mnavyojaa kuomba pesa nimeshasema ukioniona barabarani ndio uniombe pesa mmesikia nyie masikini sitaki mtu pm tafadhali mnaanza kulialia shida zenu tafuteni hela muwe kama Mimi mtoto mdogo miaka 28 ila pesa nyingi huwa nashangaa jitu Zima...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafuasi Chadema wamsindikiza Meya Mstaafu Boniface Jacob kurudisha fomu ya uenyekiti

    05 September 2024 Dar es Salaam, Tanzania Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam. Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo. Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
  5. JamiiForums Tanzania Tupunguze kuomba hela hovyo ndoa zipo shida mizinga wanaume tunaogopa....

    DADA SANAMU YAKO NAJENGA HUMUHUMU JF "Unalaumu eti Mimi ukoo niliotokea hawaolewagi kumbe shida hata sio Ukoo ,Bali tabia yako mbaya wewe ukikutana na mwanaume siku ya kwanza nikuomba hela ,amekusalimia tu ameonyesha ka interest kidogo ushaomba vocha,amekusalimia kwatabasamu kaomba namba...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kero: Ndugu, marafiki na jamaa wanaanza kukutafuta baada ya kutoboa, ni kwanini hawapo direct kuomba pesa wakati uhusiano wenu ni wa maslahi pekee?

    Mawasiliano yawe direct hakuna haja ya kona kona, tamka maneno mawili, "NAOMBA FEDHA" ikiwepo utapewa kama hakuna tuangalie utaratibu mwengine atasalimia kukujulia hali, kujua upo wapi, family inaendeleaje, n.k. lakini mwisho wa siku lengo lake ni moja tu, FEDHA !! Hajakutafuta miaka na miaka...
  7. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) yasogeza mbele muda wa kuomba mikopo ya Chuo Mwaka 2024/25

    Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025 Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri.

    Wakuu..Mfumo wa ESS kwa swala la kuomba mikopo imerahisisha kwa asilimia 100% ila upande wa uhamisho ni asilimia sifuri. Hii ni changamoto kwa utumishi...
  9. JamiiForums Tanzania Ombi langu nifundishe kuomba

    Mmmh, Haleluya Huwaapia moyo Nitakulinda Maana najua kwamba kuna chemichemi Nitakujengea boma uwe salama Adui akija asikuweze Usiruhusu maneno yakuvuruge Usiruhusu hasira ikae kwako Namuweka mlinzi awe ngome yako Akupiganie ubaki salama Bwana naomba utete nao wale Wanaoteta nami Naomba upigane...
  10. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo DPP anaweza kuomba kuingia katika kesi yoyote ile ya jinai, Mwanasheria Mkuu pia anaweza kuomba kuingia katika kesi ya madai yoyote ile

    Naona kuna watu wanadanganyana kwamba wanaweza kumshitaki kwa jina lake Afisa wa serikali anayetekeleza majukumu ya serikali. Mwanasheria Mkuu wa serikali anaweza kuomba kuingila katika kesi yoyote ile ya madai kama kuna maslahi ya umma ili kuondoa matumizi mabaya ya mifumo ya haki Ni taarifa tu
  11. JamiiForums Tanzania Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport ya kusafiria

    Njoo Tukusaidie Kujaza Form ya Kuomba VISA na Passport Wasiliana nasi kupitia WhatsApp: 0612607426. Kazi zote zitafanyika remotely. Huduma za ujenzi Vituo vya Mafuta Kwa wale wanaotegemea kujenga vituo vya mafuta, njoo tukuandalie mpango wa biashara na mchoro wa kituo cha mafuta kwa gharama ya...
  12. JamiiForums Tanzania Pesa ya kuomba sio mzuri tafuta pesa

    Hellow Huwa kuna mda naumia sana nikiona mwanamke up now anategemea kuomba pesa kutoka kwa bwana wake au mtu yoyote kama upo hai tafuta pesa yako pesa ya kuomba inamasimango unakuta mwanamke up hela ya pichu anaomba hayo sio maisha tafuta pesa yako atakama mumeo au mtu wako ataki ufanye kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Mfumo wa TCMS unaruhusu kuomba Diploma ya Elimu kwa level ya Secondari?

    ...
  14. X

    JamiiForums Tanzania ChinaTech: Italy walijitoa katika BRI ya China, hatimaye Waziri Mkuu wa Italy atembelea China kuomba kurudisha tena ushirikiano kati ya mataifa hayo

    Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO. Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na mataifa mengine ya Ulaya akaiondoa Italy kutoka kwenye mpango wa China unaoitwa BRI na kumkosoa...
  15. JamiiForums Tanzania Wakala kuomba simu yako kuhakiki

    Hivi ni sahihi kwa wakala kuomba simu yako ya mkononi kuangalia sms ya muamala kama imeingia? Binafsi mimi naona ni kuvunja privacy au taarifa za siri za mtu kwani sms ya muamala inaonyesha kiasi kilichobaki kwenye account ya mteja. 1: mteja alietoa hela na kubakiza kiasi kikubwa sana kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Institute of finance management (IFM) tukutane hapa

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi huu. Kwa tunaotarajia kuomba INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT(IFM) tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Chuo hiki au ambao mlisoma hapo /bado mnasoma hapo nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of...
  17. JamiiForums Tanzania Walimu naomba mjirekebishe na hili la kuomba tip

    Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima. Mimi kama mzazi nimeshuhudia walimu wa shule moja ya seminary za miaka hii maana seminari za zamani kulikuwa hakuna walimu wanaopiga mizinga ...
  18. JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba kusoma Vyuo vya Afya kwa mwaka 2024/2025 tukutane hapa .TCU wanafungua mwezi ujao

    Hii ni thread kwa ajili ya kujadili changamoto ,miongozo ya kupata nafasi katika vyuo mbali mbali vya afya Hapa Tanzania.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Interview kwa walimu walio wahi kuomba kazi ajira PORTAL sector ya curriculm na assistasistant lecturer

    Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tunaotarajia kuomba Open University of Tanzania tukutane hapa wakuu

    Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo. Nawasilisha.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…