Imekuwa kawaida sana kwa walimu kuanzia chekechea, sekondari kasoro labda vyuoni tu. kupenda sana kuomba omba wazazi pesa mara nimekwama, mara naazima.
Mimi kama mzazi nimeshuhudia walimu wa shule moja ya seminary za miaka hii maana seminari za zamani kulikuwa hakuna walimu wanaopiga mizinga ...
Habri Aliye wahi kuomba Tutor grade ii of english for NTA level 6 pale ajira PORTAL au curriculum developer ii pale TIE kupitia ajira PORTAL Naomba anisaidie nondo na jinsi maswali yanavyo toka au kama ana maswali na notes zilizopita naomba ani save 🙏
Dirisha la maombi ya vyuo vikuu linafunguliwa tarehe 15 mwezi ujao. Kwa tunaotarajia kuomba OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA tukutane hapa tujadili mawili matatu, pia wenye uzoefu na Open University nawakaribisha mtupe uzoefu kuhusu chuo hiki kwenye mode of delivery, field na mengineyo.
Nawasilisha.
Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa.
Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba...
Vijana endeleeni kuomba KAZI, nawaombea Mungu wangu awape kibali wote wenye uhitaji mfanikiwe.
Pia soam: Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024
Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili
Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho.
Kuna siku tulipishana kidogo kiswahili na mwenzangu lakini baada ya kukaa na kufikiria nikaona kabisa...
Hii ni kwa wapiga vibomu wenzangu wote nawakumbusha hizi aibu tunazokutana nazo katika haraka zetu za kupiga watu wetu vibomu.
Ongeza aibu nyingine kwenye harakati.
Je unaweza kuomba temporary injunction/ stop order (zuio) wakati kesi iko kwenye hatua ya rufaa?
Kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Kesi za Madai (Civil Procedure Code/ CPC) unaweza kuomba zuio la muda mfupi Mahakamani ikiwa utaona mali inayobishaniwa kwenye kesi iko hatarini kupotea au...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
Wakuu habari za Jumapili,
Kama kichwa cha thread kinavyosema, ile hali umemsimamisha msichana unamuomba namba halafu anakunyima, daa inaleta stress sana ila basi tu.
Refer to my previous thread.
Jamani nimegairi kumuomba yule kijana namba zake . Mungu kaniepusha. I Saw him with a bunch of girls alikua Anacheka nao na kuongea ila once when he saw me hakunisalimia wala kunionesha zile reactions za before ambazo zilinifanya niamini he is into me. So Hii ni a...
Wakuu habarini za asubuhi? Kuna mtu anataka kuniuzia simu, anasema ni iPhone 15 pro max. Nimemwomba anitumie picha zake ni kama sikuelewi hivi. Niombe mwenye uelewa wa simu hii aniambie aina yake na makisio ya bei yake.
Habar za muda huu
Asalem aleykum,
Ndugu jama na marafiki nipo hapo Leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote ile hatakama ipo gari ya Uber.
Niko tayari kufanya mana hiyo Kazi nimesha fanya na account zote ninazo za Kazi.
Naomba...
Kuna namna hainipendezi kwenye huu muungano. Yaani ukiwa mzanzibar una haki zote katika huu muungano ila ukiwa mtanganyika huwezi hata kuajiriwa na Serikali ya Zanzibar wala kwenda kujenga Zenji, ila ukiwa mzenji unaweza fanya lolote huku bara sasa si ni heri uwe Mzanzibari tuu....
Naomben...
Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu.
Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba...
Tatizo tumekuwa na kazi ambazo zinahitaji uwezo wa kusimamia miradi na budget mbali mbali za maendeleo. Lakini tunaweka makada ambao wengi wamezoea kupiga domo kucha kutwa bila kufahamu chochote kuhusu uongozi. Hii imesababisha nchi zima na kila idara kuwa ya machawa na watu wasio jielewa...
Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine.
Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
Wakuu nataka kuomba kazi ya drive Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Ila nashangaa mfumo unagoma.
Naomba tips namna ya kujaza kwenye kipengele cha "program name" na "Program category"
Bila shaka hivi vipengele ndivyo vinavyonikwamisha.
Aliyefanikiwa kuomba hii post naomba anichungulie hizo sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.