Mnaoungana nami Kesho kuomba Uraia wa muda wa Taifa la Ghana tutambuane tafadhali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,181
Kuna Wenzetu wengine kwa Roho zao Mbaya leo walijipendekeza kuomba Uraia wa Taifa la Morocco ila baadae kwa Kuumbuka na Kuonana Onana wakaamua tu kurejea kuwa Wananchi wa Tanzania.

Mume kamaliza Kazi leo tarehe 19 Desemba, 2023 hivyo ni matumaini yetu kuwa na Mke nae Kesho tarehe 20. Desemba, 2023 atalimaliza Jukumu lake zito na mwenye Ugeni nalo tokea mwaka 1998.

Kila la Kheri Wajukuu wa Nkurumah.
 
Tarehe 5 novemba ilishajulikana nani mke na nani mume
 
Asante kwa Bandiko linalohusu Familia ya Mke na Mume.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha Tucheke
 
Attachments

  • IMG_20231125_182349.jpg
    IMG_20231125_182349.jpg
    102.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom