kuomba

  1. cutelove

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kufika Dar usiku na kuomba mwenyeji anipokee kwa dharura

    Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kenya:Hivi polisi wanafikiria kuomba msamaha ni jambo rahisi wakishatenda

    Sio Kenya tu hata Tanzania ni jambo rahisi kukanusha mpaka waziri leo wa fedha kusema yale magunia yaliyo wekwa watu yenye chapa ya tanzania kuwa yalitupwa baharini. Hivi unawezaje kujibu majibu rahisi kama hayo. Sasa Kenya baada ya kuona mada imekuwa ngumu polisi anaomba msamahaa yani kesi...
  3. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Nimerudi tena kuomba kazi

    Wakuu kama kazi za ofisini bado hazipikani, basi naombeni hata za bandarini. Nimeingia ajira portal kuangalia nafasi za kazi, nimetoka huko nduki. Naombeni kazi, wale ma agents wa bandarini, sikieni basi hili ombi langu. Msinichoke lakini. Naombeni mnisaidie hata namna ya kupata kazi za...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Leo nimekumbuka Enzi ya simu za kuomba kwa operator na Barua Bila Stamp!

    Habari Wana JF,Miaka ya nyuma huko1960.......1990,Tuliokuwepo, unaenda posta unakoroga simu kwa operator,anskuitikia unataka namba baadae anakuunganisha unaongea na kutumbukiza hela ya muda wa Maongezi . Kama huna hela unasema reverse call,akikubali unayempigia kwamba itaingia kwenye bill...
  5. ommytk

    JamiiForums Tanzania Kuna makanisa mengine atulali usiku kwa kuomba

    Hivi kwanini iko hivi maana kama kuomba si iwe kwa watu husika sio kwa mtaa mzima au eneo zima amlali ni kwaya usiku kucha ukienda kuangalia kanisa ndani wapo watu awazidi watano Mtuonee huruma tunapishana kwenye Imani
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya mambo haya, hata ukifunga na kuomba siku 40, unapoteza muda wako tu, Mungu hawezi kukupa unayotaka

    Watu wengi wanapopatwa na shida, magonjwa na majanga, huamua kufunga na kuomba kwa muda mrefu, wakitarajia kuwa Mungu atawatatulia shida zao. Jambo wasilolijua wengi ni kwamba ili Mungu atupatie haja zetu tunapomuomba, ni lazima tukidhi vigezo na masharti aliyoyaweka. Kama unafanya mambo...
  7. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania CCM inapitisha bakuli (Tone tone) kwa makampuni

    Nakusogezea hii habari toka kwa Mange kimambi kama iivyo (This is nothing but uhujumu uchumi, ufisadi, uonevu, rushwa, udhulumat etc. CCM inatuma barua hizi za kuomba pesa za uchaguzi kwa makampuni binafsi, hivi kuna kampuni itakayodhubutu kutokutoa michango? Hivi kuna kampuni itayo dhubutu...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Fainali ya CAFCC isipopigwa Taifa, Serikali itoke hadharani kuomba radhi

    Serikali isipumbaze watu ati wanahujumiwa na Morocco ambao wana ushawishi CAF Binafsi nasema hapana, uwanja wa Mkapa ni mbovu na hauna hadhi ya kutumika kucheza final ya shirikisho Toka 2023 huu uwanja ulifungiwa na kiasi cha billions 31 zilitokewa Kwa ajili ya ukarabati Fedha zote hizo...
  9. bibliatimes

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kukusaidia kuomba vizuri kwa muda mrefu - 1

    MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBA VIZURI KWA MUDA MREFU-1 Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo Bwana wetu. Leo nataka nikupe mbinu kadhaa za kukusaidia kuomba vizuri na kwa muda mrefu. Hakikisha Unafuatilia somo hili Hadi mwisho na Mungu atakuinua viwango vingine kimaombi. Ni muhimu sana kwa mwana...
  10. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Kuomba ufafanuzi kuhusu hii habari iliyopostiwa East Africa tv

    #HABARI Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deus Sangu ametangaza kuanza kutumika kwa Muundo mpya wa Utumishi wa Maendeleo ya kada za Uuguzi na Ukunga ifikapo mwezi Julai mwaka huu. Sangu ametoa kauli hiyo leo Ijumaa Aprili 10, 2025 Mkoani...
  11. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako

    Hela ya Mwanaume ni ngumu, usiwe na mazoea ya kuomba msaada kutoka kwa Wanaume wenzio, wengine watarudisha kupitia mke wako Binadamu wanatofautiana sana, wema ni wachache, jinsia yetu ya kiume inatofautiana sana kifikra, wapo baadhi ya wenzetu fikra zao zimejikita sana kwenye ngono kwa maana...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania maskini mnapaswa kufunga na kuomba kuiombea nchi yenu

    Watanzania mnapaswa kusali sana na kuomba kuiombea nchi yenu amani lakini amani hiyo iwe ya haki sio amani ya kuwauwa wadai haki na kuwasingizia kesi za uongo na kuwalisha maneno ya uongo midomoni ambayo hakuyafanya. Watanzania mnapaswa kusali sana ili upendo uongezeke nchini sisi kwa sisi...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa hiyo Mrisho Gambo, kuomba kwako MSAMAHA unakiri kua Umetoa Taarifa za Uongo Bungeni zenye chuki na kisasi dhidi ya Makonda na Mchengerwa?.

    Duuhh Gambo Gambo Gambo !!
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender

    Hiini kwa wale wote wenye Biashara au kampuni na wanashindwa Kutumia Mfumo wa Nest Mafunzo Ya Kutumia Mfumo Wa Nest Na Kuomba Tender 👉 Wasiliana Nasi 0764 148 221
  15. K

    JamiiForums Tanzania Dunia hazibadiliki, mitizamo ya watu hubadilika!

    Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na Hekima,na aombe Dua kwa Mungu,awapaye wote kwa ukarimu,Wala hakemei;naye atapewa. (Yakobo 1:5). Zingatia jinsi utamaduni unavyobadilika kadiri muda unavyopita.Kanuni za kijanii zinabadilika: Mambo yaliyokuwa yanakubalika hapo Swali hayakubaliki Tena,na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Nimetengwa kanisani baada ya kuomba account namba ya Yesu ama Mungu nimuwekee Zaka zake, fungu la kumi. Wanalazimisha wao ndio wampokelee Mungu hela

    Kanisani walikuwa wanasisitiza sana kila muumini lazima atoe fungu la kumi, maana ni la Mungu, binafsi nikawa tayari kumtolea mungu hela zake hizo za fungu la kumi ila kwa kumpatia Mungu mwenyewe ili kuepusha watu wa kati kumlia Mungu hela zake. hivyo nikaomba account namba ya Mungu ama namba...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?

    Demokrasia ya Tanzania tangu mwaka 1992 hadi 2025. Niya Hisani Kuomba, Kupewa na mtawala wa Ki-imla aliyopo madarakani?
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump: Kuna nchi zinabusu 'makalio' yangu kuomba makubaliano!

    Akiwa katika moja ya mikutano ya Republicans Trump ametumia lugha kali ya mtaani kujisifia kwamba kuna nchi zinabusu makalio yake kuamba makubaliano katika vita vya tarrifs alivyovianzisha!
  19. R

    JamiiForums Tanzania Salamu ya masikini ilishatafsiriwa ni kuomba msaada, jitahidi sana kwenye haya maisha upigane na umasikini watu wasikukwepe

    Hata kabla hujafungua kinywa au hata kabla simu yako uliyopiga haijapokelewa, tayari unaonekana unataka kutaja shida usizoweza kuzitatua sababu ya kukosa pesa hivyo unataka kuomba msaada, Ukiona watu wanapita kama vile hawajakuona, wanajifanya kuwa bize kuongea na simu, n.k. hesabia...
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
Back
Top Bottom