kuomba

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake duniani:- Ni aibu mwanaume kuomba lift kwenye gari ya mwanamke, kumuomba mwanamke vocha, rent ya nyumba etc

    Huna gari, huna nauli, msomeshe mwanaume mwenzako akusaidie. Sio umuombe Hela, mweleze, nafika sehemu Fulani ila nimekwama nauli, je unanisaidiaje ili nifike huko niendako? Kama atajisikia kukupa pesa, sawa, kama atakuitia boda sawa, kama atakuombea lift kwa jamaa zàke waendao huko uendako ni...
  2. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Paschal umetuaibisha JF, kwamba Watanzania tukampigie magoti Mwenyekiti wa kijani kuomba Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya!

    Kumbe kusoma shule Moja na TUNDU Lissu, Si kuwa na Maarifa, Yaani ilboru iliyomtoa TUNDU Lissu Kwa walimu wale wale, ndiyo pia imemtoa Pasco mayalla anayetuaibisha JF tuonekane wale wale! Yaani Watanzania twende tena kumpigia magoti Mwenyekiti wa kijani Ili atupe hisani ya kubadili Katiba mpya...
  4. Wakwetu03

    JamiiForums Tanzania CHANGAMOTO ZA KUOMBA AJIRA ZA ZIMAMOTO KUPITIA MFUMO WAO

    Ndugu wanajukwaa,nimepata changamoto ya kuomba kazi kupitia mfumo wa kuomba kazi katika jeshi la Zimamoto. Nimefuata taratibu zote za kujisajili kwenye mfumo wa ajira ili kuomba kazi kama ilivyotangazwa hata hivyo napata changamoto katika hatua ya mwisho ya kuwasilisha maombi yangu kwani link ya...
  5. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Taasisi zinazohitaji tujaze fomu za karatasi taarifa zetu nyeti za NIDA ni hatari, taarifa zinaweza Kutumika kwenye utapeli, wizi, kuomba mikopo, n.k.

    Kuelekea mapinduzi ya Teknolojia, mambo mengi nchini yameanza kufanyika kwa kutumia NIDA. Kwenye mifumo ya kusajili biashara, kuomba ajira, kuomba mikopo, kujisajili huduma za kiserikali mtandaoni, n.k. huwa unajaza Nida halafu baada ya hapo unaulizwa maswali matatu ya uhakiki mfano jina la...
  7. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Serikali ya DRC, kuomba michango ya kusaidia jeshi lake.

    Tangazo hili, lilitolewa na kusainiwa na waziri wa fedha nchini DRC, akiwataka wananchi kuchangia fedha kwenye account zilizowekwa katika tangazo hilo, llengo likiwa ni kukusanya uwezo wa kulisaidia jeshi la serikali huko mwashariki mwa nchi, kutokana na alichokiita vita vya kukabiliana na uvamizi.
  8. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki aanza mchakato wa kuomba uraia

    Kweli bongo new york,yanga pale kuna kitu wachezaji wa kigeni huwa wanalishwa si bure,kuna msululu wa wachezaji waliopita yanga hawataki kurudi kwao,kuanzia Makambo mpaka chirwa Aziz Ki ameanza mchakato wa kuomba uraia huenda akawa kocha hapohapo uto baada ya kustaafu mpira na kufirisika
  9. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania JAMANI HIZI AJIRA ZA TRA NA WALIOSOMA BAED ANAWEZA KUOMBA?

    Kwema wakuu, kama mada inavojieleza alie liona tangazo anakaribishwa alete mawazo
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi ndani ya mkoa wa MBEYA

    Habari ndugu zangu wa Jammi Forum, mimi ni kijana wa miaka 29, mwenye uzoefu wa kusimamia watu na tasisii kwa miaka 7, saizi sina kazi, naomba kazi yoyote ndani ya mkoa wa Mbeya, kazi yoyote nipo tayari. Asante.
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Maelezo marefu kumbe agenda kuu ilikuwa ni kuomba kuchangiwa pesa za matumizi binafsi ya kifamilia na za kuendesha chama chake

    Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa, Tazama sasa, Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuomba mchango wa harusi ni matusi makubwa

    Jumapili au Jumamosi funga ndoa kanisani rudi nyumbani na mwenzi wako muishi kwa amani na furaha. Nendeni ofisi ya DC fungeni ndoa mrudi nyumbani muishi kwa amani. Au fungeni ndoa nyumbani kwa binti murudi nyumbani mukaishi kwa amani. Kama unataka kufanya sherehe ruksa, fanya kwa uwezo wako...
  13. Isenye

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi ajira za TRA wanaruhusu kuomba nafasi zaidi ya moja?

    Habari zenu wana jukwaa? Hivi hizi ajira za tra let's say sisi watu wenye shahada za uhasibu naona kama kuna kada nyingi sana tunaingia,mfano tax management, customs,accounts officer, auditing etc. Je inaruhusiwa kuomba zaidi ya nafasi moja? Nisaidieni maana me sijawahi kuomba hizi kazi za...
  14. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania TLS wao kila siku ni kulia na kuomba misaada kwa Rais, Law Bar za nchi nyingine hazina huu ujinga

    Ukifuatilia hata Law Bar Associations ya Rwanda tu utagundua huwezi wakuta wanaenda kulia lia kwa Kagame mara wapewe Gari mara Kagame awwpunguziwe Kodi, nenda Law Bar ya Uganda huwezi kuta huu ujinga wa kwenda kuomba msaada kwa Mseveni. Njoo sasa kwa Law bar association ya Kenya, ile ndio...
  15. E

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila alikosea na alipaswa kuomba msamaha sio kujieleza

    Habari JF , leo katika pitapita zangu nimekutana na kauli iliyozua maswali mengi sana kutoka kwa RC Chalamila , kwa ataeshindwa kununua gloves akajifungulie nyumbani . Kimsingi inawezekana ni kauli sahihi katika mambo mengine ya afya lakini katika suala la uzazi ambalo lina faida kwa Serikali...
  16. Mr Beltashezah

    JamiiForums Tanzania Nipo hapa kuomba fursa ya ajira au connection ya Kazi hasa kuhusu kitengo cha mazingira, Afya na usalama mahara pa kazi

    Habari
  17. K

    JamiiForums Tanzania KERO Kagera: Mamlaka husika tunaomba mtuweke taa za barabarani Bunazi, Wilaya ya Misenyi

    Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar mpaka Ofisi za Halmashauri. Nyakati za usiku kiza kinene na Barabara hiyo ndio kuu ya watembea kwa...
  18. Rais wa wapare

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuomba faili la kesi mahakamani

    Kwanza kabisa natanguliza shukrani Nina kesi ya madai mahakama ya wilaya lakini kwa bahati mbaya mwisho wa kesi ikagundulika imekosewa jina la mdaiwa ikabidi isimame utekelezaji wake.sasa mimi ninataka nifungue kesi upya.Lengo la kuja hapa wadau ninaomba kujua utaratibu na jinsi ya kupata...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Siri ya kuomba Mungu kwa usahihi ili upate majibu

    Kuna dhana ipo katika watu wengi kuangaika kutuma maombi yao kwa Mungu (ulimwengu wa kiroho) ili kuweza kupata majibu ya maombi yao. Tatizo ni jinsi ya kutuma maombi. Shida kubwa kwa watu ipo katika namna ya kuongea na Mungu/ulimwengu kwani wengi hawajapewa siri ya kuongea na muumba wa kweli...
  20. milele amina

    JamiiForums Tanzania Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
Back
Top Bottom