kuolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitaki kuolewa, naomba tuzae tu

    "Nimemfukuzia muda mrefu, amenizungusha sana kwa kutoa visingizio vingi, mfano mimi bado mdogo, siko tayari kwa ndoa, ngoja nitafakari n.k. Hivi karibuni kafunguka na kusema hayuko tayari kuolewa labda tuzae tu. Kungwi Sexless nimekuja kwako naomba unisaidie kuchakata kauli hii toka kwa...
  2. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usioe wala kuolewa na mtu kalelewa na mzazi mmoja why?

    1. They are selfish. 2. They are more likely to have a side family, child, multiple family or end the marriage for stupid reasons. 3. They are emotional damaged. They don't care of other people feelings. Any thing is the right way as long as wapo happy hata for a short time. 4. They always...
  3. Ester505

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Afadhali kuolewa na Muislamu kuliko Mkristo

    NI kutokana na SABABU zifuatazo (1)Wanaheshimu Sana wake zao, na wanahudumia vizuri Sana. (2) Wanaheshimu Sana dini ndio maana hata wakati wa Ramadhan Mambo mengi katika maisha hayaendi. Mfano migahawa hufungwa baadhi, madukani ndio hivyooo, n.k (3)Ni wasafi sana(hawawezi kujisaidia haja ndogo...
  4. Cute Msangi

    JamiiForums Tanzania Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

    Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka. Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda...
  5. Okrap

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ikiwa unataka kuolewa zunguka duniani hutakosa wa kukuoa

    Ikiwa unapenda kuolewa, lazima uolewe ndani ya miaka 2. Vyanzo vyote vinavyoaminika kama vile U.N na World Factbook vinaonyesha uwiano wa kimataifa wa Wanaume kwa Wanawake ni takriban 1:1. Kwa maana kali, wanaume ni zaidi kidogo kuliko wanawake duniani leo. Kulingana na Umoja wa Mataifa...
  6. Gily Gru

    JamiiForums Tanzania Kuolewa tena na mwenza uliyemtaliki

    Wasalaam wana JF Unakuta mwanaume alikuwa na mke na wanaishi pamoja pika pakua. Ikatokea kuhitilafiana na wakachukua maamuzi ya kutalikiana kila mtu aende kumi zake. Baada ya kila mmoja kusukuma gurudumu la mahusiano na watu wengine huko waliko mwisho mahusiano yakatika kikomo pia. Unakuta...
  7. Dasizo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kati ya mwanamke na mwanaume nani anatakiwa kubadili dini ili aoe au kuolewa? Na kwanini?

    Naombeni mnisaidie kuna mdada nimempenda anakata kubadili dini anasema nibadili mimi .
  8. TheForgotten Genious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizigua wanafaa kuolewa?

    Kwa wale mlioishi Handeni ama mmeoa wazigua naombeni sifa za hawa watu, tamduni zao, changamoto zao tafadhali.
  9. TheForgotten Genious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini wanawake wengi wa kihaya wanaforce mtu kuolewa na flani?

    Hawa wanawake wa kihaya mimi wiwaelewi,yaana unamkuta mdada anang'ang'ana umuoe ,na hapo hata miezi 2 haijaisha tangu mmejuana,utadhani kuoana ni kama mchongo. Utamsikia"Mimi nataka kuolewa,natafuta mume anioe tuishi pamoja tu basi,wewe kama vipi nichukue tuishi wote",,bladifakeni kabisa...
  10. Mohammed wa 5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Uganda, yamwamuru Mwanamke ( Slay ueen a.k.a Gold digger) Kumlipa Mwanaume (Sponsa) Kwa kosa la Kuvunja Kiapo Cha ahadi ya Kuolewa naye !!.

    Yaan ni kama Wee Jamaaz Umsomeshe Demu iwe kuanzia shule au Chuo Cha Kati au Chuo Kikuu Kwa ahadi ya Demu Kuolewa Nawewe. Alafu Demu baada ya kusoma ale Kona ... Dai chako !!!! Dai Chako.!! KATAA WIZI !!KATAA KUIBIWA !! Kuna kipindi nmewahi msikiliza Mwanasheria Mmoja akitoa Elimu ya...
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 10 Reasons why you should not marry while you are still young

    There are many reasons why waiting until later in life may be advantageous, even though some individuals may feel ready to get married at an early age. Photo: LS Archive/Sazzad Ibne Sayed Marrying young can be problematic because there are many possible obstacles and traps. Before deciding to...
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuongee Kifamilia leo, kama unataka kuoa au kuolewa na mna imani za dini tofauti jitafakari upya

    Nitaandika kwa kifupi tu, kuna case nimeshindwa kuipa suluhu nimeitwa kuleta amani kwenye nyumba ya hawa wanandoa. Wewe ni mwanamke muislamu olewa na mwislamu mwenzako, na kama wewe mwanaume ni Mkristo oa Mkristo mwenzako. Issue ni ngumu, Mkristo kaowa mwanamke muislamu kipindi mahaba...
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuolewa alisema hivi "nilikuwa natamani mwanaume anibake"

    Wanawake bwana wao huwa wanaambiana vistory vya kweli wao kwa wao. Hata mwanaume ukimkuna vizuri lazima akawasimulie wanawake wenzake. Hawa wenzetu hawawezi kutunza siri hasa kama kuna kitu kimempendeza wanapenda kushare na wenzao. Ni single mama mmoja alikuwa na watoto wawili baada ya kukaa...
  15. Unique Flower

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi na Mahaba Kwa wapendanao🥰😘😘😘

    😝😝😝😝😝🎉🎉🎉🎉 ukitaka uishi Kwa Amani mwanaume ujue haya : 1.ujue kumuandaa mwanamke na apewe haki yake aridhike 2.Apewe kadi ya manunuzi , apendeze anunue atakachoo, akupikie ule akuandae kwenda kazini . 3.ukirudi akupokee Kwa tabasamu zuri nawewe mwanaume urudishe tabasamu kuonyesha unamjali...
  16. Izogi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuolewa ndio kipimo cha upendo?

    Kuna ile kwamba mwanamke akiolewa anajiona yeye ndo anapendwa zaidi kwakuwa kaolewa. Je, kuna ukweli katika hili? Hii mada haichagui jinsi, yoyote anaweza kuchangia.
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kuna wanandoa wanajutia kuoa au kuolewa na wanatamani ndoa ivunjike?

    Wasalaam JF Swali kwa wanandoa je, vipi hali ilivyo huko kuna ambao mnaojutia kuoa au kuolewa na mnatamani ndoa zivunjike mjiunge kundi lenye kura turufu ya maisha ya raha hapa duniani? Hasa hili kundi letu la uchakataji usio na mipaka. Inshallah naamini tuko na jumapili njema kabisa. Wadiz.
  18. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aliyesomeshwa na mchumba atakiwa kurudisha Milioni 9.8 baada ya kukataa kuolewa

    Mahakama imemtaka Mwanamke mmoja wa Kanungu kulipa kiasi hicho cha fedha ikijumlisha fedha iliyotumika kumlipia ada ya masomo ya Stashahada pamoja na faini ya usumbufu na uchungu wa kisaikolojia alioupata mshitaki. Richard Tumwine na Fortunate Kyarikunda wote ni Walimu walianzisha uhusiano wa...
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hali hii kuoa au kuolewa ni kazi ngumu

    Kutoka Kiaraka, Magegeni, Bagamoyo mkoa wa Pwani, kumetokea utata juu kuzikwa kwa mwili wa marehemu Massawe ambapo upande wa mke wanataka mwili usafirishwe na upande wa mume na majirani wakitaka marehemu azikwe nyumbani kwake Kiaraka walipojenga na mke wake. Kutokana na utata huo mke...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unapotaka kuolewa unatakiwa kutii hisia za mapenzi ama hisia za maisha mazuri?

    Watu wawili wanaonesha interest kwangu. Mmoja ana hela chafu, nikikohoa muamala unasoma. Na kwake ni full kiyoyozi, gari kali, geto kali na mipango ya maisha iko kwenye mstari. Huyu mwingine mm ndiye nampenda haswa, nikimuona nategwa kihisia kama samaki kaona chambo. Lkn huyu kiuchumi...
Back
Top Bottom