Kabla ya kuoa au kuanzisha familia jitahidi sana uyafanye haya

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU)
------------------------------

Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae.

Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia.

Kama haujajenga na hauna kiwanja anza sasa tafuta eneo nunua hata liwe la bei nafuu huko mbele wenda usipate nafasi ya kuja nunua kiwanja tena.

Kwa kijijini kama hauna shamba na upo tu mgundini ndugu amka sasa tafuta hata hekali moja panda mahindi au mpunga au hata liache tu uje anze na mkeo wenda huko kwenye ndoa usije pata mda wa kununua hata robo heka.

Kwa mjini na kijijini kama bado upo kwa nyumba ya kupanga na unampango wa kuoa kaka yangu huo ni ujinga amka sasa kwa kijijini jenga hata kajumba chako ka matope kwa kile kiwanja ulichonunua kwenye mstari wa juu.

Kwa mjini kama bado kwa nyumba ya familia em toka kwanza kapange chumba hata kamoja kaa kwanza hata mwaka angalia kama unauwezo wa kumudu kodi ya nyumba.

Wakati mwengine fanya kama unatafuta mwanamke unafungia ndani hata mwezi angalia upepo sio unakurupuka tu.

Pia kama hauna kazi ya kufanya yaani kibarua upo upo tu.

Anza kutafuta ka ajira kwanza
Hata ka kuchunga mbuzi, jaribu hata kutafuta kiwandani, au amka asubuhi amkia sokoni beba mizigo uwe hata na uhakika wa kipato cha 10,000 kwa siku ndio uoe.

Ndugu kama hauna kitanda kizuri nunua kwanza tafuta na godoro hata la nch 10 lalia na madada poa angalia upepo kwanza.

Wenda huko kwenye ndoa usije pata bahati ya kununua godoro tena.

Kama hauna simu kali nunua jiunge kwa magrup ya xxx angalia hali ya hewa kisha ndio uoe.

Ndoa sio ajari jipange broo

Maana ukikurupuka utakuja watesa bure watoto wako na mkeo.

JIPANGE KI SAWA SAWA.
 
Si nasikia ni jambo la kheri, mbona masheriti mengi ova unaenda jandoni?
 
Imeanza vizuri umemaliza vibaya...

Yaani ulale kitanda na madada poa alafu uje ulale na mkeo...

Aisee...!
Ukija kuoa wenda usije ipata hiyo nafasi,.

Ukiuupuza huu ushauri utakuja pata shida ya kutafuta gest baadae
 
Kwa ambao bado HAWAJAOA au Kuwa na FAMILIA (MAJUKUMU)
------------------------------

Ndugu yangu kabla ya kuoa Jitahidi sana kuyaandaa mambo haya utakuja nikumbuka baadae.

Rafiki maisha ya sasa ni magumu sana hivyo unapaswa kujiandaa ipasavyo kabla ya kuyaendea majukumu ya kifamilia.

Kama haujajenga na hauna kiwanja anza sasa tafuta eneo nunua hata liwe la bei nafuu huko mbele wenda usipate nafasi ya kuja nunua kiwanja tena.

Kwa kijijini kama hauna shamba na upo tu mgundini ndugu amka sasa tafuta hata hekali moja panda mahindi au mpunga au hata liache tu uje anze na mkeo wenda huko kwenye ndoa usije pata mda wa kununua hata robo heka.

Kwa mjini na kijijini kama bado upo kwa nyumba ya kupanga na unampango wa kuoa kaka yangu huo ni ujinga amka sasa kwa kijijini jenga hata kajumba chako ka matope kwa kile kiwanja ulichonunua kwenye mstari wa juu.

Kwa mjini kama bado kwa nyumba ya familia em toka kwanza kapange chumba hata kamoja kaa kwanza hata mwaka angalia kama unauwezo wa kumudu kodi ya nyumba.

Wakati mwengine fanya kama unatafuta mwanamke unafungia ndani hata mwezi angalia upepo sio unakurupuka tu.

Pia hauna kazi ya kufanya yaani kibarua upo upo tu.

Anza kutafuta ka ajira kwanza
Hata ka kuchunga mbuzi, jaribu hata kutafuta kiwandani, au amka asubuhi amkia sokoni beba mizigo uwe hata na uhakika wa kipato cha 10,000 kwa siku ndio uoe.

Ndugu kama hauna kitanda kizuri nunua kwanza tafuta na godoro hata la nch 10 lalia na madada poa angalia upepo kwanza.

Wenda huko kwenye ndoa usije pata bahati ya kununua godoro tena.

Kama hauna simu kali nunua jiunge kwa magrup ya xxx angalia hali hewa kisha ndio uoe.

Ndoa sio ajari jipange broo

Maana ukikurupuka utakuja watesa bure watoto wako na mkeo.

JIPANGE KI SAWA SAWA.
Dogo umewashauri vizuri wadogo zako...Safi Sana hizo ndo fursa zinazopatikana Tz...
 
Back
Top Bottom