Natafuta mke awe Msukuma au Mhaya

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!

Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha.

Mwanamke yeyote, awe na watoto ama la akuje, na pili lazima awe na kazi. Mimi Nina miaka 39 ,nimuajiriwa na ni mfanyabiashara ,Nina watoto 2 ni mzaliwa wa mbeya ,kabila langu kama kawaida
 
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama Kambi Moja kwenda nyingine rasmi nimeamua kuoa ! Nimeamua kuoa sirias kabisa na Sina utani hata kidogo! Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua msukuma ,kwa Sasa sioi kwa sababu ya ngono ila naoa kwa sababu ya maisha ! Mwanamke yeyote awe na watoto ama la akuje! Na pili laxima awe na kazi
Ukabila Tanzania tulishaufuta mkabila mkubwa wewe watu hawaoi kabila

Pili unaposema lazima awe na kazi kwa hiyo ikitokea kaachishwa kazi kwa sababu yeyote utamuacha

Kwa staili hiyo hupati mke
 
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!

Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha.

Mwanamke yeyote, awe na watoto ama la akuje, na pili lazima awe na kazi.
Wahaya wapo kibao pale Temeke
 
Ukabila Tanzania tulishaufuta mkabila mkubwa wewe watu hawaoi kabila

Pili unaposema lazima awe na kazi kwa hiyo ikitokea kaachishwa kazi kwa sababu yeyote utamuacha

Kwa staili hiyo hupati mke
Kuwa na kazi sio lazima aajiriwe hata biashara au kilimo ni kazi ,nataka msukuma kwa sababu hawana usumbufu na mhaya Hana mbambamba
 
Ndio sitaki golikipa
Kwani wewe una hela? Wenzio akina Bhaktesa wake zao mama wa nyumbani wao ndio wanaingiza hela kupeleka nyumbani wakale wake zao

Kwa maelezo yako wewe ni lofa uliyepigika kimaisha unayetaka kutoka kupitia Mwanamke

Maswali ya je muoaji ana kazi au la kwenye vikao vya kuoa huwa anaulizwa kijana wa kiume sio wa kike wewe umekuja kinyume unataka kikao kihoji huyo mwanamke unayetaka kumuoa ana kazi?

Wewe kama kijana wa kiume nawapa Pole wazazi wako

Anayeoa ndiye huulizwa kama ana kazi kuwa sio golikipa sio mwanamke

Kwa viswali vyako hivyo hupati mke

Tafuta pesa ukiwa na vipesa viseali vya kijinga kama hivyo vya je mwanamke ana kazi hutauliza

Kataa umaskini na ulofa wa hela

Huna hela usio nenda kawe padri kanisa katoliki
 
Wandugu baada ya miaka mingi ya kuzurula au niseme kuhama kambi moja kwenda nyingine, rasmi nimeamua kuoa. Nimeamua kuoa serious kabisa na sina utani hata kidogo!

Makabila yote nayajua ila nimeamua kuchagua Msukuma. Kwa sasa sioi kwa sababu ya ngono, ila naoa kwa sababu ya maisha.

Mwanamke yeyote, awe na watoto ama la akuje, na pili lazima awe na kazi. Mimi Nina miaka 39 ,nimuajiriwa na ni mfanyabiashara ,Nina watoto 2 ni mzaliwa wa mbeya ,kabila langu kama kawaida
Temeke Sudan wapo wengi wahaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom