kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nikilazimika kununua Subaru, Nitaishi na Subaru Legacy Sedan. Sijui kwanini watu hawaielewi?

    Kila mtu na mapenzi yake. Naipenda sana Subaru Legacy, kasedan flani kakubwa kwa Imprezza, comfortable kuliko Imprezza, Tech zaidi na powerful kuliko Imprezza (engine size na horsepower)! Ila ndio ivyo, kipenda roho. Ila bad thing hii gari imekua discontinued 2024.
  2. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

    TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro. Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...
  3. JamiiForums Tanzania Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel!!.

    Wito kwa Waislamu wote kugomea kununua bidhaa zote kutoka Taifa teule la Israel umekuwa ukitolewa mara kwa mara na viongozi wa kiislamu kote duniani swali najiuliza Je wanaweza? Natarajia kuona Wafuga Midevu na Majini wakiacha kutumia mitandao yote ya kijamii, wakome kabisa kutumia Simu...
  4. JamiiForums Tanzania Huyu billionea george soros ni nani haswa? Mtu anaesadikika kufadhili kampeni za kusambaza maudhui ya kishoga duniani kwa kununua haki za televisheni

    Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine. Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
  5. JamiiForums Tanzania Kuna kiwango cha juu cha umeme wa LUKU mtu anachoruhusiwa kununua?

    Habarini wakuu. Naomba kuuliza swali la kizushi. Kiwango cha juu cha umeme wa LUKU ambacho mtu anaruhusiwa kununua ni kiasi gani?
  6. JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

    Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya Budget: Isizidi Tsh Milioni 50 Mahitaji ya nyumba: • Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom) • Sitting Room & Dining Room • Jiko kizuri • Public Toilet • Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia • Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi bora kununua nyumba au kujenga mwenyewe?

    Hivi kati ya kujenga nyumba au kununua kipi ni gharama kubwa?
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya kuuza na kununua madeni ya mikopo ya Watumishi katika mfumo wa ESS, iruhusiwe

    Jambo la kushangaza ni kuwa mfumo wa ESS unashindwa kutuhudumia upande wakuuza mikopo, uhuru wa kuchagua benki ni wa wazi na riba zinaonekana, tunaiomba Serikali imalizie ama i-activate mfumo wa kuuza na kununua madeni (loan takeover). Tunajua ni njama za benki zinaogopa kupoteza wateja, hivyo...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

    Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
  10. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  11. JamiiForums Tanzania Mtumishi anayetuhumia kulazimisha Wafiwa kununua majeneza kwake Hospitali ya Sekou Toure asimamishwa kazi

    Uongozi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mwanza Sekoutoure umepokea taarifa ya Mtumishi kitengo cha Mochwari anaeuza majeneza na kulazimisha wafiwa kununua kwake na tayari umeshachukua hatua za haraka za kumsimamisha kazi mtumishi huyo ili kupisha uchunguzi wa tuhuma hizo. Aidha Tunawahimiza...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO App ya Mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya App

    App ya mwendokasi haifanyi kazi siku ya nne leo, tunashindwa kununua tiketi ilihali kuna hela ndani ya app. Ukiwapigia wanasema wanarekebisha
  13. E

    JamiiForums Tanzania Somesha wanao wasije kuhangaika kununua PhD

    Ndugu zangu ushauri sio shuruti PhD ya kununua naona haikati kiu kila siku utanunua. Muhimu usomeshe wanao.
  14. JamiiForums Tanzania Metric Tonne (MT) Ndio Kipimo Kikuu Kinachotumika Wakati Kuuza na Kununua Mafuta katika Soko la Kimataifa

    Katika mijadala mingi kuhusu biashara ya mafuta duniani, mara nyingi watu huamini kuwa mafuta huuzwa kwa kutumia barrel (pipa) kama kipimo kikuu. Ingawa kipimo hicho hutumika kama benchmark ya bei, ukweli wa kitaalamu na kibiashara ni kwamba: Katika bulk procurement na mikataba mikubwa ya...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kununua oil tankers?

    Nawaza hapa kwa sauti. Kwa nini tusingenunua oil tankers badala ya ndege za abiria? Leo tungekuwa wachuuzi wakubwa wa mafuta yaliyokuwa refined huu ukanda. Inaweza kuwa na faida tukanunua oil tankers sasa?
  16. JamiiForums Tanzania Magari ya Japan (Japanese used cars) za kununua 2026!

    Wakuu. Tujaribu kulist magari yaliyotumika Japan ambayo ni rafiki kununua kwa mwaka 2026 (maybe na kuendelea). Nimeanza mimi kwa kuyaweka hapa, maelezo kidogo, ila unaweza kudiscuss zaidi. Vigezo nilivyotumia: -Gharama (kuna category ya chini ya Mil 20 na nyingine Mil 20+)! -Fuel efficiency...
  17. JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wakiwa na hela wanakua na obesity wakati ndio wakati mzuri wa kununua vyakula ambavyo ni vizuri kwa afya

    Hii imekua kama utamuduni au ishara ya mtu kuonekana anaishi vizuri lakini ni ndivyo sivyo. Matajiri wengi na wenye kipato ambacho si Cha magumashi hutumia hela zao kwa vyakula visivyo na faida kwao na kuona vyakula hivi vya asili vimepitwa na wakati
  18. JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka Kumiliki Kirikuu

    Utangulizi Sidhani kama kuna mkoa ndani ya Tanzania,ambalo halijui show za (Kirikuu) yamekuwa chaguo la wengi wanaoanza au kuendesha biashara ndogo ndogo. Na ni hali ya kawaida kwa wengi ambao wanataka kuanza bishara ya ubebaji mizigo masokoni, kuambiwa kuanza na kirikuu, yaani...
  19. JamiiForums Tanzania UONGO WA KARNE: "Pesa Haiwezi Kununua Furaha" Neno la Kujifariji La Masikini na Kukaririwa na Wasomi

    Leo naomba tushuke kwenye majukwaa yetu ya usomi na falsafa za akina Socrates, tuingie kwenye hesabu halisi za maisha. Kuna utapeli wa kisaikolojia ambao tumekuwa tukiimba kila siku: "Pesa haileti furaha, utu ni bora kuliko mali." Hii ni kauli mbiu ya kujifariji iliyotengenezwa ili kuwafanya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tuzingatie kitu gani tunapokwenda kununua simu ili tupate simu bora?

    Huu wakati ambao asilimia kubwa ya vitu tunategemea simu aidha kama njia ya mawasiliano, wengine simu ndio ofisi yaani wanatumia kuingizia kipato au wengine kama vifaa vya kujiburudisha kwa kuchezea magemu inahitaji ujuzi na akili kubwa kuweza kufanya machaguo ya wakati wa kuingia sokoni. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…