kununua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Kwanini watu wengi wanaona aibu kununua Condom dukani/pharmacy au kwanini watu wengi huogopa kuingia lodge/guest house kuulizia vyumba?

    Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje...
  2. Nizingatie nini napotaka kununua kiwanja kutoka kwenye kampuni ya kuuza viwanja?

    Kuna kampuni inaitwa noble real estate wanuza viwanja madale kwa sh 40,000 kwa square meter, nataka kiwanja cha 800sqm ambapo jumla ni 32M, ukizingatia ni pesa nyingi na ni saving yangu na mikopo. Nataka kujua ni vitu gani vya kuzingatia ili nisiishie kulia maana hapa mjini hapaaminiki siku...
  3. B

    Nahitaji kununua gari aina ya Toyota Alphard naomba ushauri

    Wakuu habari, Naomba ushauri wenu nahitaji kununua gari aina ya toyota alphard ya kuanzia mwaka 2006, Sina uzoefu na magari, katika bei ,ulaji wa mafuta, nk. 🙏
  4. Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  5. Tuhuma za Yanga, Simba kununua ubingwa, TFF, Bodi ya Ligi, mnaziba masikio

    Ukifuatilia mitandaoni kwa sasa watu wa soka kuna kelele fulani hivi zimekuwa zikiendelea kwa kasi, ilianza kimya kimya, lakini taratibu zinaenda zinashika kasi. Timu fulani kubebwa au timu hii inatengenezewa mazingira ya ubingwa ni maneno ambayo yanasikika sana mtaani na mitandaoni. Awali...
  6. Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
  7. Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  8. Natafuta duka la dawa la kununua

    Habari zenu, Naitaji duka la dawa la kununua. Likiwa Dar es Salaam itafaa zaidi Mawasiliano; 0747182280
  9. Hii idea naigawa kwa wenye kuhitaji. Kijana pambania fursa usiwaze kununua gari wekeza katika biashara

    Karibu tupeane ya nayo pendekezwa mitaani kwetu JE UNAWAZA KUHUSU UJENZI AU KUHUSU BEI YA HIYO PUMP NA TENK NA VIPI KUHUSU UTOAJI WA MAFUTA BANDALINI BILA USHURU MKUBWA NICHEK KAMA UNANIA YA DHATI KWELI NAMBA YANGU NI 0788317776 or 0672281230 mda wote napatikana.........✓✓✓.
  10. K

    Diaspora anawezaje kununua Bond/T-bill za Benki Kuu ya Tanzania?

    Swali ni jinsi gani diaspora anaweza kununua Bond/T-bill za bank kuu ya Tanzania? Nimetafuta kwa mitandao sijapata jibu
  11. Je naweza kupata nyumba nzuri ya kuishi na yenye uzio (fensi) na geti kwa range ya TSH 35-50 Milioni?

    Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko nataka kujua...
  12. Msaada je naweza kupata PC desktop kwa bajeti isiozidi 250k. Iwe core i

    Wakuu kwema. Kama mada inavyoeleza hapo juu. Ikiwa kuanzia generation ya 4 itakuwa better. Naombeni mwongozo.
  13. Jinsi ya kununua ardhi kwenye Metaverse (Decentraland)

    Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa. kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki michezo,kufanya kazi,kujenga miundombinu mipya na kufanya biashara mbalimbali October 2021, Kampuni ya Facebook...
  14. Nahitaji Eneo la kununua kwa matumizi ya biashara Chanika

    Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununua Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi...
  15. Nahitaji eneo la kununua la biashara Chanika, Dar es Salaam

    Wakuu Hari ya Mwaka Mpya Naitaji Eneo la kununu Kwa ajili ya kufanyia Biashara, Eneo liwe karibu kabisa na Barabarani, Napenda Sana chanika, kama ni chanika mwisho au sehemu yoyote sio nje ya chanika Mimi Niko Dar so mwenye eneo kama Hilo ambae analiuza please naomba unidm Kwa maelezo zaidi
  16. Wakulima wetu mjiongeze, KFC wamekubali kununua viazi kutoka kwa wazawa

    KFC ni kampuni makini sana kwenye suala la kuhakiksha ubora, hivyo hawanunui malighafi kiholela, wanakagua sana viazi na wamekubali wataanza kununua kutoka kwa wakulima wetu, ila lazima tukidhi vigezo, maana kwamba enzi za kufukia mbegu na kuvuna vimepitwa na wakati, inapaswa tuanze kuhusisha...
  17. B

    Inatafutwa kampuni ya kununua yenye leseni ya clearing and forwarding

    Habari wakuu. Kuna jamaa yangu amekaa sana nje, shughuli aliyokuwa anafanya huko nje ni ya clearing and forwarding, Ila kutokana na huu ugonjwa shughuli zimepoa sana. Anategemea kurudi nchini hivi karibuni, na kuendelea na clearing and forwarding. Anatafuta kampuni ya kununua isiyokuwa na...
  18. Z

    Natafuta tv inch 40 ya kununua. Nipo Dar

    Nipo Dar, nahitaji flat screen inch 40, isiwe na tatizo lolote bajeti yangu ni 350,000/- ukiwa serious nichek
  19. K

    Hizo pesa za kuninulia vifaa vya sport bunge zipelekwe Mashuleni kununua madawati

    Nimeona kwenye taarifa ya habari ya ITV Leo tarehe 30.11.2021 sh. Mil. 20 zimetengwa kwa ajili ya kuninulia vifaa vya Michezo ya wabunge ili Hali shule nyingi asa za msingi watoto hawana madawati wanakaa chini. Huo ndo uzalendo wa viongozi wetu au wanafanya hivyo kisa watoto wao hawasomi...
  20. M

    Serikali itueleze ukweli inapata wapi pesa za kununua ndege

    Katika vitu ambavyo serikali yetu imeonyesha determination, ni suala la kununua ndege. Katika suala hili, serikali imeweka pamba masikioni na kuignore kila sauti inayohoji suala hili la kununua ndege. Mimi binafsi ninajiuliza na kujihoji maswali yafuatayo kuhusiana na suala la ndege. JE SERIKALI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…