Jamani wale tuliokutwa na ushamba baada ya kumiliki gari kwa mara ya kwanza tulete visa tulivyokutana navyo hapa.
Binafsi baada ya kununua premio nilikuwa naiendesha huku nikiwa nimewasha handbreak kiasi kwamba mafuta yalikuwa yanaenda mengi Sana kwa kutembea huku nimeshika handbreak...
Je...
Wanaoijua hii simu nahitaji msaada wenu,
Je, ni simu nzuri? nimeifuatilia mtandaoni inaonekana nzuri ila nahitaji wazoefu ambao wamewahi kuitumia kabla sijajilipua kuinunua.
Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea.
Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
Nahitaji kuingia kwenye hii biashara ya zao la kahawa... Yani ninunue then nije kuuza baadae wanasema wanauza kwenye ushirika kwa kule Mkoa wa Ruvuma! Mwenyw ABC au uzoefu wa hii ishu afanye msaada wa kufunguka. Natanguliza shukrani 🙏🙏🙏
Serikali imefanya marekebisho kwa sheria ya Benki kuu.
Kuruhusu watu nje ya nchi kununua treasury bonds.
Hii ni hatari kwa uchumi wetu.
We are officially sold out.
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange Regulations Issued
Set foreign exchange limits for travelers
Restrictions for residents to maintain bank...
Serikali ikubaliane na wawekezaji kuwa wananchai watanzanai wamiliki hisa, kwenye mgodi wa Gas wa LNG kule lindi.. Wasiwaachie wazungu ndo wanufaike harafu serikali inabaki na vihisa kidogo huku ikusubiri faida na kodi tu,, tuseme hapana lazima watanzania waweze kumilikishwa asilimia 20 % za...
Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli.
Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
Wakati nipo chuo kuna watu walikuwa wanasumbua sana na subwoofer zao mpaka wanawake nikaona huu ujinga sasa kila mtu subwoofer la kichina nikapata wazo la kutengeneza mziki mkubwa sana wa kuunga unga nikanunua vitu hivi.
Car audio crossover and equalizer
Car music booster
Spika 2 za bass (...
MKATABA MZURI HUWA NA HAYA:
( a ) Lazima uwe na majina ya wahusika ambayo yatakuwa yameandikwa kwa urefu na kwa kueleweka.Mfano jina liwe Paschal Mayenge Archard. Epuka kuandika vifupi mfano P.M. Archard. Jina linatakiwa liwe katika ukamilifu wake na hasa pawe na majina matatu kamili. Pia...
Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
NI gari flani zamani ukinunua Scania wanakupa kama nyongeza 😎..
.
Wadau wengi wamevinunua ili kufanyia biashara ya mizigo sasa basi ni vyema tukapata ABCD zake, maana usipovielewa vitakupasua kichwa..
.
Suzuki Carry imezaliwa toka Tanganyika inapata uhuru 1961 mpaka leo bado kinazalishwa and as...
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Tanzania Bw. Makame Mbarawa alisema Tanzania inapanga kutumia shilingi bilioni 468 (sawa na dola takriban milioni 201 za kimarekani) kwa ajili ya kununua ndege tano mpya ili kuhimiza maendeleo ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL).
Mbarawa amesema katika mwaka...
Habari wakuu.
Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k)
Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
Huwezi kuamini mawazo na akili ya Viongozi wa Poland!! Wam,eamua kuachana na gesi ya urusi ya bei rahisi kwa kuwa wanaweza kununua gesi pia toka Norway na nyingine toka Ujerumani (inayopata gesi toka urusi).
Lakini wanailalamikia Norway kuwa inawauzia gesi kwa bei kubwa sana karibuni mara NNE...
Poland imesitisha mkataba wa kununua gesi toka ujerumani. Sababu ni kwamba hawataki kulipia gesi kwa ruble!!
Ila cha kushangaza ni kwamba wanasema yale mabomba yaliyokuwa yanaleta gesi toka urusi kwa sasa yataunganishwa kwa ujerumani ili yalete gesi toka ujerumani.
Inajulikana kuwa ujerumani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.