kumtoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Waliomdhalilisha Tido Muhando na kumtoa TBC na kumbambikia kesi za jinai leo wanajitokeza bila aibu kumpongeza kwa mafanikio makubwa ya Azam

    Tido mzee wa watu katika utumishi wake alijenga CV nzuri ndani na kimataifa. Walipoona anafanikiwa na anazidi kupata jina Duniani wakamwita na kumkabidhi TBC. Akaweka mikakati kiwe chombo cha umma kinachozingatia maadili. Akakataa miradi ya rushwa mara TBC ikaanza kupata watazamaji wakiwemo wa...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Bibi. Titi Memorial Festival Ikwiriri Rufiji: Kampeni ya Kumtoa Jomo Kenyatta Kifungoni

    https://youtu.be/EGlJS8PwzoA BIBI TITI MEMORIAL FESTIVAL IKWIRIRI RUFIJI 27 NOVEMBER - 2 DECEMBER 2023 DONDOO KATIKA MAISHA YA BIBI TITI Msukumo mkubwa nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa akichukuliwa na wananchi wote...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
  4. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mary Chatanda: Freeman Mbowe amekosa shukrani kwa Rais Samia pamoja na kumtoa gerezani. Huenda ameathirika kisaikolojia

    Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Taifa Mary Chatanda amemshukia vikali Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe kwa kile alichokieleza kuwa amekosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alimtoa gerezani alikokaa kwa muda...
  5. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE: Hatimaye tumefanikiwa kumtoa mchezoni kamanda Onyango

    MSIMU ulioisha ulikuwa wa pili kwa Fiston Mayele hapa nchini. Msimu wake wa kwanza katika pambano moja la Simba alikutana na kisiki kinachoitwa Joash Onyango. Ni ndani ya miezi 24 tu iliyopita. Mayelle hakukatiza. Mwishowe Enock Inonga alijichukulia sifa kwa kumsindikiza Mayele wakati anatolewa...
  6. Jerry Farms

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utumishi wa Umma: Je, muda umefika sasa wa mwananchi kuwa na nguvu ya kisheria kumtoa mtumishi asiyewejibika ipasavyo?

    Mei mosi oyee! Ajira katika utumishi wa umma imekua ni ndoto ya wasomi na wasio wasomi wengi hapa nchini, wengi wa watu hawa hulenga ama kupata kipato na wengine kuhudumu kwa kutoa huduma takwa na wananchi. Serikali kwa kulitambua hilo imekua ikitoa ajira za muda mrefu ama muda mfupi lengo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kumtoa nyoka pangoni

    Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:- "Fanyaneni Nyie Wakubwa kwa Wakubwa mnaojua hizo Haki zenu, msituharibie watoto zetu" Je, ni kweli kasema maneno haya na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waliomuua na kumtoa kizazi mtoto wahukumiwa kunyongwa

    Watu wawili, akiwemo mganga wa kienyeji, Mbwana Makamba, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kukutwa na hatia ya kumuua mtoto, Samira Said (4), kisha kumtoa kizazi na kuondoka nacho. Waliohukumiwa adhabu hiyo ni Richard Kimweri (43) ambaye alikuwa mlinzi na mkazi wa eneo la Makaburi ya...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanadada amejiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumgharamia boyfriend wake ahamie Marekani watafute maisha wote

    Mwanadada huyo wa nchini Cameroon aliyekuwa anaishi Marekani amefariki kwa kujiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumtoa boyfriend wake nchini Cameroon kumgharamia ahamie Marekani watafute maisha wote. Kilichotokea baada ya kipindi flani walikwaruzana kidogo na muda haukupita jamaa akaanza...
  10. Half american

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi afariki wakati mama yake mzazi akijaribu kumtoa mimba

  11. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumlaumu kocha kwa kumtoa Chama ni kuikosea heshima taaluma yake

    Kila kocha uwa anao mfumo wake na aina ya wachezaji anaowataka kwenye mfumo husika, kitendo cha kumtoa chama kocha ameona aendani na kile anachokitaka hasa kasi kati kati ya uwanja, uyu kocha inaonekana ni muumini wa soka la kasi ndio maana amewakubali kina kibu denis wakati mashabiki...
  13. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Mahakama imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba alipomuondoa Prof. Mussa Assad kama CAG

    Ameandika Zitto katika ukurasa wake wa Twitter Nimefarijika kuwa leo tarehe 05/12/2022 Mahakama Kuu katika shauri la Zitto Zuberi Kabwe vs. Mwanasheria Mkuu na wenzie na 8/2020 mbele ya jopo la majaji 3 Masoud, Masabo na Kakolaki imetoa uamuzi kuwa Rais John Magufuli alivunja Katiba...
  14. britanicca

    JamiiForums Tanzania One of predicted match verified twabakiza Morocco kumtoa Argentina

    I said kwamba baada ya timu kubwa Belgium na German Kauga atafuata Spain then Argentina https://www.jamiiforums.com/threads/wakubwa-wanaofuata-kuaga-mashindano-baada-ya-germany-na-belgium-ni-spain-na-argentina-kwa-hatua-ijayo.2044573/ Morocco katufanyia kazi Kwa Spain twasubiri uholanzi amtoe...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

    Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo. Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu. Watuhumiwa hao...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama kweli mnajipima na Simba kama njia ya kumtoa Club Africaine njia ni moja tu

    Kuna huyu jamaa mnayekuwa naye vyumba vya kubadilishia nguo, ustadh mchawi, kwa ufupi acheni janja janja. Kama mnataka kujipima kweli na Simba kuelekea Kombe la Shirikisho huyo mtu msimtumie, toeni uwezo wenu kamili uwanjani. Hiyo ndiyo namna pekee ya kujiandaa, punguzeni janja janja.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa simba Matumaini yao makubwa wameyaweka kwa Al hilal kumtoa yanga

    Ni wazi kwamba mashabiki na wanachama wa simba wameweka matumaini makubwa kwa Kuisifia Al hilal jinsi itakavyomtoa yanga na wanakwenda mbali zaidi kuapa ya kwamba ndo mwisho wa yanga awatoboi, lakini nafikiri wasichokijua hii ni yanga ambayo aijaingia kwenye hii michuano kwa kubahatisha, yanga...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dennis Rodman kwenda Urusi kujaribu kumtoa Brittney Griner

    Nguli wa mchezo wa kikapu katika Ligi ya NBA, Dennis Rodman amedai ana ruhusa ya kwenda Urusi kwa ajili ya kujaribu kumtoa kifungoni nyota wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner. Griner anatumikia kifungo cha miaka 9 gerezani Nchini Urusi kutokana na kukutwa na dawa za kulevya, mazungumzo ya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania James Mbatia Kusimamishwa NCCR Mageuzi, Mrema anasemaje? Mbatia alihusika kumtoa Mrema NCCR, isije ikawa anavuna alichopanda!

    Mtu unaweza kumfanyia jambo baya mwenzako halafu unasahau. Ukifika wakati wa kuvuna uovu uliopanda mtu hulalamika sana na kutafuta huruma kwa watu!! Lakini ni wazi kuwa Mbatia alishiriki kumng'oa Mrema pale NCCR Mageuzi akishirikiana na wenzake!! Alichokifanya kinamrudia. Namshauri aende kuomba...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumtoa pusha wa mtaani bila kutumia Polisi, sitaki dhambi ya kumfanya mtu atoke jela akiwa mzee

    Mtaani kwangu kuna kijana yupo hapa kwa miezi miwili, yupo kwenye rika la miaka 24 hivi, ana frem anauza mahitaji ya nyumbani na vilevi, lakini biashara yake kuu yenye wateja wengi ni Bangi ambayo wanunuzi huvuta hapo hapo ama maeneo ya karibu, eneo sio la barabarani, huwa kuna watu wachche...
Back
Top Bottom