Geita: Mahakama yawaachia huru waliodaiwa kumtoa kafara mtoto ili wachimbe Dhahabu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,124
Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imewaachia huru washtakiwa wanne katika kesi ya mauaji ya mtoto Simon Kabula (2) baada ya upande wa Jamhuri kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Washtakiwa hao ni Ngeke Lunemhya, Mwajuma Petro, Ngeke Lunemhya na Maria Faida ambao wote ni ndugu.

Watuhumiwa hao walikuwa wakishtakiwa kumuua mjukuu wa mshtakiwa wa kwanza, Ngeke Lunemhya kwa kumdumbukiza katika shimbo la kuchimba dhahabu ili wapate dhahabu kwa madai kuwa waliambiwa na mganga.

Wakili wa Serikali, Bisela Alex ameileleza mahakama hilo leo Alhamisi Novemba 17, 2022 kuwa shauri hilo namba 78 ya mwaka 2020 Jamhuri dhidi ya Ngeke na wenzake watatu limekuja kusikilizwa lakini Jamhuri haina nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Kupitia kifungu cha 91 kifungu kidogo cha kwanza cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai Jamhuri imeomba kuondoa shauri hilo.

Kufuatia maombi ya wakili wa Serikali, Jaji Kamana Kamana amewaachia huru washtakiwa hao chini ya kifungu 191 cha Sheria ya Makosa ya Jinai namba 20.
 
Kubali msikubali katika watu ambapo bado ni primitive in the real sense of the meaning of the word ni Wasukuma (mnisamehe tafadhali)
Definition:
relating to human society at a very early stage of development, with people living in a simple way without machines or a writing system:
Primitive races colonized these islands 2,000 years ago.
primitive man :The spiny anteater is a mammal, although a very primitive one.
 
Serikali inawezekana imewaachia huru washitakiwa lakini mganga ndo atanyongwa
 
Back
Top Bottom