kumtoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania Ni nani wa kumtoa Ndugai kwenye kiti chake? Piga chini miradi yote ya 10pc bungeni, mbwai na iwe mbwai

    Kati ya watu nawaaminia ni mh Jobu, aliwahi charaza mtu peupe pe, Na aina ya watu hawa usiwachezee kabisa kwa Kila wanachokiamini tena hasa ukianzisha vagi nao! Jobu, anasimamia mhimili unaojitegemea, na moja ya sifa za mhimili huo ni kuishauri na kuikosoa serikali, Kwa hali yoyote na kwa...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  3. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumtoa machinga katikati ya mji halafu akakae nje ya mji?

    Nimekuwa nikifuatilia sakata la kuondolewa wamachinga katikati ya miji ili kuwapeleka maeneo maalum pembezoni ya mji. Ni hadithi inayonifanya kucheka sana kila nikiisikia. Kwanza ni jambo lisilowezekana kwa 90% na pili ni hadithi inayojirudia mara kwa mara. Serikali inaweza kuwaondoa wamachinga...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Tumkumbuke Bi. Titi Mohamed na juhudi za kumtoa Jomo Kenyatta kifungoni Kapenguria

    NYERERE DAY: TUMKUMBUKE BI. TITI MOHAMED NA JUHUDI ZA KUMTOA JOMO KENYATTA KIFUNGONI KAPENGURIA Msukumo mkubwa wakati nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa akichukuliwa na wananchi wote kama kiongozi na nguvu ya umoja wa...
  5. mshale21

    JamiiForums Tanzania Manyara: Kijana ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa Kaka yake, kumtoa maini ili apike ale

    Manyara! Jeshi la Polisi mkoani Manyara linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Silaloda Mji wa Mbulu, Harold Hhando, kwa tuhuma za kumuua mtoto wa kaka yake, Emmanuela Hando (13), kisha kumtoa viungo vya mwili. Inadaiwa kuwa Hhando alimuua mtoto huyo wa Kaka yake kwa kumpasua katikati ya miguu...
Back
Top Bottom