kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kwanini matajiri wa Tanzania wanaogopa kumiliki ndege binafsi

    Matajiri wetu TZ wanaangalia hasara kwanza itakayotokea, halafu ndege ina umri wa kutumika. Rick Ross ndege yake imezingua
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kila nchi kumiliki silaha za nyuklia ndio kutazuia uvamizi na vita na kuleta heshima

    Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila nchi iruhusiwe kumiliki silaha za nuclear kwa ajili ya ulinzi na hii inaeweza kueleweka vyema...
  3. Web developers

    JamiiForums Tanzania Faida kuu tatu za kumiliki website au tovuti

    FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa wakitamani kumiliki website bila kujua nini faida ya kuwa na platform hiyo. Nini maana ya website? Hii kwa...
  4. Tman900

    JamiiForums Tanzania Kumiliki Ardhi Zanzibar

    Mtanzania wa Bara, unaruhusiwa kumiliki Aridhi Zaznibar. Kwa anaejua anifahamishe.
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Houth waanza kumiliki makombora ya Hypersonic

    Takriban wiki tatu zimepita tangu wanamgambo wa Houth watangaze wanakusudia kutoa habari ya kushtua nyoyo. Habari hiyo haikufahamika hata pale nyaya mbili za data za intaneti za chini ya bahari ziliponyofolewa ambapo wanamgambo hao hawakutoa taarifa yoyote ya kuhusika kwao kama wanavyofanya...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

    Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo. Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana...
  7. Noel EK

    JamiiForums Tanzania Vigezo vya kuwa navyo ili uruhusiwe kumiliki duka la madawa .

    Habara wana jamvi,Naomba kujua vigezo gani natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki duka la madawa.Pia naomba kujua dawa kwa bei ya jumla jumla zinanunuliwa wapi?
  8. Desierto

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani mtu akifikisha bila ya kumiliki nyumbani aachane tu na mpango wa kumiliki nyumba

    Mimi Kama Mimi nikifikisha miaka 45 sijamiliki kwangu ni heri tu nimalizie huo muda uliobakia hapa duniani kwa kuendelea tu kupanga. Haiwezekani niteseke kujenga nyumba ambayo sitaishi zaidi miaka 20 nijisapie zangu.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanashindwa kumiliki Magari mapya kwasababu ya Utitiri wa Kodi

    Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii. Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa umma kumiliki vitu vya anasa huku kundi la unaowatawala wakipitia dhiki haijengi taswira nzuri

    Hakuna hali inayokera na kuleta uhuzuni kwa kundi kubwa la watawaliwa kama kuona kiongozi wao akiishi maisha ya anasa huku wao wakizidi kutumbukia katika lindi la umasikini. Tanzania kuna watu wengi sana wanaishi katika dhiki isiyo ya mfano, kama wewe ni mtafutaji wa mtaani au pembezoni mwa mji...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

    Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi. Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
  12. Tango73

    JamiiForums Tanzania Mshindi wa vita vya mashariki ya kati ni yule mwenye kumiliki jiji la Daudi au Jerusalem

    Madai ya Hamas, Hisbollah na Iran ni kumnyang'anya Muisrael jiji lake zuri la Jerusalem. Sasa mnaopinga kama Israel siyo mshindi na mbabe wa mashariki ya kati basi mmpeni Hamasi jiji la Daudi au Jerusalem. Haya yote yanayojili migogoro ya mashariki ya kati ni kushindwa kumchukulia kinguvu jiji...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Young Africans sc klabu ya kwanza Tanzania kumiliki Jengo

    Rejea gazeti la mwananchi.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Je, unajua hati yako ya kumiliki ardhi inaweza batilishwa akapewa mwingine?

    Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza kuwa na masharti na taratibu zilizowekwa na mamlaka husika. Hapa kuna sababu kadhaa ambazo zinaweza...
  15. Papasa

    JamiiForums Tanzania Israel: Raia 120,000 watuma maombi ya kumiliki silaha

    Hii vita haishi leo wala kesho sisi Waswahili tuendelee na kilimo mvua zimeshaanza. ===== Tangu shambulio la Oktoba 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa na wanamgambo wa Hamas, zaidi ya maombi 120,000 mapya ya leseni ya silaha yamewasilishwa na raia wa Israel. Harakati za kupata bunduki...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Karibu Tujadili Fursa Ya Kumiliki Vibanda Vya Kukodisha

    Vibanda vya biashara kwa ajili ya kukodisha ni njia nzuri ya kutengeneza kipato endelevu kwa hapa Mbeya. Maeneo ambayo hulipa zaidi ni karibu na vyuo kama Chuo Kikuu cha Mzumbe, Chuo Kikuu cha CUCOM. Maeneo ya soko la kabwe unapambana na unaweka kibanda chenye mvuto cha biashara na unaingiza...
  17. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Kama haufanyi mambo haya hauna haki ya kumiliki pesa au mali; utaishia kutamani tu na umasikini hautakuacha

    Ukweli mchungu lakini ndivyo ulivyo, Ili dawa iingie wakati mwingine sindano kwanza. Moja kwa moja kwenye hoja ni kwamba kwamba kama hakuna huduma au bidhaa unayoizalisha na kuitoa kwa jamii kama mbadilishano kutafuta utajiri bila njia hiyo ni kujighilibu akili. Mahitaji ya jamii yako ndiyo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Miaka 80 akamatwa kwa kumiliki Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali

    Sambamba na hilo, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia mzee wa miaka 80 mkazi wa Kijiji cha Madundasi Wilaya ya Mbarali Mkoa wa Mbeya aitwaye PASCAL MWANGO kwa tuhuma za kupatikana na bunduki aina ya Gobole bila kuwa na kibali cha umiliki halali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin...
  19. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Wakati wangu wa kuomba maombi ya nguvu za kutawala, kumiliki, kinga, na kushinda vita zote

    Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa. Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba. Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wengi tunapenda kumiliki smartphone mbili na wakati mwingine hata zaidi ya mbili. Je, huu si uwendawazimu?

    Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja? Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
Back
Top Bottom