Wachezaji mpira wa ligi kuu wanakimbiza kwenye kumiliki pisi kali, wasanii wa bongo fleva wanafeli wapi?

Uncle bright

JF-Expert Member
Feb 9, 2023
1,040
4,080
Niwapeni siri kwamba ukiachana na pesa, wanawake wanashobokea sana vijana maarufu hasa kwenye mambo ya sanaa na michezo, sijui kwanini ila ndivyo wengi walivyo.

Katika makundi haya kwa sasa kuna waachezaji wa ligi kuu na wasanii wa bongo fleva, ila cha ajabu unakuta wachezaji mpira wengi wana visu vikali mno,
 
Wabongo flava wamekariri demu ni Wema, Kajala, Uwoya, Ezekiel, Paula na Wolper ndio maana miaka nenda rudi wanabadilishana tu
Wanaangalia spotlight, ukimuopoa mnyaturu sura safi, figa safi na kaelimu kajuu kidogo na hana jina unakosa soko. Komaa na akina Kajala ambao hata kuwa naked mbele ya kamera si shida hapo uta"trend"
 
Wacheza mpira wao wanapata urahisi wa videmu vyenye maduka sinza. Maana huko ndio wanapotekwa. Starehe za sinza naa kidimbwi. Big star musician huwezi mkuta kidimbwi anasaka mademu au anaitisha company kitambaa cheupe au small planet tabata.
Big star musician anapiga vya sinza ndani anatoka nje na watu wenye platform kubwa nje.
 
Morrison kila akikumbuka pisi za Dar anajikuta amerudi Tanzania,au anashia kuomba uraia!!
 
Back
Top Bottom