kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcshonde

    JamiiForums Tanzania China na Marekani wagombania kuutawala au kumiliki Mwezi

    Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao. "tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  3. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watoto na wanafunzi waruhusiwe kumiliki simu, la sivyo watabaki nyuma

    Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
  4. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Ramani + ujenzi

    4BEDROOM HOUSE DESIGN FIT 20X30M PLOT RAMANI + UJENZI CALL/WHATSUP +255624004650.
  5. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakuu na wajuzi, Israel (Mossad) imeruhusu vipi Iran kumiliki drones na silaha za kisasa hivi?

    Iran ni adui mkuu wa Israel kwa sasa. Na Israel inekuwa ikuhujumu mikakati ya kisiraha hatarishi ya Iran miaka yote. Ikumbukwe Moja ya sababu kushindwa kutoa mifumo ya Ulinzi Kwa Ukraine, Israel walesema mifumo yao ni Kwa ajili ya magurunet tu ya kawaida haitaweza kupangua makombora ya kisasa...
  6. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara hata ya bajaji

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba amefadhaishwa kuambiwa ameagiza mabasi 60, amedai hana hata biashara bajaj. Mwigulu amesema hakuna haja ya kuchafuana. Dokezo - Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther ===== Mwigulu Nchemba: Imekuja tozo, mtu anasema ona waziri huyu ameagiza mabasi 60...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kubwa Kwa timu kama Simba na yanga kukosa kumiliki uwanja..Kwa Nini Azam Wameweza

    Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio tajiri wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari

    Baada ya kununua helicopter yake ya kifahari, Diamond Platnumz ndio anakuwa mtanzania wa kwanza kumiliki helicopter ya kifahari. Wapo matajiri wengine waliwahi miliki helicopter za kuungaunga ila tajiri huyu mdogo sana kiumri mzaliwa wa Tandale anamiliki helicopter ya kifahari. Helicopter hii...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Majina ya Pesa kulingana na matumizi na huduma

    Kwema Wakuu!! Pesa inamajina mengi Sana kulingana na matumizi ya Huduma Fulani. Kwa uchache haya ni sehemu ya majina hayo; 1. Nauli. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua Huduma ya usafiri. 2. Zaka na Sadaka. Pesa Kwa ajili ya kupata Huduma au kununua huduma ya Ibada au shughuli za...
  11. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Nataka kumiliki kiwanja ila kipato changu ni cha kwa siku...

    Khabari zenu ndugu zangu. Naomba mnipe mawazo katika Hili. Mimi ni kijana miaka 28 hivi, kipato changu sh 30k kwa siku but nikifanya matumizi yangu katika familia Yaweza baki 10 au 15 inategemea na siku. Nataka kununua kiwanja nina mawazo na kiwanja huu ni mwaka sasa kinanitia mawazo. Nawaza...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  13. Poker

    JamiiForums Tanzania Ipi ni simu yako ya kwanza kumiliki?

    Mimi binafsi nilianza kumiliki Siemens C25
  14. Google Diggers

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kumiliki AK-47 I am admirer

    Yaani hii kitu Raha sana. Na hata mambo ya panya road I should posses one
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kumiliki bastola ni mzigo; ni salama zaidi ukiwa huna

    Kuna watu wengi sana huomba ushauri wa kumiliki bastola. Wakiamini usalama wao utaongezeka wakiwa na bastola. Kama kuna huo ulazima wa kumiliki silaha unaothibitika, nashauri mamlaka irahisishe mchakato wa kuwapatia silaha wale watu wanaothibitisha wako mazingira hatarishi ya uvamizi...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kumiliki kitu chochote ni kile unachokula hicho ndo haki yako na mali yako

    Nilichogundua anachokula mtu ndo halali yake na ndo Mali zake . Ndio maana chakula kinapewa heshima Duniani kote. Hata Mtu ukiweza mpatia chakula kizuri lazima atakuheshimu na kukuadmire. Mfano ukiangali hela tunazospend kwenye kula ..yaani Ni hela nyingi sana ambazo tungekuwa tunaishi bila...
  17. voicer

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar! Mitaa mitatu Mnatekwa na Panya Road?

    Mitaa mitatu yote kutekwa kwa wakati mmoja huko chanika,bila hata Panya mmoja kukamatwa au kujeruhiwa. Hili jambo nashindwa kulielewa kabisa! Nafikiria ingekuwa vipi kama hao Panya road wangejaribu huo ujinga huku mikoani. Sijui kama wangekuwa hai mpaka saa hii! Wanaume wa Dar es salaam...
  18. Makonyeza

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kumiliki ardhi Zanzibar, wengi hatukumwelewa Rais Hussein Mwinyi

    Nimepitia kurasa kadhaa katika mitandao ya kijamii kama Facebook, magroup ya WhatsApp na Jamii Forums watu wakiijadili kauli ya Rais WA Zanzibar Dr. Hussein Ally Mwinyi alioitoa akikisisitiza kwamba Mtanzania Bara haruhusiwi kumiliki ardhi KISIWANI Zanzibar. Wengi wa wachangiaji wameonekana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni wazi: Sifa ya kuwa mchambuzi wa soka hapa Tz ni kumiliki mdomo!

    Nianze kwa kuwaomba radhi wachambuzi wachache sana wa ukweli wa soka hapa bongo, hususan Ally Mayai Tembele. Hili bandiko haliwahusu wao. Hili bandiko linawahusu makanjanja lukuki yanayojiita wachambuzi wa soka wakati hawajawahi hata kucheza soka!! Hili kundi kubwa la wachambuzi wa soka...
  20. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamnasa Mganga wa Jadi kwa kumiliki Sh milioni 3.3 za bandia

    Mnamo tarehe 26.03.2022 majira ya saa 13:30 mchana, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lilifanya msako huko kijiji cha Nsongwi Mantanji, Kata ya Ijombe, Tarafa ya Tembela, Wilaya na Mkoa wa Mbeya na kufanikiwa kumkamata FIDELIS KOMBA [42] Mganga wa tiba asilia, Mkazi wa Nsongwi – Mantanji akiwa na...
Back
Top Bottom