kumiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa hapa Bongo kuna msanii anamfikia DJ Nalimison kwa kumiliki mtoto mkali?

    Huyu jamaa kwa wasanii hapa Bongo bado sijaona msanii anamiliki chombo ya ukweli kama DJ Nalimison. Huyu hapa shemeji yetu siku alipoenda ukweni kuwatembelea nymbani kwao na kina DJ Nalimison maeneo ya Shinyanga nakuamua kufanya mazoezi maeneo ya Ngokoro matope na maeneo ya jirani na hapo kwao...
  2. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Je, unataka kumiliki Duka La Mtandaoni- eCommerce?

    Habari; Je una ndoto ya kumiliki DUKA la mtandaoni.Kama jibu ni Ndio basi Unaweza kutimiza ndoto yako kwa mtaji mdogo tu. Tunatoa huduma ya kutengeneza maduka ya mtandaoni kwa gharama nafuu. Yapo maduka ya 900,000shs,1,200,000shs 1,500,000shs,1,750,000shs na kuendelea.Haya ni maduka ambayo...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Naomba utushirikishe mbinu wanazoweza kutumia waliojiriwa kumiliki nyumba ya kwanza

    Habari, Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo. Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu (3) ya kuzingatia kabla na wakati wa kumiliki nyumba au kiwanja cha kwanza kwa ajili ya kujenga utajiri

    Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) ya Kuzingatia Kumiliki Majengo ya Ofisi ya Kipato Kikubwa Kwa Zaidi Miaka 10

    Baada ya vita vya pili vya dunia (1939-45), mahitaji ya majengo ya ofisi yameongezeka sana. Hii imetokana na kuongezeka kwa waajiriwa wa maofisini ukilinganisha na waajiriwa wa viwanda. Sekta ya viwanda ndiyo imekuwa sababu kubwa ya kupungua au kuongezeka kwa uhitaji wa majengo ya ofisi. Maana...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwajiriwa anavyoweza kujenga utajiri kwa kumiliki nyumba za kupangisha zenye kipato kikubwa

    Tunatafuta usalama na uhuru. Usalama na uhuru ndiyo huendesha maisha ya watu wote duniani. Kwenye ukurasa huu nina kuonyesha makundi makuu mawili (2). Kundi la kwanza ni lile linalotafuta usalama wa maisha yao ya kifedha. Kundi la pili ni lile ambalo wanatafuta uhuru wao wa maisha yote...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Suala la ardhi halimo kwenye Muungano, Zanzibar wapo makini kulinda ardhi yao lakini wametuzidi akili kuimiliki ardhi ya bara

    Kwenye katiba ya Tanzania hakuna sehemu iliyohusisha ardhi kwenye muungano, Ardhi ya Tanzania bara ni kwajili ya raia wake na ardhi ya Zanzibar ni ya raia wake. Hatuna budi kuwapongeza wazanzibari maana hawana mchezo kwenye kulitekeleza hili kwa kulinda ardhi yao iwe kwajili yao, Lakini sasa...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuwa na wazo la kumiliki kiwanda

    Kama una kipato kiasi, na una ndoto ya kuja kumiliki kiwanda cha ukubwa wowote lakini hujui pa kuanzia; Jaribu kutembelea mitandao mbalimbali inayouza mashine, unaweza kuanza na alibaba na mingineyo. Kutazama tu mashine zilizopo, kuna wazo litakujia ufanye nini. Ila ukitazama bidhaa, unaweza...
  9. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Asiye raia wa Tanzania lakini alizaliwa Tanzania anaweza kumiliki ardhi?

    Naomba adm msiiweke kule kwenye jukwaa la sheria kwanza ila kila mtu atoe mawazo yake kwanza. Kuna babu mmoja watoto wake wa kiume wote aliojaliwa wako Marekani zaidi ya miaka20 sasa. Walizaliwa Tanzania lakini wakahamia Marekani japo mara kwa mara wanakuja kumuona babu yao. Kwa kuzaliwa...
  10. aleesha

    JamiiForums Tanzania Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

    Nafahamu kwamba Zanzibar haiwezi kujitenga na nchi nyingine Duniani, wala haiwezi kukataa mabadiliko ya maendeleo Duniani, lakini lazima kuwe na mipaka kulingana na utamaduni wa Visiwa hivyo. Zanzibar iliingia kwenye sekta ya utalii kwa masilahi ya kukuza uchumi wake na sio vinginevyo...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Kutoka kutokuwa na simu hadi kumiliki smart phone -- does this man have a point?

    Leapfrogging is overrated, says a Harvard development professor, Yinka Adegoke West Africa Cellular Telecommunications business A revolution without industrialization. (EPA/Legnan Koula) Over the past few weeks there have been several stories about the growing penetration of smartphones...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM siku zote wanataka kumiliki pande zote mbili za mijadala mizito!

    Embu niwadokezee jambo moja ambalo ningependa mchukue muda wenu mlitafakari. Kwa sisi wakongwe na wafuatiliaji wa mambo ya nchi hii, tumeshuhudia mambo mbalimbali yakitokea na kufanyika nchi hii. Kuna masuala ya muungano, kuna masuala ya mfumo wa vyama vingi, kuna masuala ya mabadiliko ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Polisi wafika nyumbani kwa Mbowe kwa upekuzi

    Mama na CCM wamebaki chama dola kwa asilimia 100.
  14. Kobello

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yaingia mkataba wa Tsh Bilioni 34.8 na Azam Media

    Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara Salehe Salim Alamri na wenzake yapigwa kalenda

    Kesi ya kumiliki silaha kinyume na sheria inayomkabili mfanyabiashara,Salehe Salim Alamri na wenzake imehairishwa leo katika mahakama ya wilaya ya Babati mkoani Manyara. Kesi hiyo nambari 11 ya mwaka 2020 imehairishwa leo na hakimu wa mahakama hiyo,Jumaa Mwambago hadi Agosti 21 mwaka huu baada...
  16. Jstar1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umiliki wa mali kwa wanandoa

    Naombeni kuuliza kuhusu umiliki wa mali kwa wanandoa endapo watatengana, mfano, Mke kama amekuta mmewe tiari kuna mali anamiliki mfano, nyumba je ikitokea mmetengana na hamkua na watoto mke atapata asilimia ngapi ya nyumba au mali na je kipi kitaprove kua hii mali kaikuta au wataoanisha cheti...
  17. Mbu

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  18. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Kwanini Umiliki Biashara badala ya kumiliki mfumo wa kibiashara?

    Habari za wakati huu; Leo nataka tuzungumzi kitu kinaitwa "Business Model"aka mfumo au muundo wa Biashara.Wajasiriamali wengi huwa wanakama katika Biashara kwa kujikita zaidi kujenga Biashara badala ya kujenga Business Model.Ndio maana wengi hujikuta wakifanya bashara za kuigizana bila kuwa na...
Back
Top Bottom