kumbukumbu

The Kumbukumbu Room, or Kumbukumbu Room: Africa, Memory and Heritage, or Kumbukumbu Exhibition, was one of the spaces of the National Museum of Brazil, destroyed by the fire of 2018. The name of the room refers to a word in Swahili, used for "objects, people or events that make us think about the past."
In the room, objects from the African and Afro-Brazilian collections were on display. In particular, the collections Police of the Court and Heloísa Alberto Torres were featured. Also in the room were the set of gifts from Africa sent to John, the Clement, in 1810, including the Throne of the King of Dahomey. Most of the objects on display were from the 19th century.
The room was organized from nine showcases, six side and three central, and a map from which one could establish the origin of the exposed pieces. According to the official book of presentation of the exhibition:

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu ya Hayati Mkapa na kuiendesha kwa lugha ya Kiingereza?

    Nimesikiliza tangu mwanzo kumbukumbu ya Hayati Benjamin William Mkapa. Hii ni Tanzania ya waswahili. Unaandaaje kumbukumbu kama hii na kuiendesha kwa lugha ya kingereza? HAPANA. Waandaaji wa matukio kama haya kama wa leo UONGOZI INSTITUTE ni vema wakajua kila waandaacho ni kwa ajili ya...
  2. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Waliomvamia Mbowe kumpiga na kilichotokea Kiuhalisia

    Sijui. Mimi huwa napenda kuyaangalia mambo kwa upeo wa tofauti kidogo. Mbowe ni kiongozi mkubwa tu kitaifa kwa CHADEMA. Najiuliza hiyo kuvamiwa kwake na kupigwa miguu lengo lilikuwa nini? Hospitali huwa mtu anayepigwa kwa magongo au kitu kikubwa mwilini majeraha yake yanafahamika. Kitaalamu...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Nani anastahili kujengewa sanamu ya kumbukumbu kati ya Mzee Nyerere na Magufuli?

    Nyerere aliongoza mapambano ya kudai Uhuru toka kwa wakoloni. Kama ingelikuwa ni ujenzi wa ghorofa nasi Uhuru ni sawa msingi (foundation) Alijenga umoja wa kitaifa. "Reli ya Tazara" "Mabwawa ya Kidatu na Mtera, nk." Marais wote waliofuata baada ya Hayati Nyerere walijenga nchi juu ya msingi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Picha wanazipenda kuchukua Watalii kama kumbukumbu ya utalii wao Afrika

  5. Tango73

    JamiiForums Tanzania Leo ni kumbukumbu ya Entebe raid july 4th 1976 jumamosi usiklu!

    Jumamosi ya leo siku kama ya leo mwaka 1976 Makomandoo wa kiisrael walishuka paple Uganda Entebe air port kuokoa ndugu zao. Makomandoo hao waliongozwa na kija a Jonathan Netanyahu akiwa na miaka 28 tu ( umri wa kwenda Disco), alijitoa mhanga kufa ili ndugu zake 126 waokolewe. Magaidi ya...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa alituvusha salama kutoka Awamu ya Tano, nashauri daraja la Tanzanite liitwe Samia

    Ni shauri wangu Kwanza linavuka bahari, ni ishara ya kuvuka awamu moja kwenda nyingine, pili in ishara ya upatanisho kati ya upande mmoja na mwingine, kisiasa, kiuchumi, kijamii, anapatanisha nchi, anaunganisha kama daraja linavyounga pande mbili. Tanzanite ina asili ya huko ilikotoka, iwepo...
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajengewe mnara wa kumbukumbu

    Habarini, Kama katiba yetu inavyosema kuwa 'kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake kwa uhuru', Mimi pia nina maoni yangu. Pale posta kwenye mnara maarufu wa Askari ninashauri mnara wa Askari utolewe na uwekwe mnara wa Samia Suluhu (Rais wa Jamhuri ya Muungano). Maana wengi hatujui maana...
  8. comte

    JamiiForums Tanzania Utunzaji wa kumbukumbu za viongozi ni utamaduni wa dunia nzima

  9. boniuso

    JamiiForums Tanzania Nyakati ngumu huwa kwajiili ya kutufunza na nyakati za furaha ni kwaajili ya kumbukumbu nzuri za maana ya kuishi

    UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
  10. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Kutunza memories mlizoshare

    Leo naja na huu uzi kwa gender zote but especialy wadada Kuna watu wanatunza meseji nyie,balaa..Hata Makumbusho ya taifa pale Posta haiko deep kama wao.....Anatunza meseji za tangu unamtongoza mpaka mmeachana...khaa!nimewavulia kofia..Especially wanawake,ur best at this...nooomaaa! Sasa...
  11. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

    Watalamu wa mambo wanasema historian ni mwalimu mzuri sana, wahenga mlikuwa mnafuatilia masuala ya burudani mnakumbuka mtindo wa maisha wa Elizabeth Michael jina Lulu, kabla ajapata tatizo la tuhuma za kumuua mwigizaji Kanumba. Lulu alikuwa ashikiki binti scandal hazimuishi bata club yeye...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Napendekeza siku ya kumbukumbu ya Hayati Jemedari Dkt. Magufuli iadhimishwe sambamba na mashujaa hawa wa kizalendo nchini

    Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo. Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
  13. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Tuweke kumbukumbu zetu sawa, huu ndo uchumi wa Magufuli aliouacha, all facts! - Sehemu ya kwanza

    Habarini wakuu… Wakati bado tukiwa kwenye maombolezo, nimeona ni vema nifanye utafiti kidogo wa kumulika uchumi wa Hayati Magufuli, ili tuweke record zetu sawa, maana huku mtaani na kwenye vyombo vya habari kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana. Japo mimi sijawahi kuwa mshabiki wa Hayati...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Je,ulimwengu hauna namna yoyote ya utunzaji kumbukumbu?

    Habarini waungwana,Leo tena mbele yenu huku nikiwa na swali nyeti kidogo ambalo limejikuta tu likilanda kwenye fikra zangu!.. Je, ulimwengu hauna namna yoyote ya utunzaji kumbukumbu..? Nikiandika ulimwengu naomba ichukuliwe vitu vyote kwa maana ya nyota, sayari zote,Galaxy n.k kiujumla vyote...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli tutamkumbuka kwa kupambana na ufisadi na tutamlilia mbeleni

    Moyo wangu umeanza kutahaharika. Kutokana na yale ninayoyaona. Mafisadi wote ndiyo wenye furaha kubwa ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania. Hili limenifikirisha sana. Why asilimia kubwa ya wanaoonesha Furaha ni wale waliohujumu uchumi wa Taifa hili? Ni sawa wapo pia maskini na wasio mafisadi...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu yangu fupi ya Mohammed Seif Khatib

    KUMBUKUMBU YANGU FUPI YA MOHAMMED SEIF KHATIB Mara yangu ya kwanza kukutana na Mohammed Seif Khatib uso kwa macho ilikuwa Makka wakati wa Hijja mwaka 1998. Balozi Ramadhani Dau alinichukua kwenda kumsalimia Mzee Aboud Jumbe ambae alikuwa amefikia kwenye nyumba za wageni wa Mfalme wa Saudi...
  17. Raphael focus

    JamiiForums Tanzania Tupe kumbukumbu yako, ni kwa namna gani "Umakini" uliathiri mahusiano yako?

    Habari ya muda huu wana MMU! Kama mada inavyo jieleza hapo juu, sote tunatambua kuwa "umakini" ni jambo la muhimu kuzingatiwa katika mahusiano. Kutokuwa makini kati ya wenza wawili kumepelekea mifarakano na hata kuchangia kuvunjika kwa mahusiano. Kutokuwa makini...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kitabu katika kumbukumbu ya Mapinduzi ya Zanzibar sehemu ya kwanza. Pitio la kitabu: Mimi, Umma Party na Mapinduzi ya Zanzibar

    KITABU KATIKA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR SEHEMU YA KWANZA PITIO LA KITABU MIMI, UMMA PARTY NA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MWANDISHI: HASHIL SEIF HASHIL Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu (Legacy) ya Dkt. John Pombe Magufuli

    Kila awamu huacha kumbukumbu zake muhimu wengine hutumia neno "Legacy". Kwangu mimi ninaamini wananchi na Taifa litamkumbuka Rais Dr JPM kwa mambo yafuatayo baada ya muda wake kuisha: 1. Nidhamu maofisini haijawahi kutokea maadili na nidhamu kurejeshwa hivi hata kama bado kuna changamoto ya...
Back
Top Bottom