Tuweke kumbukumbu sawa kilichomtuliza Lulu ndio kitakachomtuliza Paula wa Kajala

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,098
2,000
Watalamu wa mambo wanasema historian ni mwalimu mzuri sana, wahenga mlikuwa mnafuatilia masuala ya burudani mnakumbuka mtindo wa maisha wa Elizabeth Michael jina Lulu, kabla ajapata tatizo la tuhuma za kumuua mwigizaji Kanumba.

Lulu alikuwa ashikiki binti scandal hazimuishi bata club yeye magazeti hayaishi mwandika yeye hana habari kwa bahati mbaya mda huo hizi social media zilikuwepo ila hazikuwa na mashiko kama sasa mda ule kibongo bongo blogs ndio zilikuwa zinasumbua na face book ndio ilikuwa zaidi na watz wengi smart phone walikuwa hawana so binti alisumbua.

Kilichomtuliza sote tunajua baada ya sakata la Kanumba binti akaenda gerezani akasota Mungu akamsaidia akatoka binti akawa matured akili ikamkaa sawa akatulia.

Sasa uyu Kajala yeye yashamtokea ila kajisahaulisha tamaa tamaa alingia mkenge kwa tapeli bila huruma za Wema Sepetu angekuwa mfungwa kwahiyo ajajifunza so tusave the date hii itajirudia tu yeye na mwanae mtindo wa maisha wanaoenda nao siyo mjini hapa wataingizwa choo cha kiume tu.

Mwanae alipataga scandal za video za utupu ikapita ikaja scandal nyingine ikapita imekuja hii nayo itapita ila watajichanganya tu si wanapenda bata litawacost history zipo wazi watapata msala hao watanyea segedansi aacha waende ende Dubai sijui wapi watajikuta punda bila kujua hapo ndio wataita maji mma.
 

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,378
2,000
Paula yupo mikono salama ya Vannboy mtu mbadi , msambaza Kadi nipo front kabisa , mchango laki , na ukumbini utapata vidali viwili, vipapatio viwili , vinywaji kama vyote na kila mda wahudumu watakuwa wanakuuliza vip umetosheka , ..... Wachangiaji wa ten ten msisogee kabisa ukumbini

IMG_20210416_082958.jpg
 

cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
3,193
2,000
Kwaiyo unataka kusema kwamba akatatembee na rayvanny alaf amgongeze ukutani akufe alaf aende segerea akajifunze ila ukumbuke tu makonda sio mkuu wa mkoa tena atatolewa na nani sioni kunenge kufanya ivo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom