kulipia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Ushuru wa serikali wa kulipia mabango ambayo yapo kwenye biashara yako, mfano juu ya paa la sehemu yako ya biashara!

    Wakuu, Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na kudai yalipiwe. Hizo ni sheria za manispaa. Najiuliza sana, kuwa bango lengo lake ni kuelekeza...
  2. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Wale wa iPhone 16 tupeane Apps mbalimbali zinazopatikana bila kulipia Apple store

    Tupeane app mbali mbali ambazo n ngumu kupata bure apple store 1.Youtube downloader 2.Music 3. nk nb: Sina iphone 16 waungwana msije mkajaa makasiriko
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Napinga kodi yangu kitumika kulipia vyama vyenye kazi ya kuleta taharuki na vurugu kwenye jamii.

    Ni ombi langu kubwa kuona ruzuku ya vyama vya siasa ifutwe na badala yake fedha hiyo ikasomeshe watoto yatima
  4. Bull Striker

    JamiiForums Tanzania Huwa na kwama hapa maranyingi ninapo taka kulipia Huduma Mbalimbali katika Internet

    Wakuu zangu huwa nataka kufanya Huduma Mbalimbali katika mtandao lakini huwa na kwama hapa... Pia Napata shaka labda hata kuibiwa kimtandao...Wakuu naombeni Msaada.
  5. fakhbros

    JamiiForums Tanzania WATHAMINI WALIO KULIPIA BILL

    Mzee wa makamo alie ongozana na mwanae walikuwa wameketi pembezoni mwa kuta za mgahawa pale mlimani city, Hawakuonekana kuwa ni wazoefu wa maeneo hayo japo kijana alionekana kuwa mtanashati kutokana na mavazi yake niwazi huenda alikuwa ni mtumishi katika ofisi za Uma' Mzee nywele zake...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kulipia matibabu

    Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji. Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia gharama za dawa alizopewa ?
  7. Foxhunters

    JamiiForums Tanzania Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
  8. TEAM 666

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa za sukari na mafuta upoje

    Habari wakuu Naomba kujua utaratibu wa kulipia Kodi bidhaa tajwa hapo juu Hadi mzigo kufika katika godow Tanzania bara upo vipii
  9. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless?

    Hivi kuna watoto waliosomeshwa shule za kulipia na ni jobless maana hii inafikirisha? Iwe shule ya msingi ama sekondari au hata chuo na bado akawa jobless hii inawezekana? Na kama ni ndio tatizo linakuwa nini? Mzazi kutojitambua ama nini? Au anafanya gambling kwenye mafanikio ya mwanae? Au...
  10. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  11. Princesswaprince

    JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ya shule ya msingi bure, tuition ya kulipia ya lazima kwa wanafunzi wote!

    Katika sekta ya elimu naipongeza serikali kwa uamuzi wa kutoa elimu bure kwa wanafunzi wote waliofikisha umri wa kuanza shule. Nawapongeza pia walimu katika utendaji kazi wao wa kutoa elimu kwa watoto wetu wote. Katika hili kuna changamoto kidogo ya matokeo katika mitihani ya shule mpaka...
  12. R

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali inapata hasara ya mabilioni kwa watumiaji wa mifumo ya TEHAMA kulipia huduma isiyoendana na kiasi cha fedha kilicholipwa

    Kuna jambo nimelifanyia utafiti nimegundua makampuni na mashirika ya umma yanaiba fedha nyingi sana serikalini. Kuna fundi nilimtuma akalipe huduma ya kuunganisha maji. Nakumbuka jumla ya fedha zilizoletwa kama bill kwenda serikalini ilikuwa zaidi ya laki saba na sabini na nane. Nilimpa moja wa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania MBUNGE Condester Sichalwe: Kujengwe Barabara ya Kulipia

    Mbunge wa Momba Condesster Sichalwe ameishauri Wizara ya Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Uchukuzi waone namna ya kushirikiana na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) ili kujenga barabara ya kulipia ambayo itaongeza Pato kwa Taifa. Sichalwe ametoa ushauri huo bungeni jijini Dodoma...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Vituo vya mafuta vina mabango ya "zima simu yako" lakini pembeni kuna linalosema unaweza kulipa kwa Tigopesa, Mpesa n.k

    Haya mambo sijui kama wanasomaga wanachoandika Unaambiwa zima simu yako tafadhali Pemben unaweza lipia mafuta via Tigopesa, Mpesa, Voda pesa. Nikishazima nalipaje a.A natumia nguvu za zagi?
  15. MK2017

    JamiiForums Tanzania Kulipia huduma ya Choo sehemu za umma (sokoni na stendi)

    Habrini wana JF, Mimi leo langu ni swala zima la watu (haswa sisi watanzania) kulipia huduma ya kujisaidia sehemu mbalimbali kama stendi na sikoni. Najuwa baadhi yeta tunaweza sema oooh kunahitajika usafi, sawa, mbona kwenye viwanja vya ndege kuna vyoo na vipo safi muda wote? Pia hata nchi za...
  16. H

    JamiiForums Tanzania KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Wadau Eid Mubarak, Niende kwenye mada nina mtoto wa mdogo wangu ambaye nimekuwa nikimsuport katika elimu yake ya Sekondari. Huyu binti anasoma shule moja SIJUI niite ya serikali au ya kijamii, ni shule zile amabazo zilijengwa mahususi kwa ajili ya jamii za kifugaji ili kuisaidia ukuaji wa elimu...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Si jambo jema hata kidogo Serikali kutoa Posho ya 1.2M pamoja na Usafiri kwa Mashabiki wa Yanga, Mpira ni Starehe

    Baadhi ya Mashabiki wa Simba waliojilipia nauli zao kusafiri kwenda kuipa support timu yao Nchini Misri Kila shabiki amejilipia Dola 1200 sawa na Milioni 3,126,000. Hili swala la Serikali kusafirisha Mashabiki nitatoa maoni yangu nikimalizana na Al Ahly, Sasa hivi akili inawaza namna ya kufuzu...
  18. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu matangazo ya kulipia Facebook na Instagram

    Mimi siyo expert wa kutangaza online kwenye Facebook na Insta lakini nina uzoefu kidogo wa kama miaka miwili hivi kutangaza huko. So niulize swali lolote kuhusiana na sekta hiyo nami nitakujibu. Nikishindwa watakuja wataalamu zaidi na mimi nitazidi kujifunza. Karibuni.
  19. masai dada

    JamiiForums Tanzania Naenda kulipia befoward honda step wgn ya 2011, naomba ushauri

    Naombeni ushauri kuhusu hii gari naenda kuilipia leo. Sina ufahamu wowote nimependa space tu.
  20. P

    JamiiForums Tanzania Kumbe siku hizi ukitaka ku sponsor post kuna kulipia VAT? Imeanza lini hii?

    Huu utaratibh Umeanza lini daah
Back
Top Bottom