kulipa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania wazanzibari walitumia ubovu wa katiba kulipa kisasi Cha miaka mingi October 29!

    Ukweli mchungu huu! Sikumbuki ni uchaguzi upi uliwahi kufanyija Zanzibar kwa amani bila damu kumwagika zaidi ya uke wa mwaka jana pekee!! Kwa miaka mingi damu za wazanzibari zimemwagwa sana kipindi cha uchaguzi ,na Baraza la maaskofu liliishia TU kulaani na kukaa kimya kisa aliekuwepo alikua...
  2. JamiiForums Tanzania TID akanusha kushindwa kulipa bili Kitambaa Cheupe

    Mwanamuziki TID amekanusha vikali madai ya kushindwa kulipa bili ya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe, Tabata. Amedai sakata hilo lilopelekea kukamatwa na Polisi, ulikuwa mpango wa kumchafua. TID ameeleza kama kweli alikuwa anadaiwa, basi wangekata deni lao katika fedha...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki TID akamatwa kwa kushindwa kulipa bili Bar

    Mwanamuziki mkongwe wa Bongofleva, TID amekamatwa na kuwekwa ndani baada ya kushindwa kulipa bili ya vinywaji alivyokunywa na marafiki zake. Inaelezwa TID alitumia vinywaji vya takribani Sh500,000 katika bar ya Kitambaa Cheupe Tabata lakini ilipofikaa saa ya kulipa ikawa ugomvi.
  4. JamiiForums Tanzania Wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa maji ya kandoro na mifuko watakiwa kuanza kulipa ushuru

    Mtu aliyejitambulisha kuwa Afisa wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam amesikika akitoa tangazo kwa kutumia kipaza sauti katika Soko la Ilala Boma na Karume akiwataka wauzaji wanaotembeza vitumbua, karanga, kahawa na mifuko kuanza rasmi kulipa ushuru kila siku. Kwa mujibu wa tangazo hilo...
  5. R

    JamiiForums Tanzania TUIMBE: Niko tayari kulipa gharama kuliko kunyamaza maovu yakitendeka

    Tuimbe sote wimbo huu kwa nia njema kabisa.
  6. JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  7. JamiiForums Tanzania SERIKALI KUU YA STRUGLE KULIPA WAZABUNI PESA HAITOSHI YAHAHA ISHIKE LIPI

    Habari za ndani kutoka kwa Exchequer ambazo zimetoka wiki iliyopita ni kwamba pesa haitoshi , na Serikali kuu imeamua Ilipe kwanza Wafanyakazi Mishahara, kisha Italipa kwanza Wabunge Mishahara na Posho zao zote na Madai yao yote na kisha ndio itatizama Wazabuni wanaoidai na Wazabuni hao...
  8. JamiiForums Tanzania Tafrani kombe la dunia Marekani, mashabiki wageni walazimishwa kulipa tip 20% mighahawani na bar.

    Mashabiki wageni kutoka mataifa mbalimbali walioenda kuangalia weldi cup wamekumbana na usumbufu na sintofahamu nchini Marekani katika huduma za migahawa na bar kutokana na utamaduni wa Marekani wa mteja kulazimika kulipa 20% ya ziada juu ya gharama halisi kama tip/ ahsante/ bakshish kwa...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wafanyabiashara tunafungiwa biashara zetu na Manispaa ya Morogoro, ukichichelewa kulipa inaongezeka 50,000 kila wiki na huku wamefunga biashara yako

    Habari. Mimi ni mfanyabiashara wa salon ya kike katika Manispaa ya Morogoro, salon yangu imefungwabkwa wiki tatu sasa na makufuri ya Manispaa kwa kosa la kutolipia leseni. Nilienda ofisini kwao wiki iliyopita na nilipewa control number za malipo ya jumla ya 150,000 (Faini na leseni) lakini...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanachana 4 wa Chadema wahukumiwa kifungo miezi 4 au kulipa faini ya 300,000

    TAARIFA KWA UMMA.‼️ 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi, imewahukumu wanachama (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja. Waliohukumiwa kwa kile kinachoitwa “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga Julius S...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni yake

    Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar amesema kampuni kubwa za kimataifa za Moody’s na Fitch Ratings zilifanya tathmini ya awamu ya kwanza ya uwezo wa nchi kukopa na kulipa madeni kwa mwaka 2026. Matokeo ya tathmini yalionesha kuwa Tanzania inakopesheka na ina uwezo mzuri wa kulipa madeni...
  12. JamiiForums Tanzania Uhamiaji: Mfumo ulisumbua na sasa umekaa sawa, taarifa za walioomba Passport zipo, hawatakiwi kulipa mara 2

    Idara ya Uhamiaji nchini imefafanua kuwa huduma zake za kimfumo zimerudi katika hali ya kawaida baada ya changamoto iliyosababisha ucheleweshaji wa baadhi ya maombi ya wananchi, na kueleza kuwa mbombaji hatakiwi kulipia huduma mara mbili. Akizungumza kuhusu suala hilo, Msemaji Mkuu wa Idara ya...
  13. JamiiForums Tanzania Kukopa na kulipa

    Kwenye kizazi hiki tuna ishi na watu Siyo waaminifu kabisa , Watu wengi wamepoteza marafiki na ndugu wa karibu kwa ajili ya kukopa na kukopeshana Una mkopesha MTU pesa hakulipi alafu wengine walivyo na dharau ana kuja kukukopa pesa tena . MTu asiye na ufahamu atakopesha tena ,akitumainia kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni mwanzo tu wa wahuni wa CCM kulipa damu za watanzania

    CCM naendelea kuwakumbusha huu ni mwanzo tu mtalipia damu mlizomwaga za watanzania. Nawakumbusha damu huwa inalipwa kwa damu huu ni mwanzo tu. Nawashauri kabla ya mambo hayajakuwa mabaya zaidi vunjeni kichwa cha nyoka.kwa sababu tunajua mkuu wa haya yote yaani yule mstaafu. NB:sio...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania “Miezi Bila Pay!” Intern Teachers Walalamika Huku TSC Ikiahidi Kulipa Arrears May

    Intern teachers nchini wako kwa hali ngumu sana, wakipitia miezi kadhaa bila kulipwa huku Teachers Service Commission (TSC) ikiahidi sasa ku-clear malimbikizo ya mishahara mwezi wa May 2026. Despite April salaries kutoka, ukweli ni kwamba wengi wa intern teachers walilipwa mwezi mmoja tu...
  16. JamiiForums Tanzania Kama Tanzania tungeandaa AFCON Peke yetu tungefaulu lakini kuwekwa kapu moja na walioahindwa kulipa hadi ada Samaki wameoza wote

    Japo CAF wamekanusha lakini aliyeshauri kuwekwa kapu Moja na Kenya na Uganda alitukosea sana.Vinchi Hadi Leo hii vinapigania njaa na kuomba omba chakula wataweza kuandaa mashindano hao? Kenya Hadi hela ya ada wameenda kukopa ndio wakalipa hapo juzi.Wana uwanja mmja tuu ,viwanja vya mazoezi...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jambo hili linaumiza wanachuo wa Chuo Kikuu cha Sokoine kutakiwa kulipa ada ndani ya wiki 3 za kuanza masomo

  18. R

    JamiiForums Tanzania 'Reforms UK' kupiga marufuku ya Visa kwa nchi zinazodai fidia biashara ya utumwa

    Chama cha Reform UK kimesema kuwa kitapiga marufuku utoaji wa visa mpya kwa watu kutoka nchi zinazodai fidia ya utumwa kutoka kwa Uingereza, iwapo kitapata nafasi ya kuunda serikali ijayo. Zia Yusuf, msemaji wa masuala ya mambo ya ndani wa chama hicho, aliiambia The Daily Telegraph kuwa wito wa...
  19. O

    JamiiForums Kenya Kina dada kulipa mahari?

    Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari , Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari Na wewe Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari Nipe maoni yako
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mpaka leo TANAPA imeshindwa kulipa Madai ya Watumishi, tunaishi maisha magumu

    Mwezi March mwaka huu, watumishi wanaishi maisha magumu sana. Shirika limeshindwa kulipa madai hayo ya watumishi, mfano fedha ya likizo baadhi ya hifadhi za mwaka juzi hawajalipwa. Pia limeshindwa kulipa stahiki nyingine ambazo baadhi ya taasisi ambazo ziko katika Jeshi la Uhifadhi zinalipa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…