kuliko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Wanaume Hufa Mapema Kuliko Wanawake: Uchambuzi wa Kina wa Kitaalamu

    Kwa mujibu wa tafiti za afya ya umma duniani, wanaume wana wastani wa maisha mafupi kuliko wanawake, jambo lililothibitishwa na World Health Organization. Tofauti hii si ya bahati mbaya, bali ni matokeo ya mwingiliano wa mifumo ya mwili (biological systems), tabia za binadamu (behavioral...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo juu kwa utajiri wa rasilimali kuliko UK according to chatgpt, Hivi hii kitu ni kweli?

    Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi? Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK). Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi? Tanzania ina: Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.) Ardhi kubwa ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sumbawanga Mjini, Kuliko kujenga Muhimbili mpya kwa Tsh. 1.2 Trilioni bora tujenge hospitali mikoani kuipunguzia mzigo hospital hiyo

    Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na Ofisi ya Bunge kwa mwaka wa fedha 2026/27, amelitaka Bunge kukataa bajeti ya zaidi ya shilingi trilioni 1.2 kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali mpya ya Muhimbili akishauri...
  4. JamiiForums Tanzania Pasipo kujijua, watu wengi wanaamini katika nguvu za giza kuliko nuru

    Habari familia yangu ya JF, Katika hali ya kushangaza lakini yenye ukweli mkubwa kuna kundi kubwa sana la watu wanaamini katika nguvu za giza zaidi ya wanavyoamini uwepo wa Mungu, pamoja na ukuu na uwezo wake. Jambo la kuvutia ni kwamba, watu hawa si wageni wa ibada. Wapo wanaohudhuria...
  5. JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  6. JamiiForums Tanzania Mke kumheshimu zaidi Mchungaji kuliko mume; ni ushindi mwingine wa Kataa Ndoa

    Mambo ya kushangaza kabisa, mbele ya mchungaji mwanamke ni mpole, mnyenyekevu, anafunga mdomo wake, akisikiliza zaidi kuliko kusema. Hata akisema maneno ni machache tu....Ameen...amina... Njoo kwa mbele ya mumewe sasa, ooooh ni kiranga. Hata mkikosana mkapelekana kwa mchungaji, utakuta ushauri...
  7. JamiiForums Tanzania Filamu ya Spy X wengi wamejiuliza kwanini mchezaji wake wa kike Anya hupenda sana kula karanga. Na Anya akiri kupenda karanga zaidi kuliko karoti

    https://www.youtube.com/watch?v=wuuDdOeI--k "X Spy Family" ni filamu nzuri ya watoto na ina mhusika mkuu mmoja aitwae Anya ambae katika vyakula vyote avipendavo huwa hakosi Karanga. Haijulikani hadi leo sababu kubwa ya Anya kupenda mno kitafunwa hicho maarufu cha karanga. Jana nilimwona mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa sisi tusiopenda mijadala ya Siasa kanisani tunatamani misa ziongozwe na Makatekista kuliko Maaskofu

    Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao, kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu, naona kama Wana frustration kubwa sana, NB: Huwezi ukashindana na serikali hata ufanyaje
  9. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  11. JamiiForums Tanzania Mlevi wa Zanzibar ni Bora kuliko Sheikh wa Bara

    Ujumbe umepokelewa toka kwa ndugu zetu katika imani. Kumbe pia kuna madaraja.... Huwa tukisema watu mnajipendekeza kwa watu hamtakiwi. Mnabisha. Bado hawajaja waarabu nao wakasema Mlevi wa Uarabuni ni Mbora kuliko Sheikh wa Zanzibar.
  12. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa ni kampeni ya kijinga kuliko zote duniani

    Ndoa ni mpango wa Mungu,ni mpango wenye manufaa makubwa sana kwa binadamu. Hivi sasa kumezuka kampeni ya kupinga ndoa,kwa musingi ya dosari za kibinadamu baina wa wanawake na wanaume.Hakuna anayekataa Kuwa ndoa hazina changamoto lakini manufaa yake ni makubwa mno kuliko matatizo. Ndoa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wajinga' wanatoboa kimaisha haraka kuliko sisi 'Great Thinkers’?

    Leo naomba tuweke vyeti vyetu vya chuo na zile "A" zetu za sekondari pembeni, tuzungumze ukweli unaouma. Nimekuwa nikifanya uchunguzi wangu binafsi na kugundua jambo moja la kushangaza sana mitaani: Asilimia kubwa ya watu tunaowachukulia kama 'watu wa kawaida' au wasio na uwezo mkubwa wa...
  14. JamiiForums Tanzania Laiti kama binadamu hasa wanawake wangeweka reasoning mbele kuliko emotions, je dunia ingekua sehemu salama zaidi?

    Hi everyone, Mara nyingi nimejikuta nikitafakari kuhusu matukio mengi yanayoendelea duniani leo-migogoro ya mahusiano, maamuzi ya ghafla, na hata baadhi ya matokeo mabaya ya kijamii. Nikianza ku-relate na historia pamoja na mafundisho ya dini, kuna kitu kinajirudia mara kwa mara: nguvu ya hisia...
  15. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  16. JamiiForums Tanzania Na huyu ndio yule Mdudu anaependwa zaidi Duniani kuliko Wadudu wote Ila ana vituko

    Picha inajieleza.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu

    Kuna mchezaji tangu kaenda timu nyingine anajitutumua kuliko alipokuwa kwetu
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  20. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kutafuta hela kwa sasa umebadilika sana; kwa dunia ya leo maarifa yana nguvu kuliko juhudi

    Miaka ya nyuma tulilelewa kwenye dhana kwamba mafanikio yanategemea zaidi jasho, juhudi, na kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka. Ilikuwa ni kweli kwa wakati huo, kwa sababu fursa zilikuwa chache na taarifa hazikupatikana kwa urahisi. Lakini kadri dunia ilivyobadilika, hasa kwa ujio wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…